Top Banner
Marketplace Literacy Training slides - Training of trainers presentation - 1 “Investing in Maasai women for improving rural community well-being” Contract n. DCI-HUM/2014/341-127
48

Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Feb 08, 2020

Download

Documents

dariahiddleston
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Marketplace Literacy Training slides

- Training of trainers presentation -

1

“Investing in Maasai women

for improving rural community well-being”

Contract n. DCI-HUM/2014/341-127

Page 2: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

SEHEMU YA KWANZA

Ufahamu wa masoko

2

Page 3: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Ufahamisho

• Ukaribisho

• Utambulisho

• Matarajio

• Ramani – barabara ya mafunzo (ufahamu wamasoko/ujasiriamali)

3

Page 4: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Ufahamisho - inaendelea

• Kanuni za mafunzo (Simu, muda, kuheshimu maoni ya wengine, kuheshimiana, kupendana, uwazi, kukosoana n.k.)

• Kuchagua viongozi

• Kujenga Timu katika mafunzo

• Lengo: Mafunzo yatalenga watu wenye kipato cha chini

4

Page 5: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

KAULI MBIU YA MAFUNZO

“Biashara ni Maisha”

5

Page 6: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Matokeo ya mafunzo

Baada ya mafunzo washiriki wataweza

• Kueleza kwa msisitizo (kama wateja au wajasriamali) umuhimu wa kufahamu mienendo ya masoko na ujasiriamali badala ya kusisitiza ufahamu wa kununua na kuuza bidhaa au huduma peke yake

• Kufanya ujasiriamali kwa uwezo mkubwa na kwa usahihi kwa kuzingatia uwiano wa haki za mteja (mnunuzi) na haki za muuzaji

• Kujiamini katika biashara kutokana na ufahamu wa mienendo ya masoko na ujasiriamali

6

Page 7: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Ufafanuzi wa kauli mbiu

Neno “MAISHA” lina maana mchakato wa kuboresha nafsi za binadamu ambazo ni pamoja na nafsi za

• Kiroho

• Hisia

• Kiakili

• Kimwili

• Kijamii

• Kimazingira

7

Page 8: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Ufafanuzi wa kauli mbiu

• Madhumuni ya mchakato wa kuboresha nafsi nikuishi MAISHA BORA kwa maana ya maisha yafuraha

• Neno “BIASHARA” kwa ujumla lina maanakubadilishana vitu au huduma kwa ajili ya kuboreshanafsi za binadamu (Nafsi za kiroho, hisia, kiakili, kimwili, kijamii na kimazingira) yaani kukidhi mahitajiya wajasiriamali, wateja na wanajamii ili wawezekuishi maisha ya furaha

• Ina maana kuwa ni lazima biashara ifanyike kwakuzingatia haki za watu ambapo ni pamoja nakuzingatia haki za wanawake, wazee, walemavu nawatoto katika jamii na katika familia

8

Page 9: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Masoko

Utangulizi

• Somo: Dhana ya ufahamu wa masoko (Ufafanuzi)

• Umuhimu wa kufahamu mienendo ya masoko kabla ya kuzalisha bidhaa

Kwa mteja

Kwa mjasiriamali

9

Page 10: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Masoko - inaendelea

• Uhusiano kati ya somo na kauli mbiu ya mafunzo (Somo linalenga kuboresha maisha ya watu, siyo tu kwa ajili ya kupata elimu au stadi kuhusiana na somo)

• Tafsiri ya maneno soko, sokoni

10

Page 11: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Kitu muhimu kuliko vyote

11

Page 12: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Mteja

• Mteja: Ufafanuzi wa neno mteja

• Mteja ni mfalme: Huu ni msisitizo kuwa mteja ni kitu muhimu kuliko vyote katika biashara (Zoezi: Washiriki kuchagua picha wanazoona ni kitu muhimu kuliko vyote katika biashara na kueleza sababu ya uchaguzi wao)

• Ina maana ni lazima kutumia muda wa kutosha kuliko ilivyo kwa sasa ili kumuelewa na kumhudumia mteja kikamilifu

12

Page 13: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Tabia ya mteja

• Kujiuliza swali KWANINI ili kufafanua tabia za mteja, tabia za muuzaji na mienendo ya soko wakati wa kuuza na kununua (Kwanini wengi wamevutia na duka hili au lile, kwanini wateja hawakulinganisha bei za maduka mawili kabla ya kununua n.k.)

