` MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MABWEPANDE KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 GHARAMA ZA MIRADI FEDHA ZILIZOTENGWA 2,732,068,741.20 KATA MIRADI ILIYOPELEKWA MABWEPANDE Ujenzi wa nyumba za watumishi wa afya katika Hospitali ya Mabwepande Ujenzi wa jengo la wazazi katika hospitali ya Mabwepande Ukarabati wa Zahanati na kuweka mfumo wa umeme waTanesco katika Zahanati ya Mbopo Ujenzi wa nyumba ya walimu shule ya msingi Mabwepande Ukarabati wa nyumba 4 za walimu shule ya msingi Mabwepande Ukamilishaji wa bweni la wanafunzi Mbopo sekondari Ununuzi wa vitanda na magodoro 100 kwa Bweni la wanafunzi Mbopo sekondari Ujenzi wa maabara 02 Shule ya sekondari Mabwe Tumaini girls Ujenzi wa madarasa 03 shule ya sekondari Mabwepande Tumaini Girls ununuzi wa vifaa vya maabara(2) MABWE SEK ununuzi wa vifaa vya maabara(3) MBOPO SEK ununuzi wa vifaa vya maabara(3) NJECHELE SEK Ununuzi wa madawati 100 kwa shule ya sekondari Mabwepande Tumaini Girls Matengenezo ya Boksi Kalavati Mabwepande - Mji mpya Matengenezo ya Boksi Kalavati Mbopo Ujenzi wa machinjio ya ng’ombe ya kisasa.
22
Embed
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MABWEPANDE … · MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MSASANI KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 1,464,300,640.00 KATA MIRADI
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
`
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MABWEPANDE KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018
GHARAMA ZA MIRADI FEDHA ZILIZOTENGWA 2,732,068,741.20 KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
MABWEPANDE Ujenzi wa nyumba za watumishi wa afya katika Hospitali ya
Mabwepande
Ujenzi wa jengo la wazazi katika hospitali ya Mabwepande Ukarabati wa Zahanati na kuweka mfumo wa umeme waTanesco
katika Zahanati ya Mbopo Ujenzi wa nyumba ya walimu shule ya msingi Mabwepande
Ukarabati wa nyumba 4 za walimu shule ya msingi Mabwepande
Ukamilishaji wa bweni la wanafunzi Mbopo sekondari
Ununuzi wa vitanda na magodoro 100 kwa Bweni la wanafunzi Mbopo
sekondari Ujenzi wa maabara 02 Shule ya sekondari Mabwe Tumaini girls
Ujenzi wa madarasa 03 shule ya sekondari Mabwepande Tumaini Girls
ununuzi wa vifaa vya maabara(2) MABWE SEK
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) MBOPO SEK
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) NJECHELE SEK
Ununuzi wa madawati 100 kwa shule ya sekondari Mabwepande
Tumaini Girls
Matengenezo ya Boksi Kalavati Mabwepande - Mji mpya
Matengenezo ya Boksi Kalavati Mbopo
Ujenzi wa machinjio ya ng’ombe ya kisasa.
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
Ujenzi wa banda la kuku la mafundisho kwa wafugaji malolo.
Kuendeleza mradi wa kisima cha maji mpiji Mtaa wa Mbopo
Mabwepande Kuboresha huduma ya upatikanaji maji Mabwepande
Kuwezesha ujenzi wa mabweni 2 kwa ajili ya matuizi ya wanafunzi wa
kilimo katika Kituo cha Kilimo Kata ya Mabwepande Kuwezesha vikundi 4 vya vijana kufanya kilimo cha kitalu nyumba
(Green house farming). Kuwezesha ujenzi wa jengo la maabara katika Kituo cha Kilimo Mjini
Malolo Kata ya Mabwepande JUMLA KATA YA MABWEPANDE
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MSASANI KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 1,464,300,640.00
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
MSASANI Ujenzi wa matundu 16 ya vyoo shule ya msingi Bongoyo Ukarabati wa vyumba 8 vya madarasa shule ya msingi Msasani
A
Ukarabati wa vyumba 7 vya madarasa shule ya msingi
Oysterbay Kufanya ukarabati wa madarasa 08 Oysterbay sekondari
Kusafisha na kupanua mto Feza Ujenzi wa barabara ya Twiga - Rufiji Km 0.5
Matengenezo ya barabara ya Ali Bin Said Avenue Km 0.5
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Kenyatta Km 1.4
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Toure Drive Km
5.5 Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Chole Km 3.0
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Kimweri Km 2.3
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Kaunda Km 0.75
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Katoke Km 0.3
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Karume Km 1.5
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Yatch Km 0.25
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Zambia Km 0.3
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Slipway Km 2.1
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Haile Selasie Km
5.1
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
Ujenga ofisi ya kata Msasani
Ujenzi wa uzio wa josho la kuogeshea mbwa Oysterbay.
