Top Banner
BIASHARA Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TanTrade) Toleo Na.04 Juni, 2020 Serikali yatangaza bei elekezi ya Sukari kwenye mikoa yote nchini TANZANIA Maendeleo ya Jitihada za Wizara ya Viwanda na Biashara katika Mapambano dhidi ya Covid 19 Mashine ya kutakasa mwili mzima (full body sanitizing machine) iliyotengenezwa na SIDO Kitakasa Mikono kilichotengenezwa na TIRDO Tanzania kushiriki Maonesho ya Dunia Oktoba 1, 2021 Mbogamboga na Matunda zapenya soko la Ulaya TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo Uk.3 Uk.4 Uk.5 Uk.13 Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
13

BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

Oct 13, 2020

Download

Documents

dariahiddleston
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo TBIASHARA

Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TanTrade)Toleo Na.04 Juni, 2020

Serikali yatangaza bei elekezi ya Sukari kwenye mikoa yote nchini

TANZANIA

Maendeleo ya

Jitihada zaWizara ya Viwandana Biashara katika

Mapambano dhidi ya Covid 19

Mashine ya kutakasa mwili mzima (full body sanitizing machine)

iliyotengenezwa na SIDOKitakasa Mikono kilichotengenezwa na TIRDO

Tanzania kushiriki Maonesho ya Dunia Oktoba 1, 2021 Mbogamboga na Matunda zapenya soko la Ulaya

TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo

Kampuni 15 zinazozalisha mbog-amboga na matunda pamoja na wasa�rishaji wa bidhaa hizo nchini wamefanikiwa kupata soko kwenye bara la Ulaya baada ya kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Mbogamboga na Matunda yajulikanayo kama Fruit Logistica 2020 yaliyofanyika tarehe 5 hadi 7 Februari, 2020 katika mji wa Berlin..nchini..Uje-r u m a n i . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Mazao yaliyooneshwa na kam-puni hizo ni parachichi, rasiberi, ndimu zisizo na mbegu, njegere, aina mbalimbali za jamii ya pilipi-li, viungo vya chakula kama vile (tangawizi, nanaa, kitunguu jani), tikiti maji, maharage mach-anga................................................ Mmoja wa washiriki wa maone-sho hayo, Bw Hemedy Suleiman wa kampuni ya Southern Com-modities Ltd amesema kupitia ushiriki huo amefanikiwa kupata oda ya kusambaza tani 2,100 ya za parachichi, karanga na choroko kupeleka nchi za Falme za Kiarabu, Ufaransa, Malaysia, Vietnam na Ukraine.......................... Kufuatia ushiriki huu, Balozi wa

Uk.3Uk.4Uk.5Uk.13

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tzPiga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Page 2: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

Fursa za Biashara 2

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO UFARANSA

Kwa mara ya kwanza Tanzania ilishiriki Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa ya bidhaa za Kilimo maarufu kama Salon Interna�on-al De L'agriculture (SIA) yaliyofan-yika tarehe 22 Februari hadi 28 Fe b r u a r i , . 2 0 2 0 . m j i n i . Pa r i s Ufaransa. . 2020.... . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Ka�ka Maonesho hayo TanTrade ilira�bu ushiriki wa kampuni 17 kutoka Tanzania. Bidhaa zilizo-oneshwa ni pamoja na korosho, chai, kahawa, mchele, asali, kakao, karanga, bidhaa za mlonge, viungo vya chakula, mafuta ya ubuyu, unga wa mahindi, mtama, kisamvu, Rozel-l a , . m a h a ra g e . n a . mv i ny o . . .

Mhe Balozi Samwel Shelukindo, Balozi wa Tanzania nchini Ufaran-sa alieleza kuwa ushiriki wa Tanzania ulikuwa na mafanikio makubwa ambapo Kampuni

zilizoshiriki zimeweza kupata wanunuzi wa kahawa, korosho na Viungo vya Chakula ambavyo ni Karafuu, Iliki na Mdalasini..Aliele-za kuwa ushiriki wa maonesho hayo ni mwanzo mzuri wa kutan-gaza bidhaa za Tanzania nchini Ufaransa.............................