• Ujumbe:

• Kuna manufaa zaidi kwa mjasiriamali kufahamu tabia ya mteja katika kununua kuliko kufahamu jinsi ya kununua na kuuza bidhaa au huduma peke yake

13

Page 14: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Tabia ya mteja

ZOEZI

14

Page 15: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Majukumu na haki ya mteja

• Kanuni za kununua na umuhimu wake katika biashara

• Mifano ya kanuni za kununua bidhaa au huduma

Kutayarisha orodha ya kuzingatia kabla ya kwenda sokoni kununua bidhaa

Kuepuka kununua bidhaa ambayo wakati wake umekwisha

Kununua bidhaa kwa kuzingatia viwango-Nembo ya viwango, chapa, n.k.

Kuchunguza idadi, uzito, ujazo n.k. kabla ya kununua

15

Page 16: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Majukumu na haki ya mteja - inaendelea

• Kudai risiti inayotambuliwa na serikali

• Kuhesabu chenji mara baada ya kupokea kutoka kwa muuzaji

• Kuepuka kuchafua mazingira

• Kudadisi thamani ya bidhaa ili kufahamu na kulipia thamani halisi

• Kulinganisha bei ya bidhaa kwenye maduka mengine kabla ya kununua

16

Page 17: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Majukumu na haki ya mteja - inaendelea

• Kununua kwa kuzingatia thamani ya sasa au yabaadae badala ya kununua kwa madhumuni yasiyona tija

• Kuepuka kufanya shughuli za biashara zinazoathirihisia na shughuli za kijamii

• Kuzingatia kuwa mteja ana haki sawa na muuzaji. (Rejea usawa kwa kuonyesha mizani ambapo uzitowa mteja unalingana na uzito wa muuzaji)

Ujumbe: Mteja na mjasiriamali hujenga hali yakujiamini katika biashara kwa kufuata kanuni zakununua bidhaa au huduma

17

Page 18: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Thamani

• Ufafanuzi wa neno “Thamani”

• Mahusiano ya maneno thamani, bidhaa na huduma

• Mifano ya thamani (bidhaa, huduma)

• Elimu (Huduma)

• Mifugo (Bidhaa)

• Samadi (Mbolea; malighafi ya nishati)

• Sabuni (bidhaa)

• Sukari (bidhaa)

• Matangazo (Huduma)

18

Page 19: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Thamani - inaendelea

Mifano ya thamani

• Mahubiri (Huduma)

• Maombi (Huduma)

• Wimbo (Huduma)

• Uaminifu (Huduma)

• Uwazi (Huduma)

• Vipaji (Huduma/bidhaa)

• Mahusiano kwa upendo wa dhati na watukwamfano majirani

• Miti

• Asali

• N.k. 19

Page 20: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Thamani - inaendelea

• Matumizi ya neno thamani katika kutafsiri neno biashara au ujasiriamali

• Kutambua thamani zilizopo kwenye mazingira tunayoishi (Washiriki kutoa ushuhuda wa thamani zilizopo kwenye mazingira yao)

• Kutengeneza thamani

• Kuongeza thamani

• Mnyororo wa thamani

• Mifano ya thamani (bidhaa au huduma) zinazoweza kutengenezwa bila kusubiri mtaji wa fedha

20

Page 21: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Mnyororo na Ongezeko la thamani

21

Page 22: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Kubadilishana thamani

22

Page 23: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Thamani - inaendelea

• Gharama za bidhaa kuhusiana na

Ongezeko la thamani

Mnyororo wa thamani

• Bei za bidhaa kuhusiana na

Ongezeko la thamani

Mnyororo wa thamani

23

Page 24: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Thamani - inaendelea

Ujumbe:

• Kila mtu mzima ana uwezo wa kutambua thamani (bidhaa au huduma) katika mazingira yake au kujenga thamani mpya akitaka

• Inawezekana kutambua au kujenga thamani bila kuwa na mtaji wa fedha

• Mtaji bora katika ujasiriamali ni akili na maarifa ukichanganya na ubunifu

• Inafuatia kuwa kila mtu mzima ana uwezo wa kubadilishana thamani na wengine baada ya kuzitambua au kuzijenga thamani hizo kabla ya kuwa na mtaji wa fedha