JUMLA KATA YA MSASANI
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MAKONGO KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 554,089,286.95
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
MAKONGO Ujenzi wa zahanati mpya Makongo Juu Ujenzi wa zahanati mpya Changanyikeni
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) LONDA SEK
Matengenezo maalum barabara ya changanyikeni Shule
KM 2.20 Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya
Changanyikeni Km 2.8 JUMLA KATA YA MAKONGO
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MBEZI JUU KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018
FEDHA ZILIZOTENGWA 447,021,400.00
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
MBEZI JUU Ununuzi wa vifaa vya Wodi ya wazazi zahanati ya Ndumbwi
Ujenzi wa incinerator zahanati ya Ndumbwi
Ununuzi wa madawati 100 kwa shule ya sekondari Mbezi juu
Umaliziaji wa ujenzi wa madarasa 06 shule ya sekondari Mbezi
juu Matengenezo ya Boksi Kalavati Ndumbwi Dispensary
Matengenezo ya Boksi Kalavati Ndumbwi II
kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama katika kata ya
Mbezi Juu Kusambaza huduma ya majisafi katika mataa wa SAKUVEDA
Kujenga kisima cha maji Mbezi Juu
JUMLA KATA YA MBEZI JUU
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA KAWE KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 2,511,014,062.65
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
KAWE
Ujenzi wa matundu 10 ya vyoo shule ya msingi Kawe B Ujenzi wa matundu 10 ya vyoo shule ya msingi Mirambo Ujenzi wa matundu 10 ya vyoo shule ya msingi Mbezi Beach
Ukarabati wa vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Kawe Ukarabati wa vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Kawe B Ukarabati wa vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Lugalo Ukarabati wa vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Mbezi Beach Ukarabati wa vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Mirambo Ukarabati wa vyumba 8 vya madarasa shule ya msingi Tumaini ununuzi wa vifaa vya maabara(01) KAWE SEK Ujenzi wa barabara ya Makonde Km 1.8 Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Lugalo Golf Km 0.8 Ujenzi wa kituo cha mafunzo ya mifugo ya kata ya Kawe.
JUMLA KATA YA KAWE
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA BUNJU KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 535,329,575.90
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
BUNJU
Ujenzi wa TB DOT Unit eneo la Bunju Ukamilishaji wa vyumba 2 za walimu boko sekondari ununuzi wa vifaa vya maabara(3) BOKO SEK ununuzi wa vifaa vya maabara(3) BUNJU SEK
Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua Basihaya katika kata ya Bunju Matengenezo ya Boksi Kalavati la Burumawe Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua Basihaya katika kata ya Bunju Kukamilisha ujenzi wa madarasa 2 Shule ya msingi Boko Kukarabati ofisi ya Kata,Kata ya Bunju Kuendeleza mradi wa kisima cha maji Boko Chama JUMLA KATA YA BUNJU
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA KIGOGO KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 836,930,000.00
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
KIGOGO Upanuzi wa Zahanati ya Kigogo
Ujenzi matundu 16 ya vyoo shule ya msingi Mapinduzi Ukarabati wa madarasa 5 shule ya msingi Kigogo
Ukarabati wa madarasa 8 shule ya msingi Mkwawa Ujenzi wa madarasa 3 shule ya sekondari KIGOGO Kusafisha na kupanua mto Kibangu Ujenzi wa Boksi Kalavati Kigogo – Mburahati Kuwezesha ununuzi wa ng’ombe wa maziwa na ujenzi
wa banda la ng’ombe katika shule ya msingi Kigogo JUMLA KATA YA KIGOGO
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA KUNDUCHI KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018
FEDHA ZILIZOTENGWA 3,295,536,573.90 KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
KUNDUCHI Ujenzi wa zahanati mpya katika eneo la Kondo Upanuzi wa jengo la OPD - Tegeta ununuzi wa vifaa vya maabara(3) KONDO SEK ununuzi wa vifaa vya maabara(3) MTAKUJA SEK
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Kunduchi Beach km 1.7 Ujenzi wa barabara ya Tegeta – Nyuki kwa kiwango cha lami km 3.1 Matengenezo ya sehemu korofi ya Generali Maneno km 2.5 Kuwezesha ununuzi wa ng’ombe wa maziwa na ujenzi wa banda la