Aidha, alibainisha kuwa mbinu iliyotumika kutangaza Kahawa ya Tanzania kwa kuonjesha watem-beleaji ilikuwa na mafanikio mazuri ambapo wateja walivu�-wa ladha na.harufu ya kipekee ya kahawa yetu..Kampuni.zilizoshiri-ki zilifanikiwa kuuza papo kwa papo . .na. .kupata . .ahadi . . za manunuzi kutoka Kampuni za Ufaransa, Bulgaria na Oma-ni..Mbali na fursa za masoko, Mhe. Balozi Shelukindo alieleza kuwa wawekezaji mbalimbali

.

Mbali na fursa za masoko, Mhe Balozi Shelukindo alieleza

walijitokeza na kuonesha nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha Korosho na kiwanda cha kusindi-ka.Kakao. .Vi levi le , .Mnunuzi mkubwa wa mbogamboga na matunda wa nchini Ufaransa ameonesha..nia.ya.kununua bidhaa hizo kutoka nchini..Ili ku fan ik i sha . .b iashara . .h i zo TanTrade kwa kushirikiana na Ubalozi inatarajia kura�bu ujio wa msafara wa wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuja Tanzania kuangalia mifumo ya uzalishaji na kuweza kukamilisha tara�bu za m i k a t a b a . y a . m a u z i a -no...........................................

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe Balozi Dkt Abdallah Possi (kulia mwenye tai ya kijani)

akiwa na washiriki kutoka Tanzania kwenye Maonesho ya Fruit Logistica nchini Ujerumani

Page 3: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo T

Serikali yatangaza bei elekezi ya Sukari kwenye mikoa yote nchini

Fursa za Biashara 3

Kampuni 15 zinazozalisha mbog-amboga na matunda pamoja na wasa�rishaji wa bidhaa hizo nchini wamefanikiwa kupata soko kwenye bara la Ulaya baada ya kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Mbogamboga na Matunda yajulikanayo kama Fruit Logistica 2020 yaliyofanyika tarehe 5 hadi 7 Februari, 2020 katika mji wa Berlin..nchini..Uje-r u m a n i . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Mazao yaliyooneshwa na kam-puni hizo ni parachichi, rasiberi, ndimu zisizo na mbegu, njegere, aina mbalimbali za jamii ya pilipi-li, viungo vya chakula kama vile (tangawizi, nanaa, kitunguu jani), tikiti maji, maharage mach-anga................................................ Mmoja wa washiriki wa maone-sho hayo, Bw Hemedy Suleiman wa kampuni ya Southern Com-modities Ltd amesema kupitia ushiriki huo amefanikiwa kupata oda ya kusambaza tani 2,100 ya za parachichi, karanga na choroko kupeleka nchi za Falme za Kiarabu, Ufaransa, Malaysia, Vietnam na Ukraine.......................... Kufuatia ushiriki huu, Balozi wa

Tanzania nchini Ujerumani Mhe.Dkt Abdallah Possi ameele-za kuwa mafanikio ya ushiriki wa Tanzania yamekuwa makubwa.-kutokana.na makubaliano ya kimkakati yaliyo�kiwa baina ya wafanyabiashara wa Tanzania na wadau katika tasnia ya biashara ya mbogamboga na matun-d a . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

..........zzz “Binafsi nilikutana na mzalishaji k u t o k a . . Ta n z a n i a . . a m b a y e a m e i n gi a . .m a k u b a l i a n o. . n a muwekezaji kutoka Ujerumani. Hii inamaanisha Maonesho haya pia yalikuwa ni fursa kwa wazal-ishaji wa Tanzania kutafuta wabia wa biashara” amesema Mhe Balozi Possi...........................................