24

Page 25: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Thamani - inaendelea

Ujumbe

• Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali ni kubadilishana thamani kati ya mnunuzi na muuzaji

• Kitu muhimu ni kupata wateja wa uhakika kwanza. Mbinu tofauti na mtaji wa fedha zinaweza kutumika kufanikisha biashara (kubadilishana thamani)

• Nafasi ya mtaji wa fedha itakuwa ni kuboresha, kuimarisha au kupanua biashara

25

Page 26: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Utafiti

• Maana ya neno utafiti

• Madhumuni ya utafiti katika biashara

• Utafiti usisitize kuuliza na kujibu Swali “KWANINI” kuhusiana na vipengele mbali mbali vya masoko

• Swali “KWANINI” badala ya mengine kama “WAPI, LINI, NANI n.k. hutoa fursa ya kuelewa tabia namienendo ya masoko kwa kina na kwa mapana. Maswali mengine pia yana umuhimu wake katikautafiti

• Mifano ya swali “KWANINI”

26

Page 27: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Utafiti - unaendelea

• Mifano ya masuala ya kufanyia utafiti katika biashara

Kulinganisha bei kabla ya kununua bidhaa au huduma

Kuchunguza vizuri biashara ya kufanya

Kuchunguza ushindani katika biashara

Kuchunguza utayari wa wateja na uwezo wao wa kununua bidhaa au huduma

Kuhakiki utayari wa wateja na uwezo wao wa kununua bidhaa au huduma

27

Page 28: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Utafiti - unaendelea

• Ujumbe: Mteja au mjasiriamali hufanya utafiti kwa madhumuni ya kupata taarifa sahihi ili kufanya maamuzi sahihi

• Rejea mwongozo wa mafunzo

28

Page 29: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Mwendelezo wa masoko

Mjasiriamali huzingatia mwendelezo wa masoko

• Kifedha

• Shughuli za masoko kuongeza kwa wingi kipato cha biashara kifedha

• Kiutawala

• Shughuli za masoko kuwa na mfumo kamili wa kujiendesha

• Kimazingira

• Shughuli za masoko zisiharibu mazingira au mazingira yasiharibu shughuli hizo

29

Page 30: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Mwendelezo wa biashara - unaendelea

• Kijamii

• Shughuli za masoko kuzingatia haki za kijamii pamoja na kuzingatia haki za wanawake, wazee, watoto, walemavu n.k.

• Ujumbe:

• Mjasiriamali hutayarisha na kutekeleza mpango wa mwendelezo wa masoko anapoanza biashara

• Rejea (Mwongozo wa mafunzo): Ukurasa

30

Page 31: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Muhtasari wa yaliyofundishwa

UFAFANUZI

31

Page 32: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

SEHEMU YA PILI

Ufahamu wa ujasiriamali

32

Page 33: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

KAULI MBIU YA MAFUNZO

“BIASHARA NI MAISHA”

33

Page 34: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Ufahamu wa ujasiriamali

Wigo wa mafunzo

• Biashara ni MFUMO na siyo shughuli ya kuuza na kununua bidhaa au huduma tu

• MFUMO wa biashara una vipengele vingi

34

Page 35: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Ufahamu wa ujasiriamali

• Vipengele vingi vya biashara huwezesha bidhaa au huduma kuwepo

• Ina maana kuwa vipengele vinavyowezesha bidhaa kuwepo ni muhimu kuliko bidhaa au huduma katika biashara

35

Page 36: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Ufahamu wa ujasiriamali….unaendelea

• Inafuatia kuwa ni busara kwa mjasiriamali kuwekamsisitizo zaidi kwenye vipengele vya biasharavinavyowezesha bidhaa au huduma kuwepobadala ya kuweka msisitizo kwenye bidhaa au huduma peke yake

• Kuwafahamisha washiriki kuwa biashara endelevuinahusu kujenga mahusiano kati ya muuzaji namnunuzi na siyo kuuza na kununua bidhaa au huduma tu

36

Page 37: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Vipengele vya ujasiriamali/Biashara

