Top Banner
JUZUU 30 l11t1 Aya 41 SURAT ABASA ( lmeteremkD MakkD) Kwajina la Mwenyezi Mungu, Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na · M wenye kuneemesha neema ndogo ndogo. I. Alikunja (Mtume) paji na akageuza uso 2. Kwa sababu alimjia kipofu. 3. Na nini kilichokujulisha (ya kuwa huyo Sahaba pofu hahitaji mawaidha mapya)? Labda yeye atatakasika (kwa kusikia mawaidha mapya). Au atakumbuka (aliyoyasahau); ukumbusho hu9 upate kumfaa 5. Ama ajionaye hana baja (ya dini) 6. Wewe ndiye unayemshughulikia. 7. Na si iuu yako kama hakutakasika. 8. Lakini anayekukimbilia 9. N aye anaogopa 10. Wewe unampuuza (Usifanye hivyo). I I. Sivyo! Hakika (Qurani) hii ni nasaha (mawaidha). 12. Basi kila apendaye atawaidhika (asiyetaka basi - muachilie mbali) IJ. (Mawaidha baya yanatoka) katika kurasa zilizohishimiwa AMMA /1t11 Kalfl I 1. Siku moja Mtume (s.a.w.) alikuwa amekaa na wakubwa wa MaquFeishi yu katika kuwalin1ania Dini, kwa hima kubwa, na akitaraji kuwa wakisilimu wao, na wanyonge wao watafuata; sababu wengi walijizuilia kwa kuwaogopa hao wakubwa wao. Wakati huo akatokea kipofu mmoja aitwaye lbn-Ummi Maktum. Na pasi na kuiua kuwa Mtume ameshughulika, akampigia ukelele. "Ewe Mtume wa Mwenyezi Munsu! Nifunze na mimi katika aliyokufunza Mwenyezi Mungu." Na akamkariria maneno haya. Mtume (s.a.w.) kwa kuwa alikuwa na pupa Ia kusilimu wale wakubwa, alimfinyia uso yule kipofu kwa kumuharibia kazi yake, wala asimsiki,e. Basi hapa Mwenyezi Mungu anamlaumu Mtume Wake kwa aliyoyafanya, ya kuwacha kumsikiza aliyemjia lcutaka uongofu; kwa kutaraji kuamini watu wakubwa. Kwani huyo kipofu Mnyonge ni bora mbele ya Mwcnyezi Mungu kuliko hao wakubwa anaowataraji. . 1 1-16. Hapa Mwenyezi Mungu, anamkataza Mturde wake asifanye tena kama hayo, na kumwambia kwamba Qurani ni Mawaidha, atakae kuzingatia atawaidhika, na asiyetaka hasara itamfikilia yeye. Na kumfahamisha kwamba Qurani ikatika Vitabu vitukufu (katika Lauhii-Mahfudh) vilivyo mikono ya Malaika Waandishi watukufu waaenda merna, ambao ni bora kuliko Maqureishi. 7S2
3

SURAT ABASA - WordPress.com...ABASA (80) 3 7. Kila mtu miongoni mwao Siku hiyo atakuwa na bali itakayomtosha mwenyewe, (hana haja ya mw.enziwe.) 3 8. Siku hiyo nyuso nyingine zitanawiri

Jan 23, 2021

Download

Documents

dariahiddleston
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: SURAT ABASA - WordPress.com...ABASA (80) 3 7. Kila mtu miongoni mwao Siku hiyo atakuwa na bali itakayomtosha mwenyewe, (hana haja ya mw.enziwe.) 3 8. Siku hiyo nyuso nyingine zitanawiri

JUZUU 30

l11t1 Aya 41 SURAT ABASA ( lmeteremkD MakkD)

Kwajina la Mwenyezi Mungu, Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na · M wenye kuneemesha neema ndogo ndogo.

I. Alikunja (Mtume) paji na akageuza uso

2. Kwa sababu alimjia kipofu.

3. N a nini kilichokujulisha (ya kuwa huyo Sahaba pofu hahitaji mawaidha mapya)? Labda yeye atatakasika (kwa kusikia mawaidha mapya).

4· Au atakumbuka (aliyoyasahau); ukumbusho hu9 upate kumfaa

5. Ama ajionaye hana baja (ya dini)

6. Wewe ndiye unayemshughulikia.

7. Na si iuu yako kama hakutakasika.

8. Lakini anayekukimbilia

9. N aye anaogopa

10. Wewe unampuuza (Usifanye hivyo).

I I. Sivyo! Hakika (Qurani) hii ni nasaha (mawaidha).

12. Basi kila apendaye atawaidhika (asiyetaka basi - muachilie mbali)

IJ. (Mawaidha baya yanatoka) katika kurasa zilizohishimiwa

AMMA

/1t11 Kalfl I

1. Siku moja Mtume (s.a.w.) alikuwa amekaa na wakubwa wa MaquFeishi yu katika kuwalin1ania Dini, kwa hima kubwa, na akitaraji kuwa wakisilimu wao, na wanyonge wao watafuata; sababu wengi walijizuilia kwa kuwaogopa hao wakubwa wao. Wakati huo akatokea kipofu mmoja aitwaye lbn-Ummi Maktum. Na pasi na kuiua kuwa Mtume ameshughulika, akampigia ukelele. "Ewe Mtume wa Mwenyezi Munsu! Nifunze na mimi katika aliyokufunza Mwenyezi Mungu." Na akamkariria maneno haya. Mtume (s.a.w.) kwa kuwa alikuwa na pupa Ia kusilimu wale wakubwa, alimfinyia uso yule kipofu kwa kumuharibia kazi yake, wala asimsiki,e. Basi hapa Mwenyezi Mungu anamlaumu Mtume Wake kwa aliyoyafanya, ya kuwacha kumsikiza aliyemjia lcutaka uongofu; kwa kutaraji kuamini watu wakubwa. Kwani huyo kipofu Mnyonge ni bora mbele ya Mwcnyezi Mungu kuliko hao wakubwa anaowataraji. .