ng’ombe katika shule ya msingi Ununio kata ya Kunduchi. Kukarabati vituo vya kupokelea samaki vya Ununio na Kunduchi ifikapoa
Juni 2018 Kuwezesha uboreshaji na kupendezesha bustani ya Kawe Mtaa wa
Kilongawima Kata ya Kunduchi katika Manispaa ya Kinondoni
JUMLA KATA YA KUNDUCHI
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MWANANYAMALA KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 534,744,786.95
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
MWANANYAMALA Ujenzi wa Jengo la bima ya Afya hospitali ya Mwananyamala Ukarabati wa Majengo katika hospitali ya Mwananyamala. Ununuzi wa Generator 1katika hospitali ya Mwananyamala Upanuzi wa Zahanati ya Kambangwa
Ukarabati wa ofisi ya walimu shule ya msingi Msisiri
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) KAMBANGWA SEK
Ukarabati wa madarasa 04 shule ya sekondari KAMBANGWA
Ujenzi wa madarasa 04 shule ya sekondari KAMBANGWA
Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua Dunga katika kata ya
Mwananyamala
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Iringa km 1.8
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Malanga km
1.4 Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Mwinyijuma km
2.7 Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Kwa Kopa km
0.5
JUMLA KATA YA MWANANYAMALA
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MAKUMBUSHO KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 1,617,946,036.95
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
MAKUMBUSHO Ukarabati wa Ofisi ya kata ya Makumbusho
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) MAKUMBUSHO
SEK
Ujenzi wa Barabara ya Akachube Km 1.0
Ukarabati wa madarasa 3 shule ya msingi Minazini
Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua Mwananyamala
bwawani hadi mto ng’ombe JUMLA KATA YA MAKUMBUSHO
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MBWENI KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 1,304,829,573.90
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
MBWENI Ukarabati wa jengo la kujifungulia katika zahanati ya Mbweni
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) MBWENI TETA SEK
Ukarabati wa madarasa 03 MBWENI TETA sekondari
Ukarabati wa madarasa 03 MBWENI sekondari
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) MBWENI SEK
Matengenezo ya sehemu korofi barabara ya Maputo km 0.5
Matengenezo maalum barabara ya Mbweni Km 1.0
JUMLA KATA YA MBWENI
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MIKOCHENI KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 1,182,384,786.95
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
MIKOCHENI Ujenzi wa kliniki ya RCH katika eneo la Mikocheni Ukarabati wa madarasa 5 shule ya msingi Mikocheni Ukarabati wa madarasa 3 shule ya msingi Ushindi Ukamilishaji wa madarasa 08 shule ya sekondari Mikocheni
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) MIKOCHENI SEK Ununuzi wa madawati 100 kwa shule ya sekondari MIKOCHENI Ujenzi wa maabara 03 Shule ya sekondari Mikocheni Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua Mtaa wa Darajani (TMJ) katika kata
ya Mikocheni Madeni ya Ujenzi wa barabara za zege za migombani na Chwaka Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Garden km 2.6 Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya ITV km 2.3 Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Regent km 0.9 Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Migombani km 1.25 Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Chato km 0.7 Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Mazinde km 0.55 Matengenezo maalum barabara ya Mikocheni ‘B’ km 0.9 Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya viongozi km 2.8
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Ursino km 0.9 JUMLA KATA YA MIKOCHENI
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA NDUGUMBI KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018
FEDHA ZILIZOTENGWA 527,436,906.95
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
NDUGUMBI Ukarabati wa mfumo wa majitaka katika kituo cha afya
Magomeni Landscaping na ujenzi wa mifereji katika kituo cha afya
magomeni Ukarabati na upanuzi wa chumba cha kujifungulia kituo cha
afya Magomeni
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) TURIANI SEK
Ukarabati wa ofisi ya kata,Kata ya Ndugumbi.