Ili kuendelea kupata fursa ya soko Mhe Balozi anahimiza wazalishaji kuwa na nguvu moja ili waweze kutosheleza mahitaji ya soko kubwa la Ulaya kwa ujumla hii itaongeza uzalishaji, lakini ni muhimu zaidi kuhakiki-s h a . . m a s h a r t i . . y a . . v i w a n g o yanatimiz wa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Ushiriki wa Tanzania katika Mao-nesho haya uliratibiwa na Kituo cha Biashara ya Kimataifa (ITC) kwa kushirikiana na TanTrade na Asasi kilele ya wadau wa mbog-amboga,matunda na viungo Tanzania (TAHA) na kufadhiliwa na Umoja wa Ulaya na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Matai-f a ( U N D P ) . . . . . . . . . . . . . . . . .

Fruit Logistica ni Maonesho makubwa ya matunda na mbog-amboga katika Bara la Ulaya ambayo kwa mwaka huu yanalivuta ushiriki wa waonesha-ji zaidi ya 3,300 kutoka kila hatua ya mnyororo wa ugavi (supply chain) wa mboga na matunda kutoka nchi 93 duniani..na watembeleaji zaidi ya 78,000..ku-toka..nchi..zaidi..ya..135. ya 135.....................................................

Sambamba na mafanikio hayo, Wafanyabiashara..wameweza

kukutana na kuingia makubalia-no na Taasisi ya Global Gap ambayo ni Taasisi muhimu ya kuwajengea uwezo wazalishaji kutumia njia salama na sahihi katika uzalishaji, na kuwaungani-sha na masoko ya kikanda na kimataifa..Kadhalika,..walipata fursa ya kuonana ana kwa ana na wanunuzi wengi waliotembelea b a n d a . . l a . . T a n z a n i a . . n a kuwapelekea kupata masoko makubwa na wengine kuvutiwa kuwekeza nchini................................

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tzPiga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Mbogamboga na Matunda zapenya soko la Ulaya

Page 4: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

Tanzania kushiriki kwenye Maonesho ya Dunia Oktoba 1, 2021

Fursa za Biashara 4

..........zzz “Binafsi nilikutana na mzalishaji k u t o k a . . Ta n z a n i a . . a m b a y e a m e i n gi a . .m a k u b a l i a n o. . n a muwekezaji kutoka Ujerumani. Hii inamaanisha Maonesho haya pia yalikuwa ni fursa kwa wazal-ishaji wa Tanzania kutafuta wabia wa biashara” amesema Mhe Balozi Possi...........................................

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Ushiriki wa Tanzania katika Mao-nesho haya uliratibiwa na Kituo cha Biashara ya Kimataifa (ITC) kwa kushirikiana na TanTrade na Asasi kilele ya wadau wa mbog-amboga,matunda na viungo Tanzania (TAHA) na kufadhiliwa na Umoja wa Ulaya na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Matai-f a ( U N D P ) . . . . . . . . . . . . . . . . .

Fruit Logistica ni Maonesho makubwa ya matunda na mbog-amboga katika Bara la Ulaya ambayo kwa mwaka huu yanalivuta ushiriki wa waonesha-ji zaidi ya 3,300 kutoka kila hatua ya mnyororo wa ugavi (supply chain) wa mboga na matunda kutoka nchi 93 duniani..na watembeleaji zaidi ya 78,000..ku-toka..nchi..zaidi..ya..135. ya 135.....................................................

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Jamhuri ya Muungano wa Tanza-nia ni miongoni mwa nchi zaidi ya 192 zinazotarajiwa kushiriki Maonesho ya Dunia yatakayofa-nyika jijini Dubai, katika nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu ( U A E ) . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Awali Maonesho yalipangwa k u f a n y i k a . O k t o b a . 2 0 2 0 hadi.Aprili 2021 ila kutokana na uwepo wa ugonjwa wa homa ya mapafu(COVID-19) Maonesho yataanza Oktoba.1,2021.hadi.3 M a c h i . 2 0 2 0 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Maonesho ya Dunia hufanyika kila baada ya miaka mitano (5) yakiwa na lengo la kukuza m a h u s i a n o . y a . k i u c h u m i , uwekezaj i , .k idiplomasia .na kijamii baina ya nchi................... Kauli Mbiu ya Maonesho hayo ni “Connecting Minds, Creating the Future’’ ikilenga kuonesha ubunifu, ugunduzi, ushirikiano na kufungua fursa za kiuchumi zilizopo duniani na kuzitumia ipasavyo kwa maendeleo.ende-levu..Nchi mbalimbali duniani zitajikita katika kuonesha mafan-ikio waliyo�kia katika kutafsiri kauli mbiu.hiyo.................................

