The Office of the Education Ombudsman is an agency within the Governor’s Office of the state of Washington. Wazazi “Munajali elimu ya watoto wenu ?” Waelimishaji “Munataka kuhusisha jamii zaidi katika shule zenu ?” Wanafunzi “Muna wakati mgumu mukiwa shuleni ?” Tunaweza kusaidia. Tupigieni simu. Washauri ni watu ambao: . Wanasikiza mahitaji yenu . Wanasaidia kutafuta namna . Wanatatua matatizo Tunapatiana huduma hizi za bure: .Machapisho .Maelezo & Uelekezo .Madarasa na warsha .Kuepusha na kutatua migogoro kwa njia ya simu Simu ya Usaidizi wa Lugha Inapatikana Tupigie simu. Tunasikiliza. Tunafahamisha. Tunasaidia kutatua matatizo. 1-866-297-2597 www.waparentslearn.org Kiswahili