Top Banner
.' MATATIZO WANAYOYAPATA WANAFUNZI WALIBYA KATIKA KUJIFUNZA VIAMBISHI VYA NJEO KA TIKA LUGHA YA KISW AHILI IMEANDIKWA NA JABIR ALZAROK JABIR MOHAMMED IMEW ASILISHW A KAMA SHARTI PEKEE LA KUHITIMU SHAHADA YA UZAMILI (M.A) YA KISW AHILI KA TIKA CHUO KIKUU HURIA eHA TANZANIA, DAR ES SALAAM 2010
3

Welcome to The Open University of Tanzania Repository ...repository.out.ac.tz/164/1/JABIR_ALZAROK_JABIR_MOHAMMED.pdf · JABIR ALZAROK JABIR MOHAMMED IMEW ASILISHW A KAMA SHARTI PEKEE

Jul 14, 2020

Download

Documents

dariahiddleston
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: Welcome to The Open University of Tanzania Repository ...repository.out.ac.tz/164/1/JABIR_ALZAROK_JABIR_MOHAMMED.pdf · JABIR ALZAROK JABIR MOHAMMED IMEW ASILISHW A KAMA SHARTI PEKEE

.'

MATATIZO WANAYOYAPATA WANAFUNZI WALIBYA KATIKA

KUJIFUNZA VIAMBISHI VYA NJEO KATIKA LUGHA YA KISW AHILI

IMEANDIKWA

NA

JABIR ALZAROK JABIR MOHAMMED

IMEW ASILISHW A KAMA SHARTI PEKEE LA KUHITIMU SHAHADA

YA UZAMILI (M.A) YA KISW AHILI KA TIKA CHUO KIKUU HURIA eHA

TANZANIA, DAR ES SALAAM

2010

Page 2: Welcome to The Open University of Tanzania Repository ...repository.out.ac.tz/164/1/JABIR_ALZAROK_JABIR_MOHAMMED.pdf · JABIR ALZAROK JABIR MOHAMMED IMEW ASILISHW A KAMA SHARTI PEKEE

.~V111

MUHTASARI

Utafiti huu wa 'Matatizo Wanayopata Wanafunzi Walibya katika Kujifunza

Viambishi vya Njeo katika Kiswahili' ni wa kwanza na wa aina yake katika

ulimwengu wa lugha ya Kiswahili. Hii ni kwa sababu kwa mara ya kwanza

sasa tunapata utafiti unaohusu baadhi ya matumizi yanayowakwamisha wanafunzi

wengi kama vile Walibya kujifunza kurnudu lugha ya Kiswahili ipasavyo.

Kama jina la utafiti linavyoashiria, utafiti huu umefanywa ili kuonyesha

mojawapo ya matatizo yanayowakabili Wanafunzi Walibya wanaojifunza Kiswahili

na kwa kiasi fulani walimu wanaowafundisha lugha hiyo. Nia hasa, ni

kuonyesha undani wa tatizo hili na jinsi linavyoweza kutatuliwa ili kuwasaidia

hasa wanafunzi kumudu vizuri masuala ya kisarufi ya Kiswahili Sanifu wakati

wanajifunza. Ni dhahiri kwamba matokeo ya utafiti huu pia yatawasaidia

walimu wanaowafundisha wanafunzi wenye asili ya Libya kuelewa misingi ya

kisarufi ya lugha hii kwa haraka na kwa ufanisi.

Maelezo haya yatafanywa katika sura tano kwa utaratibu ufuatao:

Sura ya Kwanza itakuwa ni utangulizi unaoonyesha tatizo la utafiti, malengo ya

utafiti, na mbinu zilizotumika katika utafiti. Sura hii pia inapitia maandishi

mbalimbali hasa yale yaliyohusu viambishi vya njeo na kuweka nadharia tete za

utafiti. Sura hii pia itatazama masuala ya kinadharia yanayohusiana na ufundishaji

wa lugha ya pili.

Page 3: Welcome to The Open University of Tanzania Repository ...repository.out.ac.tz/164/1/JABIR_ALZAROK_JABIR_MOHAMMED.pdf · JABIR ALZAROK JABIR MOHAMMED IMEW ASILISHW A KAMA SHARTI PEKEE

·~IX

Sura ya Pili inachunguza kwa undani maumbile muhimu ya sarufi ya Kiswahili,

hususani maumbo yanayojitokeza kuhusiana na viambishi vya njeo na maana

zinazojitokeza zinazofanya matumizi yenye viambishi hivi kuwatatiza wanafunzi.

Sura ya Tatu itatalii maumbile ya lugha ya Kiarabu na kubainisha athari zinazoweza

kutokea kutokana na maumbo na mipangilio ya kisarufi katika lugha hii. Maelezo

katika sura hii yatawasaidia walimu na wanafunzi kulinganisha masuala ya kisarufi

baina ya lugha hizi wanazokabiliana nazo.

Sura ya Nne itachanganua msingi ya matatizo ya viambishi vya njeo kwa wanafunzi

wa Libya wanaojifunza Kiswahili.

Sura ya tano itatoa hitimisho na mapendekezo mbalimbali.

~~~~,~. 'U ~A'

~

; ft,~ ->1< ./;! U!iRA;\"'" ..,~ '0.I(~ -.e. ~J(?:~ ". if. 'i'" , .

.~~J-"\t .~•..

•" pI..p.?'Y< .' ;""