. . . . . . . . . . Tanzania itashiriki chini ya kundi la “Mobility” ikilenga kuonesha juhudi za Serikali za zilizofanyika katika uanzishwaji na uende-lezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ya mifumo ya mawasiliano na usa�rishaji nchini. Sambamba na kuonesha mafanikio hayo, itatangaza fursa zilizopo katika sekta ya uwekeza-ji, utalii, viwanda, biashara na utamaduni. utamaduni. i

Kupitia Maonesho haya Tanzania itaratibu Siku Maalum (Tanzania National Day) ambayo itatumika kuonesha na kutangaza utamad-uni na sanaa ya kitaifa kupitia ngoma, mavazi, chakula na hamasa za kitamaduni kwa washiriki wote wa Expo na Dunia kwa ujumla. Maadhimisho ya siku hii yatahudhuriwa na Vion-gozi wa Ngazi za Juu wa Serikali ya Tanzania, Falme za Kiarabu na nchi nyingine washiriki..................

Sambamba na hayo, kutakuwa na.Kongamano.la.Biashara,U-wekezaji na Utalii ili kunadi.vivu-t io.na . fursa .z i l izopo.nchini a m b a p o . W a f a n y a b i s h a r a n a . Wawe k e z a j i . m b a l i m b a l i watahamasishwa.kushiriki.ili kuweza kukutana na wawekezaji kutoka mataifa mengine duni-a n i . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Aidha, kutakuwa na programu mbalimbali kama vile mikutano ya kibiashara na ziara za mafun-zo na matukio kwa makundi mbalimbali ya vijana, wanafunzi, wasanii, wanawake, wabunifu na wavumbuzi wa kisayansi au maarifa asilia ili kuongeza wigo wa Watanzania kushiriki mao-nesho ya Dunia ya EXPO 2020 Dubai. Hii ni fursa kubwa kwa Watanzania kujifunza nakujitan-g a z a . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini UAE Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) na

Mkurugenzi wa DUBAI EXPO 2020, Mhe. Najeeb Mohammed Al Ali wakiweka saini Mkataba wa ushiriki wa

Tanzania katika Maonesho ya Biashara ya Dunia (Dubai Expo 2020. Uwekaji saini huo ulifanyika Dubai Januari 16, 2019.

Page 5: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo T

Serikali yatangaza bei elekezi ya Sukari kwenye mikoa yote nchini

Fursa za Biashara 5

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe Omar Mgumba (Mb) akizungumza kwenye mkutano wa kuzindua Umoja wa Wazalishaji na Wasindikaji wa Zao la Muhogo nchini (TACAPPA)

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe Omar Mgumba (Mb) tarehe 8 Februari, 2020 alizindua Umoja wa Wazalishaji na Wasindikaji wa Zao la Muhogo Tanzania (Tanzania Cassava Producers and Processors Association –TACAPPA) jijini Dar es salaam..............................

Umoja huo wenye wanacha-ma zaidi ya 300 unajumuisha wazalishaji mbegu, wakulima, wafanyabiashara, wachakata-ji, wasindikaji na wanunuzi wa muhogo wenye lengo la kuendeleza mnyororo wa thamani wa zao la muhogo kwa lengo la kuhimili mahitaji ya.bidhaa.mbalimbali.zito-kanazo na muhogo katika soko la ndani na nje ya nchi. Mhe.Mgumba.amewataka wakulima wa zao la muhogo nchini kulima kwa tija ili waweze kutosheleza mahitaji ya masoko ya ndani na nje ya nchi na kuwahimiza..kufuata maelekezo ya wataalamu kwenye matumizi sahihi ya mbegu bora na sa� badala ya ku kulima kwa mazoea. n