1 1-16. Hapa Mwenyezi Mungu, anamkataza Mturde wake asifanye tena kama hayo, na kumwambia kwamba Qurani ni Mawaidha, atakae kuzingatia atawaidhika, na asiyetaka hasara itamfikilia yeye. Na kumfahamisha kwamba Qurani ikatika Vitabu vitukufu (katika Lauhii-Mahfudh) vilivyo mikono ya Malaika Waandishi watukufu waaenda merna, ambao ni bora kuliko Maqureishi.

7S2

Page 2: SURAT ABASA - WordPress.com...ABASA (80) 3 7. Kila mtu miongoni mwao Siku hiyo atakuwa na bali itakayomtosha mwenyewe, (hana haja ya mw.enziwe.) 3 8. Siku hiyo nyuso nyingine zitanawiri

JUZUU 30 ABASA (10)

14. Zilizotukuzwa, zilizotakaswa

Is. Zilizomo mikononi mwa (Malaika) waandishi (wa Mwenyezi ~ungu)

I 6. Watukufu, Wacha Mungu .

I 7. Ameangamia Binadamu namna gani ulivyo kwendelea mno ukafui wake!

I8. Kwa kitu gani Amemuumba?

19. Kwa tone Ia manii; Amemuumba Akamuw~zesha (akampa uweza)

20. Kisha akamfanyia njia nyepesi (ya kufanya mambo yike)

z1'. 22.

23. wake).

24. chake

Kisha akamfisha na Akamucka kaburini

Kisha Apendapo atamfufua.

La! Hajamaliza Aliyomuamuru (Mola

Hebu mwanaadamu naatazame chakula

2 S. Hakika Sisi tumemimina maji kwa nguvu (kutoka mawinguni)

2 6. T ena tukaipasuapasua ardhi

21. Kisha Tukaotesha humo (vyakula vilivyo) chembe chcmbe

28. Na mizabibu na mboga

29. Na mizeituni na mitende

30. Na mabustani, (mashamba) yenye miti iliyosongana barabara

3 I . N a matunda na malisho 3 2. K wa ajili ya kukustarehesheni nyinyi na

wanyama wenu. 33· Basi itakapokuja sauti kali iumizayo

mashikio, (sauti ya baragumu la Kiama)

34· Siku ambayo mtu atamkimbia ndUIUYC

AMMA

,1, ( ";!.)' ... , ~-, .I (" =' ~, ~!di!. r::... • :·•w '' , .. ~.:;~CI ..., ,...,,

" ( """ '~ " , . (0~~...,.-~~~

., t"¢1"" '""" • .,, ,., ' (!jill.)~ ~\,;. ~ ~ ~

17. Hapa Mwcnyczi Mungu anatuonesha ajabu ya mwanaadamu namna alivyokwcndclca mno karilta kufuru yakc, kwa kullna kuwa Mwcnyczi Munau hatawcza kumfufua baada ya kufa; pamoja na kuwa Ycyc Ndiye aliycmuumba kwa lone Ia manii kisha abmpitisl)a mahali pasipopitika, kisha akamlca hala akawa mru wa kukamilika, kisha akamuua akamria kaburini. Na ·arakaporaka aramfufua. Na hapana shaka kwamba kumzua mwanaadamu ni jambo kubwi zaidi kuliko kumrcjcza karika bali aliyokuwa.

l4. lkiwa Mwanaadamu haktsmbuki umbo ta nafsi yakc naatazamc chakula akila~ho namna kilivyopatikaaa, atafahamu uwcza wa Mwcnyczi Munau.

753

Page 3: SURAT ABASA - WordPress.com...ABASA (80) 3 7. Kila mtu miongoni mwao Siku hiyo atakuwa na bali itakayomtosha mwenyewe, (hana haja ya mw.enziwe.) 3 8. Siku hiyo nyuso nyingine zitanawiri

JUZUU 30

35 ~ Na mamaye na babaye

36. Na mkewe na wanawe.

ABASA (80)

3 7. Kila mtu miongoni mwao Siku hiyo atakuwa na bali itakayomtosha mwenyewe, (hana haja ya mw.enziwe.)

3 8. Siku hiyo nyuso nyingine zitanawiri

39· Zitacheka, zitachanaamka.

40. Na nyuso nyingine Siku hiyo zitakuwa na mavumbi juu yake

41. Giza Totoro (kubwa) litazifunika.

42. Hao ndio makaflri watenda mabaya.

AMMA

JI,JP. Siku biyo waaaadamu watakuwa bali mbili: walioamiDi wakatenda amali njema, nyu11o zao ziluD-Chlka kwa furaba, iJa waliokufuru wakatenda maovu, nyuso zao zitakuwa u vumbi aa kupip weuai, kama WyYOICIDI Aya 11 40-4l.

754