Ukarabati wa uzio wa shule ya Turiani
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Kondoa km 1.5
JUMLA KATA YA NDUGUMBI
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA WAZO KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 308,222,960.85
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
WAZO Ujenzi wa nyumba ya mtumishi zahanati ya Salasala Ukamilishaji wa nyumba 01 ya mwalimu Twiga Sek
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) KISAUKE SEK
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) TWIGA SEK
Kufanya ujenzi wa choo shule Mpya ya sekondari Mivumoni SEK
Kufanya ujenzi wa choo shule ya sekondari MAENDELEO SEK
Ukarabati wa madarasa 05 TWIGA sekondari
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) MAENDELEO SEK
Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua kutoka Salasala hadi mto
Magwaza kata ya Wazo
Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua kutoka Salasala hadi mto
Magwaza kata ya Wazo
Matengenezo ya sehemu korofi barabara ya Mboma km 2.2
Kufanya matengenezo ya magari 2 na usimamizi wa miradi
iliyoachwa na wafadhili Good Neighbours
JUMLA KATA YA WAZO
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA KIJITONYAMA KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 291,363,536.95
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
KIJITONYAMA
Landscaping na ujenzi wa mifereji katika zahanati ya
Mwenge 13,000,000.00
ununuzi wa vifaa vya maabara(3) SALMA KIKWETE SEK 1,414,786.95
Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua Bwawani kata ya
Kijitonyama 70,000,000.00
Mtengenezo ya mara kwa mara barabara ya Africasana
km 1.1 11,130,000.00
Mtengenezo ya mara kwa mara barabara ya Ali Maua
km 1.8 7,750,000.00
Mtengenezo ya mara kwa mara barabara ya Kajenge km
1.9 13,250,000.00
Matengenezo ya sehemu korofi barabara ya Sayansi –
Kipande km 0.15 50,000,000.00
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Sayansi
km 0.65 10,600,000.00
Matengenezo ya sehemu korofi barabara ya Msikitini -
Mwenge km 0.3 30,000,000.00
Matengenezo ya sehemu korofi barabara ya Kanisani
TAG - Mwenge km 0.5 40,000,000.00
Ukarabati wa madarasa 5 shule ya msingi Kijitonyama 44,218,750.00
JUMLA KUU KIJITONYAMA
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MAGOMENI KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018
FEDHA ZILIZOTENGWA 413,402,120.00
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
MAGOMENI Ujenzi wa uzio shule ya msingi Ali Hassan Mwinyi
Ujenzi wa uzio shule ya msingi Magomeni
Ujenzi wa matundu 16 ya vyoo shule ya msingi Magomeni
Ukarabati wa vyumba 3 vya madarasa shule ya msingi Ali Hassan
Mwinyi Ujenzi wa zahanati mpya eneo la Magomeni
Kusafisha na kupanua mto Ng’ombe
Ujenzi wa uzio wa shule ya msingi Alli Hassan Mwinyi
Ujenzi wa uzio wa shule ya msingi Magomeni
Ujenzi wa matundu 16 ya vyoo shule ya Msingi Magomeni
Ukarabati wa madarasa 3 shule ya msingi Alli Hassan Mwinyi
Matengenezo ya mara kwa mara Barabara ya Chemchem km 0.8
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Idrisa km 1.1
JUMLA KATA YA MAGOMENI
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA TANDALE KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 329,000,000.00
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
TANDALE Ujenzi wa matundu 16 ya vyoo shule ya msingi Muhalitan
Ujenzi wa matundu 16 ya vyoo shule ya msingi Hekima
Ujenzi wa matundu 16 ya vyoo shule ya msingi Tandale Magharibi
Ujenzi wa matundu 16 ya vyoo shule ya msingi Tandale
Ukarabati wa vyumba 3 vya madarasa shule ya msingi Tandale
Ujenzi wa vyumba 7 vya madarasa shule ya msingi Muhalitan
Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua Goda kata ya Tandale
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Mlandizi km 5.1
JUMLA KATA YA TANDALE
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA MZIMUNI KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 1,453,013,378.00
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
MZIMUNI Ujenzi wa matundu 16 ya vyoo shule ya msingi Mzimuni.
Ukamilishaji wa uzio shule ya msingi Mzimuni.
Ukarabati wa nyumba 1 ya mwalimu shule ya msingi Mikumi
Ukamilishaji wa madarasa 06 shule ya sekondari Mzimuni
Ununuzi wa madawati 100 shule ya sekondari Mzimuni
Kufanya matengenezo ya mfereji wa maji ya mvua katika Kata ya
Mzimuni Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Madaba km 0.4
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Mikumi km 1.4
Matengenezo ya sehemu korofi barabara ya Ruaha Km 0.4
Matengenezo ya sehemu korofi barabara ya Shoka Km 0.5
Ujenzi Wa Soko la Kisasa Magomeni.
Kujenga kisima cha maji Mzimuni
Kukarabati ofisi ya kata, Kata ya Mzimuni
JUMLA KATA YA MZIMUNI
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA HANANASIFU KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 412,426,986.95
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
HANANASIFU ununuzi wa vifaa vya maabara(3) HANANASIF SEK
Ujenzi wa madarasa 04 Hananasif SEK
Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua katika kata ya Hananasifu
Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Hananasifu km 0.75
Matengenezo ya smara kwa mara barabara ya Sterio km 1.1
Ujenzi wa Zahanati Mpya Kata ya Hananasifu
JUMLA KATA YA HANANASIF
MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KATIKA KATA YA KINONDONI KWA BAJETI YA MWAKA 2017/2018 FEDHA ZILIZOTENGWA 80,130,000.00
KATA MIRADI ILIYOPELEKWA
KINONDONI Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua kutoka Best Bite hadi
King Solomon Matengenezo ya mara kwa mara barabara ya Tunisia