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

‘’Serikali imeboresha na Kuim-arisha Vituo vya Uta�ti wa mazao mbalimbali, na kuna vituo saba(7) maalum kwa sasa ambavyo vinafanya ta�ti kwa ajili ya zao la muhogo ili kuzalisha mbegu bora zenye uwezo wa kupambana na magonjwa, mabadiliko ya tabia nchi na zenye tija. Hadi sasa aina ya mbegu 21 zimez-induliwa kwa ajili ya zao la muhogo pekee‘’ alisema M g u m b a . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Kwa upande wake Bw Edwin R u t a g e r u k a , . M k u r u g e n z i Mkuu wa TanTrade amewata-ka wazalishaji wa bidhaa hiyo kujipanga kupitia umoja wao ili kuwa na ushindani katika m a s o k o . . m b a l i m b a l i . n a kuongeza thamani ya zao hilo.Alieleza kuwa TanTrade imesi-

wa umoja huo baada ya maaz-imio ya mkutano uliofanyika tarehe 28 Januari, 2019 yaliyo-lenga kuwaunganisha wadau ili kuwa na sauti ya pamoja katika kuendeleza zao hilo.Nae Bi Mwantumu Mahiza, Mwenyekiti wa TACAPPA alieleza umuhimu wa muhogo kama zao la biashara na sio chakula tu. Hivyo alitoa rai kwa wakulima wa zao hilo kulima kimkakati ili kuongeza tija ya mkulima na taifa kwa u j u m l a . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Mafanikio ya mkutano huo wa wadau ni pamoja na kampuni3.zinazonunua..Muhogo..ku-unganishwa na wazalishaji ambao kwa ujumla wanahitaji muhogo mbichi tani 920, makopa tani 250, unga wa muhogo (HQCF) tani 100 kila mwezi..kwa..kampuni.hizo. . . . . . . . . . . . . . . .

Page 6: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

Waandaji wa Misafara na Maonesho ya kibiashara wazingatie sheria ya Uratibu

TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo T

Serikali yatangaza bei elekezi ya Sukari kwenye mikoa yote nchini

Fursa za Biashara 6

Waandaaji wa Maonesho na Misafara ya Kibiashara Ndani na Nje ya Nchi, Wamiliki wa Kumbi za Maonesho, Wizara, Taasisi za Umma na Binafsi pamoja na wadau wote kwa ujumla..wanakumbushwa..k-uwasi l isha. .Taari fa . .ya k u s u d i o . l a . . k u f a n y a Maonesho au Misafara hiyo kwa Mamlaka ya Maendeleo ya.Biashara.Tanzania(TanTra d e ) . k a b l a . y a . t u k i o kufanyika

Rai hii inazingatia Kifungu cha 5 (1) (b) cha Sheria Na. 4

TanTrade inatoa rai kwa waandaji wa Maonesho na Misafara..ya..Kibiashara nchini kuwasajili Maonesho na Misafara ya Kibiashara ama..shughulinyingine.za.Ukuzaji biashara.na.kutimiza masharti yote ya maandalizi y a . s h u g h u l i . h i z o . k a m a yal ivyoainishwa.kat ika Sheria. Kwenda kinyume na masharti hayo ni kosa kisheria na adhabu kali zitatolewa dhidi yao.

Taarifa za maandalizi ya

Maendeleo ya Biashara i n a y o i p a . . T a n T r a d e mamlaka. .ya . .kudhibi t i matukio ya kukuza biashara ikiwemo Maonesho pamoja na Misafara ya Kibiashara inayoratibiwa nchini.............. TanTrade inawajibika kutoa Vibali mbalimbali kwa Waandaaji wa Maonesho na Misafara ya Kibiashara kama ilivyoainishwa katika Aya ya 3(1), (k) ya kanuni za Sheria za TanTrade, 2010 kabla ya shughuli husika kufanyika.

Maendeleo ya Biashara i n a y o i p a . . T a n T r a d e mamlaka. .ya . .kudhibi t i matukio ya kukuza biashara ikiwemo Maonesho pamoja na Misafara ya Kibiashara inayoratibiwa nchini.............. TanTrade inawajibika kutoa Vibali mbalimbali kwa Waandaaji wa Maonesho na Misafara ya Kibiashara kama ilivyoainishwa katika Aya ya 3(1), (k) ya kanuni za Sheria za TanTrade, 2010 kabla ya shughuli husika kufanyika.

