Top Banner
© Boston University LANGUAGE PROGRAM, 232 BAY STATE ROAD, BOSTON, MA 02215 www.bu.edu/Africa/alp [email protected] 617.353.3673 Umdhaniaye Siye ndiye: Mazoezi Zoezi la 1: Toa maana ya msamiati ufuatao i) Kudhani ii) Msanii iii) Sanaa iv) Huenda v) Kufadhili vi) Kurukaruka vii) Kujaribisha viii) Kubisha ix) Kukataa x) Kawaida Zoezi la 2: Tunga Sentensi kwa kutumia maneno katika swali la Kwanza Zoezi la 3: Chagua jibu lililosahihi i) Kikundi cha ngoma kilikuwa na shida ya a) sanaa b) ngoma c) msanii ii) Waliona njia ya kutatua tatizo lao ni a) kuweka matangazo mitaani b) Kutafuta watu maofisini c) Kupiga ngoma na kusubiri iii) Kwanini walifikiri mtu yule hangeweza kucheza ngoma? a) Kwasababu ana laptop b) Anafanya kazi ofisini
3

7 Umdhaniaye Siye ndiye-final - Boston University · ! 2! c) Amevaa!nguo!nzuri!! iv) Walipomjaribisha!acheze!!walikubali!kuwa!! a) hajuikucheza! b) anapenda!kompyuta! c)...

Mar 01, 2020

Download

Documents

dariahiddleston
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: 7 Umdhaniaye Siye ndiye-final - Boston University · ! 2! c) Amevaa!nguo!nzuri!! iv) Walipomjaribisha!acheze!!walikubali!kuwa!! a) hajuikucheza! b) anapenda!kompyuta! c) Alicheza!vizuri!mpaka!wakashangaa!

 

©  Boston  University  

LANGUAGE  PROGRAM,  232  BAY  STATE  ROAD,  BOSTON,  MA  02215  www.bu.edu/Africa/alp  

[email protected]  617.353.3673  

Umdhaniaye    Siye  ndiye:  Mazoezi  

 Zoezi  la  1:  Toa  maana  ya  msamiati  ufuatao  

i) Kudhani  ii) Msanii  

iii) Sanaa  

iv) Huenda  v) Kufadhili  

vi) Kurukaruka  

vii) Kujaribisha  viii) Kubisha  

ix) Kukataa  x) Kawaida  

 

Zoezi  la  2:  Tunga  Sentensi  kwa  kutumia  maneno  katika  swali  la  Kwanza    

 

Zoezi  la  3:  Chagua  jibu  lililosahihi  i) Kikundi  cha  ngoma  kilikuwa  na  shida  ya  

 a) sanaa  

b) ngoma  

c) msanii    

ii) Waliona  njia  ya  kutatua  tatizo  lao  ni  a) kuweka  matangazo  mitaani  

b) Kutafuta  watu  maofisini  

c) Kupiga  ngoma  na  kusubiri    

iii) Kwanini  walifikiri  mtu  yule  hangeweza  kucheza  ngoma?  

a) Kwasababu  ana  laptop  b) Anafanya  kazi  ofisini  

Page 2: 7 Umdhaniaye Siye ndiye-final - Boston University · ! 2! c) Amevaa!nguo!nzuri!! iv) Walipomjaribisha!acheze!!walikubali!kuwa!! a) hajuikucheza! b) anapenda!kompyuta! c) Alicheza!vizuri!mpaka!wakashangaa!

 

  2  

c) Amevaa  nguo  nzuri  

 iv) Walipomjaribisha  acheze    walikubali  kuwa  

 a) hajui  kucheza  

b) anapenda  kompyuta  

c) Alicheza  vizuri  mpaka  wakashangaa    

v) Mara  nyingi  watu  huhukumu  wengine  

a) Kwa  kuwaangalia  tu  b) Kwa  kuongea  nao  na  kuwafahamu  

c) Kwa  mavazi  yao    

Zoezi  la  4:  Kweli  si  Kweli:  

i) Kikundi  cha  ngoma  hakikuwa  kimepungukiwa  na  wasanii  ii) Wasanii  wengi  walikuja  kujiunga  

iii) Wanakikundi  walitaka  watu  wanaojua  kucheza  ngoma  

iv) Walidhani  mtu  yule  hajui  kucheza  ngoma  v) Walifikiria  hajui  kucheza  kwasababu  alivyovaa  

   

Zoezi  la  5:  Kuandika  Muhtasari  

Andika  Muhtasari  wa  igizo  hili  kama  unamwadithia  mtu  mwingine.    

Zoezi  la  6:    Jibu  swali  hili  Elezea  maana  ya  methali  hii  “Umdhaniaye  Siye  Ndiye”  kama  

Ilivyotumika  katika  hadithi  hii.  

 Zoezi  la  8:  Jibu  swali  hili  

Taja  methali  au  msemo  wa  Kiingereza  unayofanana  na  methali  hii  

Unaweza  kuelezea  methali  hiyo  hutumikaje?    

Page 3: 7 Umdhaniaye Siye ndiye-final - Boston University · ! 2! c) Amevaa!nguo!nzuri!! iv) Walipomjaribisha!acheze!!walikubali!kuwa!! a) hajuikucheza! b) anapenda!kompyuta! c) Alicheza!vizuri!mpaka!wakashangaa!

 

  3  

Zoezi  la  9:  Jibu  Swali  hili  

Andika  kisa  kifupi  kingine  ambacho  kinaweza  kuelezea  methali  “Umdhaniaye  Siye  Ndiye”.    

Zoezi  la  10:  Jibu  Swali  hili  Jaribu  kuigiza  methali  hii    ili  kufanya  mazoezi