(A)Utafiti wa soko na tathmini ya mjasiriamali

Ufafanuzi, mifano na ushuhuda

• Utafiti

• Mahitaji / matatizo ya watu

• Tathmini ya fursa za biashara

• Vipaumbele vya biashara

• Mazingira ya ndani ya biashara

• Ushindani katika biashara

37

Page 38: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Utafiti wa soko na tathmini ya mjasiriamali

Ufafanuzi, mifano na ushuhuda

• Mazingira ya nje ya biashara(serikali/asili)

• Tabia ya wateja kwa mapana na kwa kina (nafsi zawateja)

• Kuhakiki uwepo wa wateja wa uhakika

• Kupata wateja

• Kubaki na mteja

38

Page 39: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Utafiti wa soko na tathmini ya mjasiriamali

Ufafanuzi, mifano na ushuhuda

• Imani/kuamini inawezekana

• Kujiamini katika biashara (Kuikabili hofu, kupatataarifa sahihi)

• Watu wa mfano wa kuigwa

• Mihimili katika biashara

• Washauri walezi katika biashara

• Mifano ya biashara zilizoanzishwa bila mtaji wafedha

39

Page 40: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

(B) Mpango wa biashara

Ufafanuzi, mifano na ushuhuda

• Pendekezo la thamani

• Wazo la biashara

• Mfumo wa matumizi ya rasilimali kwa ajili yakufanya ujasiriamali: Kufanikisha biashara kwakutumia rasilimali pungufu

• Mkakati wa kutekeleza wazo la biashara

• Rasilimali zilizopo kwa ajili ya ujasiriamali

• Usajili na umiliki wa biashara

• Mahali pa biashara

40

Page 41: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Mpango wa biashara

Ufafanuzi, mifano na ushuhuda

• Msisitizo katika biashara

• Kuunda bidhaa

• Kuzalisha bidhaa

• Kufungasha bidhaa

• Kuhifadhi bidhaa

• Upatikanaji wa bidhaa

41

Page 42: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Mpango wa biashara

Ufafanuzi, mifano na ushuhuda

• Kupanga bei ya bidhaa au huduma

• Kutangaza au kutambulisha bidhaa au huduma

• Kusambaza bidhaa au huduma

• Kufungua akaunti ya benki

• Kuuza bidhaa

42

Page 43: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Mpango wa biashara

Ufafanuzi, mifano na ushuhuda

• Kumbukumbu za bidhaa katika mwaka

• Kumbukumbu za kifedha

• Gharama (Aina za gharama)

• Mtaji / Mkopo katika biashara

• Madeni katika biashara (Madeni mazuri na madenimabaya)

• Mapato /faida (Aina ya mapato/faida)

43

Page 44: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Mpango wa biashara

Ufafanuzi, mifano na ushuhuda

• Mtiririko wa fedha

• Maamuzi ya vyanzo na matumizi ya fedha kufuatiamchanganuo wa kumbukumbu na mtiririko wafedha

• Kukuza / kupanua biashara

44

Page 45: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Mpango wa biashara

Ufafanuzi, mifano na ushuhuda

• Udhibiti wa biashara

• Viwango

• Mahesabu ya biashara

• Kanuni

• Mikataba/Makubaliano

• Dhamira ya biashara

• Uongozi wa biashara

• Timu ya biashara

• Orodha ya wataalam bingwa wa kila kipengele cha biashara

45

Page 46: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Mwendelezo wa biashara

Mjasiriamli huzingatia mwendelezo wa biashara

• Kifedha

• Biashara kujitegemea kifedha

• Kiutawala

• Biashara kuwa na mfumo kamili wa kujiendesha

• Kimazingira

• Biashara isiharibu mazingira au mazingira yasiharibu biashara

46

Page 47: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Mwendelezo wa biashara - unaendelea

Mjasiriamali huzingatia mwendelezo wa biashara

• Kijamii

• Biashara kuzingatia haki za kijamii pamoja na kuzingatia haki za wanawake, wazee, watoto, walemavu n.k.

• Ujumbe:

• Mjasiriamali hutayarisha na kutekeleza mpango wa mwendelezo wa biashara anapoanza biashara

• Rejea Mwangozo wa mafunzo

47

Page 48: Marketplace Literacy Training slides - Training of ... · •Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali

Muhtasari wa yaliyofundishwa

UFAFANUZI

48