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

wa umoja huo baada ya maaz-imio ya mkutano uliofanyika tarehe 28 Januari, 2019 yaliyo-lenga kuwaunganisha wadau ili kuwa na sauti ya pamoja katika kuendeleza zao hilo.Nae Bi Mwantumu Mahiza, Mwenyekiti wa TACAPPA alieleza umuhimu wa muhogo kama zao la biashara na sio chakula tu. Hivyo alitoa rai kwa wakulima wa zao hilo kulima kimkakati ili kuongeza tija ya mkulima na taifa kwa u j u m l a . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Mafanikio ya mkutano huo wa wadau ni pamoja na kampuni3.zinazonunua..Muhogo..ku-unganishwa na wazalishaji ambao kwa ujumla wanahitaji muhogo mbichi tani 920, makopa tani 250, unga wa muhogo (HQCF) tani 100 kila mwezi..kwa..kampuni.hizo. . . . . . . . . . . . . . . .

Waandaji wa Misafara na Maonesho ya kibiashara wazingatie matakwa ya Uratibu

Page 7: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

TanTrade inatoa wito kwa Wafanyabiashara Wadogo na Ka� (SME’s) wanaozalisha bidhaa za Tanzania kujisajili kwenye mfumo wa soko la

mtandao la Kimataifa ulioandaliwa na waandaji wa Maonesho ya Dunia kutoka nchi ya Falme za Kiarabu.

Usajili huo unawaunganisha wafanyabiashara na wazalishaji wa bidhaa waunganishwe na kuweza kuuza nje ya mipaka yao, kutangaza bidhaa,

kufahamiana pamoja na kupeana taarifa za biashara.Soko la mtandao ni jukwaa lenye nguvu linalowezesha kupata bidhaa na

huduma zenye ubora zaidi pamoja na mawazo mapya yenye ubunifu yaliyoendelezwa na wafanyabiashara kutoka sekta ndogo na ka� ulimwe-

nguni. Ili kujisajili, tafadhali tembelea tovu� yetu yenye anuani www.tan-

trade.go.tz na kubofya linki “Sajili Biashara yako”. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0757 240199.

EXPO DUBAI

WAFANYABIASHARA WAHIMIZWA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA SOKO MTANDAO LA KIMATAIFA

TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo T

7Matangazo na Matukio

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Alieleza kuwa TanTrade imesi-mamia uanzishwaji na usajili wa umoja huo baada ya maaz-imio ya mkutano uliofanyika tarehe 28 Januari, 2019 yaliyo-lenga kuwaunganisha wadau ili kuwa na sauti ya pamoja katika kuendeleza zao hilo.Nae Bi Mwantumu Mahiza, Mwenyekiti wa TACAPPA alieleza umuhimu wa muhogo kama zao la biashara na sio cha chakula tu. Hivyo alitoa rai kulima muhogo kimkakati ili kuongeza tija ya mkulima na taifa kwa ujumla.Mafanikio ya mkutano huo wa wadau ni pamoja na wanunuzi kubainisha mahitaji ya muhogo mbichi tani 920, makopa tani 250, unga wa muhogo (HQCF) tani 100 kila m w e z i .

Kitakasa mikono kilichotengenezwa na Shirika la Utafi� na Maendeleo ya Viwanda

Tanzania - TIRDO kutokana na matokeo ya mradi wa muhogo ikiwa ni sehemu ya

mchango wa shirika kwa serikali ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Virusi

vya Corona(COVID 19)

Ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Covid- 19, SIDO imebuni mashine yenye uwezo wa kutakasa mwili mzima “full body sani�zing Machine” Picha:Mhe.Innocent Bashungwa Waziri wa

Viwanda na Biashara akipita kwenye mashine hiyo

Page 8: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

Habari Picha 8

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi Latifa Khamis akimpa maelezo Mhe Innocent Bashungwa Waziri wa Viwanda na

