Top Banner
Mifuko ya PICS: Weka Mavuno Bila Kutumia Dawa Ununuwe mifuko ya PICS kwa wa- churuzi wanaokubaliwa. Uhakikishe kila mfuko PICS una sehemu tatu Uhakikishe kama mavuno yakuweka imekauka na ni safi (bila uchafu) • Usiweke mifuko ya PICS kwenye jua ao kwenye kifukutu • Usiweke mifuko ya PICS chini udongoni, ila juu ya mbao/pande za mti/mawe • Usiegemeshe mifuko ya PICS kwenye uku ta kwa kurahisisha uchunguzi • Usiweke mifuko ya PICS fasi moja na ingine mifuko ambayo ina mavuno yaliyo shambuliwa na vidudu 1 3 2 Sokota kauchu ya kwanza vizuri ukiondoa hewa. Ki- sha ugunje vizuri na kufunga na kamba. Fanya vile vile kwa kauchu ya pili na mufuko wa tatu Hatuwa ya 1 Funga kauchu ya kwanza ndani Hatuwa ya 2 Funga kauchu ya pili kati Hatuwa ya 3 Funga mfuko wa tatu wa inje 7 Jaza mavuno katika mfuko ukitingizatin- giza vizuri kwa kuondowa hewa. Acha nafasi kwa ajili ya kufunga mfuko Tumbukiziya kauchu zote mbili ndani ya mfuko wa tatu. Gunja mifuko yote mitatu pamoja kuanzia juu 4 5 6 Tiya mavuno kidogo katika kauchu ya kwanza kiisha utumbukizie ndani ya kauchu ya pili CONTACT Purdue Improved Crop Storage Department of Entomology Purdue University West Lafayette, IN 47907 Email: [email protected] Phone: (+1) 765-494-4554 Catholic Relief Services-USCCB CONGO PROGRAM 12 Bis, Avenue Nyembo Quartier Socimat Kinshasa - R. D. Congo Tél: +243 991009500 E-mail: [email protected] Redaction: D. Baributsa, I. Baoua, T. Abdoulaye, C. Dabiré, C. Alexander & L. Murdock Drawings: Boukari Mamadou, Niger Chunguza kama kauchu mbili za nda- ni hazitoboke (usitumiye iliyotoboka ama iliyopasuka) 8 Unashauriwa: “Mifuko ya PICS – inaongeza tha- mani ya mavuno nakuchunga ubora wa chakula”
1

Mifuko ya PICS: Weka Mavuno Bila Kutumia Dawa...Catholic Relief Services-USCCB CONGO PROGRAM 12 Bis, Avenue Nyembo Quartier Socimat Kinshasa - R. D. Congo Tél: +243 991009500 E-mail:

Jan 24, 2021

Download

Documents

dariahiddleston
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: Mifuko ya PICS: Weka Mavuno Bila Kutumia Dawa...Catholic Relief Services-USCCB CONGO PROGRAM 12 Bis, Avenue Nyembo Quartier Socimat Kinshasa - R. D. Congo Tél: +243 991009500 E-mail:

Mifuko ya PICS: Weka Mavuno Bila Kutumia Dawa

Ununuwe mifuko ya PICS kwa wa-churuzi wanaokubaliwa. Uhakikishe kila mfuko PICS una sehemu tatu

Uhakikishe kama mavuno yakuweka imekauka na ni safi (bila uchafu)

• Usiweke mifuko ya PICS kwenye jua ao kwenye kifukutu

• Usiweke mifuko ya PICS chini udongoni, ila juu ya mbao/pande za mti/mawe

• Usiegemeshe mifuko ya PICS kwenye uku ta kwa kurahisisha uchunguzi

• Usiweke mifuko ya PICS fasi moja na ingine mifuko ambayo ina mavuno yaliyo shambuliwa na vidudu

1 32

Sokota kauchu ya kwanza vizuri ukiondoa hewa. Ki-sha ugunje vizuri na kufunga na kamba. Fanya vile vile kwa kauchu ya pili na mufuko wa tatu

Hatuwa ya 1Funga kauchu ya kwanza ndani

Hatuwa ya 2 Funga kauchu ya pili kati

Hatuwa ya 3Funga mfuko wa tatu wa inje7

Jaza mavuno katika mfuko ukitingizatin-giza vizuri kwa kuondowa hewa. Acha nafasi kwa ajili ya kufunga mfuko

Tumbukiziya kauchu zote mbili ndani ya mfuko wa tatu. Gunja mifuko yote mitatu pamoja kuanzia juu 4 5 6Tiya mavuno kidogo katika kauchu ya

kwanza kiisha utumbukizie ndani ya kauchu ya pili

CONTACTPurdue Improved Crop StorageDepartment of EntomologyPurdue UniversityWest Lafayette, IN 47907Email: [email protected]: (+1) 765-494-4554Catholic Relief Services-USCCBCONGO PROGRAM12 Bis, Avenue NyemboQuartier SocimatKinshasa - R. D. CongoTél: +243 991009500E-mail: [email protected]

Redaction: D. Baributsa, I. Baoua, T. Abdoulaye, C. Dabiré, C. Alexander & L. MurdockDrawings: Boukari Mamadou, Niger

Chunguza kama kauchu mbili za nda-ni hazitoboke (usitumiye iliyotoboka ama iliyopasuka)

8Unashauriwa: “Mifuko ya PICS – inaongeza tha-

mani ya mavuno nakuchunga ubora wa chakula”