Biashara namna Huduma ya Kliniki ya Biashara itakavyofanya kazi Zanzibar ili kutatua changamoto mbalimbali za wafanya-

biashara. alipokuwa anaizindua Zanzibar tarehe. Tukio hili lilishuhudiwa na Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe

Balozi Amina Salum Ali. Huduma ya Kliniki ya Biashara inalenga kutatua changamoto za biashara kwa wafanyabiashara kwa

kuwahudumia ana kwa ana. Huduma hii hujumuisha taasisi zote za kimkakati katika kusaidia mnyororo wa biashara. Huduma ya

Kliniki ya Biashara ilianzishwa na inasimamiwa na TanTrade.

Kauli Mbiu ya Kliniki ya Biashara

Kusaidia Ukuaji Endelevu wa Biashara

Lengo la Kliniki ya Biashara ni kusaidia ukuaji endelevu na kuimarisha mazingira wezeshi ya biashara nchini kwa kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya biashara nchini ambazo

zinachangia kuongeza gharama za ufanyaji wa biashara (Cost of doing business) na hivyo kuwa kikwazo kikubwa ka�ka ukuaji wa biashara toka kuanzishwa Kliniki imetoa huduma ka�ka

Maonesho 12 yaliofanyika Dar es salaam, Pwani, Simiyu, Singida, Geita na Zanzibar.

KLINIKI YA BIASHARA

Mhe Innocent Bashungwa (Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara akipewa maelezo na Bi.La�fa Khamis Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade namna Kliniki ya Biashara inavyo-

fanya kazi Zanzibar ili kutatua changamoto mbalimbali za wafanyabiashara alipokuwa anaizindua Kliniki hiyo. Tukio hili lilishuhudiwa na Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe Balozi Amina Salum Ali. Huduma ya Kliniki ya Biashara ilianzishwa na inasimamiwa na

TanTrade.

Page 9: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

MIKOA ILIYOHUDUMIWA NA KLINIKI YA BIASHARA

Taarifa za Masoko 9

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Na.

1.

2.

Aina ya Maonesho Tarehe Mkoa Idadi ya Waliohudumiwa

Jumla ya Wadau Waliohudumiwa 1090

3.

4.

5.

6.

7.

254

61

58

108

123

103

17

60

39

25

25

Simiyu

Zanzibar

1 - 8 Agosti, 2018

1 - 8 Agosti, 2019

24 septemba-2 oktoba,201820 septemba-2 oktoba,2019

Maonesho ya Kilimo

87

120

3 - 13 Julai, 2018

29 Juni - 12 Julai, 2019

Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) Dar es Salaam

Dar es SalaamMaonesho ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania

Maadhimisho ya miaka 20 yaJuiaya ya Afrika Mashariki

29 Oktoba - 4 Novemba, 2018

5 - 9 Desemba, 20185 - 9 Desemba, 2018

16 - 24 Desemba, 2019

17 - 23 Oktoba, 2019

Maonesho ya Viwanda na Biashara ya Mkoa wa Pwani

23 - 28 Oktoba, 2018

4-9 Oktoba,2019

Maonesho ya SIDO Kitaifa

Geita

Simiyu

Pwani

Singida

Maonesho ya Teknolojia ya Uchimbaji na Uwekezaji wa Madini ya Dhahabu mkoani Geita

Zanzibar

Page 10: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

Habari Picha 10

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO UFARANSA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Mhandisi.Stella Manyanya (Mb) akikagua bidhaa za Wajasariamali walipokuwa wakionesha bidhaa kwenye siku ya kufunga Mkutano

wa uzinduzi wa Umoja wa Wazalishaji na Wasindikaji Muhogo Tanzania (TACAPPA)

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe Balozi Dkt Abdallah Possi (kulia mwenye tai ya kijani)

akiwa na washiriki kutoka Tanzania kwenye Maonesho ya Fruit Logistica nchini Ujerumani

Page 11: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

Taarifa za Masoko 11

-

50,000

100,000

150,000

200,000

250,000 Januari

Februari Machi

-

50,000

100,000

150,000

200,000

250,000

300,000

Mahindi

Ngano

beans -

50,000

100,000

150,000

200,000

250,000

Mtama

Uwele

Ulezi

Mchele

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Kitakasa mikono kilichotengenezwa na Shirika la Utafi� na Maendeleo ya Viwanda

Tanzania - TIRDO kutokana na matokeo ya mradi wa muhogo ikiwa ni sehemu ya

mchango wa shirika kwa serikali ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Virusi

vya Corona(COVID 19)

Ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Covid- 19, SIDO imebuni mashine yenye uwezo wa kutakasa mwili mzima “full body sani�zing Machine” Picha:Mhe.Innocent Bashungwa Waziri wa

Viwanda na Biashara akipita kwenye mashine hiyo

Mwenendo wa bei za Mazao kwa kipindi cha Januari-Machi 2020.Ka�ka kipindi cha robo mwaka (Jan- Machi), 2020 bei ya mazao ya nafaka imeendelea kupanda. Mfano bei ya mahindi imepanda kutoka wastani wa sh 48,400 na kufika sh. 65,600 kwa gunia la kg 100.

Kupanda kwa bei kumechangiwa na usafirishaji kutokana na mafuriko yaliyo athiri mifumo ya usafirishaji nchini.

Mwenendo wa Bei ya Mazao ka�ka Robo ya kwanza ya mwaka

Lindi ni miongoni mwa soko lililouza mazao kwa bei ya juu, mfano gunia (kg 100) la mahindi liliuzwa kwa wastani wa sh 118,000 ukilinganisha na sh 43,500 ka�ka soko la Mpanda.

Bei ya Mazao ka�ka Masoko mbalimbali nchini

Page 12: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

Matangazo na Matukio 12

Sisi kama Serikali tutaendelea

kutengeneza mazingira rafiki kwa

Viwanda vyote ili viweze kuzalisha vifaa

tiba na bidhaa nyingine katika wakati huu

ambao dunia nzima inapambana na

janga la virusi vya coronaMhe.Innocent Bashungwa

Waziri wa Viwanda na Biashara

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz

Jitihada za Wizara ya Viwandana Biashara katika kupambana na

ugonjwa wa Corona

Kitakasa mikono kilichotengenezwa na Shirika la Utafi� na Maendeleo ya Viwanda

Tanzania - TIRDO kutokana na matokeo ya mradi wa muhogo ikiwa ni sehemu ya

mchango wa shirika kwa serikali ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Virusi

vya Corona(COVID 19)

Ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Covid- 19, SIDO imebuni mashine yenye uwezo wa kutakasa mwili mzima “full body sani�zing Machine” Picha:Mhe.Innocent Bashungwa Waziri wa

Viwanda na Biashara akipita kwenye mashine hiyo

Page 13: BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara

Wafanyabiashara Wadogo na Ka� (SME’s) wanaozalisha bidhaa za Tanzania wahi-mizwa kujisajili kwenye mfumo la soko la mtandao ulioandaliwa na waandaji wa

Maonesho ya Dunia kutoka nchi ya Falme za Kiarabu.

Wito huo umetolewa na TanTrade ili wafanyabiashara na wazalishaji wa bidhaa waunganishwe na kuweza kuuza nje ya mipaka yao, kutangaza bidhaa, kufahamiana

pamoja na kupeana taarifa za biashara kupi�a Mtandao huo .

Soko la mtandao ni jukwaa lenye nguvu ya kupata bidhaa na huduma zenye ubora zaidi pamoja na mawazo mapya yenye ubunifu yaliyoendelezwa na wafanyabiashara

kutoka sekta ndogo na ka� ulimwenguni.

Ili kujisajili, tafadhali tembelea tovu� yetu yenye anuani www.tantrade.go.tz na kubofya linki “Sajili Biashara yako”. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu

namba 0757 240199.

Matangazo na Matukio 13

Serikali yatangaza bei elekezi ya Sukari

nchini.

Piga simu namba 0800110134 bila malipo;[email protected] au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz