BIASHARA TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo · 2020. 7. 4. · TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo BIASHARA T Toleo Na.04 Juni, 2020 Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara
Post on 13-Oct-2020
14 Views
Preview:
Transcript
TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo TBIASHARA
Limeandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TanTrade)Toleo Na.04 Juni, 2020
Serikali yatangaza bei elekezi ya Sukari kwenye mikoa yote nchini
TANZANIA
Maendeleo ya
Jitihada zaWizara ya Viwandana Biashara katika
Mapambano dhidi ya Covid 19
Mashine ya kutakasa mwili mzima (full body sanitizing machine)
iliyotengenezwa na SIDOKitakasa Mikono kilichotengenezwa na TIRDO
Tanzania kushiriki Maonesho ya Dunia Oktoba 1, 2021 Mbogamboga na Matunda zapenya soko la Ulaya
TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo
Kampuni 15 zinazozalisha mbog-amboga na matunda pamoja na wasa�rishaji wa bidhaa hizo nchini wamefanikiwa kupata soko kwenye bara la Ulaya baada ya kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Mbogamboga na Matunda yajulikanayo kama Fruit Logistica 2020 yaliyofanyika tarehe 5 hadi 7 Februari, 2020 katika mji wa Berlin..nchini..Uje-r u m a n i . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Mazao yaliyooneshwa na kam-puni hizo ni parachichi, rasiberi, ndimu zisizo na mbegu, njegere, aina mbalimbali za jamii ya pilipi-li, viungo vya chakula kama vile (tangawizi, nanaa, kitunguu jani), tikiti maji, maharage mach-anga................................................ Mmoja wa washiriki wa maone-sho hayo, Bw Hemedy Suleiman wa kampuni ya Southern Com-modities Ltd amesema kupitia ushiriki huo amefanikiwa kupata oda ya kusambaza tani 2,100 ya za parachichi, karanga na choroko kupeleka nchi za Falme za Kiarabu, Ufaransa, Malaysia, Vietnam na Ukraine.......................... Kufuatia ushiriki huu, Balozi wa
Uk.3Uk.4Uk.5Uk.13
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tzPiga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Fursa za Biashara 2
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO UFARANSA
Kwa mara ya kwanza Tanzania ilishiriki Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa ya bidhaa za Kilimo maarufu kama Salon Interna�on-al De L'agriculture (SIA) yaliyofan-yika tarehe 22 Februari hadi 28 Fe b r u a r i , . 2 0 2 0 . m j i n i . Pa r i s Ufaransa. . 2020.... . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Ka�ka Maonesho hayo TanTrade ilira�bu ushiriki wa kampuni 17 kutoka Tanzania. Bidhaa zilizo-oneshwa ni pamoja na korosho, chai, kahawa, mchele, asali, kakao, karanga, bidhaa za mlonge, viungo vya chakula, mafuta ya ubuyu, unga wa mahindi, mtama, kisamvu, Rozel-l a , . m a h a ra g e . n a . mv i ny o . . .
Mhe Balozi Samwel Shelukindo, Balozi wa Tanzania nchini Ufaran-sa alieleza kuwa ushiriki wa Tanzania ulikuwa na mafanikio makubwa ambapo Kampuni
zilizoshiriki zimeweza kupata wanunuzi wa kahawa, korosho na Viungo vya Chakula ambavyo ni Karafuu, Iliki na Mdalasini..Aliele-za kuwa ushiriki wa maonesho hayo ni mwanzo mzuri wa kutan-gaza bidhaa za Tanzania nchini Ufaransa.............................
Aidha, alibainisha kuwa mbinu iliyotumika kutangaza Kahawa ya Tanzania kwa kuonjesha watem-beleaji ilikuwa na mafanikio mazuri ambapo wateja walivu�-wa ladha na.harufu ya kipekee ya kahawa yetu..Kampuni.zilizoshiri-ki zilifanikiwa kuuza papo kwa papo . .na. .kupata . .ahadi . . za manunuzi kutoka Kampuni za Ufaransa, Bulgaria na Oma-ni..Mbali na fursa za masoko, Mhe. Balozi Shelukindo alieleza kuwa wawekezaji mbalimbali
.
Mbali na fursa za masoko, Mhe Balozi Shelukindo alieleza
walijitokeza na kuonesha nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha Korosho na kiwanda cha kusindi-ka.Kakao. .Vi levi le , .Mnunuzi mkubwa wa mbogamboga na matunda wa nchini Ufaransa ameonesha..nia.ya.kununua bidhaa hizo kutoka nchini..Ili ku fan ik i sha . .b iashara . .h i zo TanTrade kwa kushirikiana na Ubalozi inatarajia kura�bu ujio wa msafara wa wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuja Tanzania kuangalia mifumo ya uzalishaji na kuweza kukamilisha tara�bu za m i k a t a b a . y a . m a u z i a -no...........................................
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe Balozi Dkt Abdallah Possi (kulia mwenye tai ya kijani)
akiwa na washiriki kutoka Tanzania kwenye Maonesho ya Fruit Logistica nchini Ujerumani
TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo T
Serikali yatangaza bei elekezi ya Sukari kwenye mikoa yote nchini
Fursa za Biashara 3
Kampuni 15 zinazozalisha mbog-amboga na matunda pamoja na wasa�rishaji wa bidhaa hizo nchini wamefanikiwa kupata soko kwenye bara la Ulaya baada ya kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Mbogamboga na Matunda yajulikanayo kama Fruit Logistica 2020 yaliyofanyika tarehe 5 hadi 7 Februari, 2020 katika mji wa Berlin..nchini..Uje-r u m a n i . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Mazao yaliyooneshwa na kam-puni hizo ni parachichi, rasiberi, ndimu zisizo na mbegu, njegere, aina mbalimbali za jamii ya pilipi-li, viungo vya chakula kama vile (tangawizi, nanaa, kitunguu jani), tikiti maji, maharage mach-anga................................................ Mmoja wa washiriki wa maone-sho hayo, Bw Hemedy Suleiman wa kampuni ya Southern Com-modities Ltd amesema kupitia ushiriki huo amefanikiwa kupata oda ya kusambaza tani 2,100 ya za parachichi, karanga na choroko kupeleka nchi za Falme za Kiarabu, Ufaransa, Malaysia, Vietnam na Ukraine.......................... Kufuatia ushiriki huu, Balozi wa
Tanzania nchini Ujerumani Mhe.Dkt Abdallah Possi ameele-za kuwa mafanikio ya ushiriki wa Tanzania yamekuwa makubwa.-kutokana.na makubaliano ya kimkakati yaliyo�kiwa baina ya wafanyabiashara wa Tanzania na wadau katika tasnia ya biashara ya mbogamboga na matun-d a . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
..........zzz “Binafsi nilikutana na mzalishaji k u t o k a . . Ta n z a n i a . . a m b a y e a m e i n gi a . .m a k u b a l i a n o. . n a muwekezaji kutoka Ujerumani. Hii inamaanisha Maonesho haya pia yalikuwa ni fursa kwa wazal-ishaji wa Tanzania kutafuta wabia wa biashara” amesema Mhe Balozi Possi...........................................
Ili kuendelea kupata fursa ya soko Mhe Balozi anahimiza wazalishaji kuwa na nguvu moja ili waweze kutosheleza mahitaji ya soko kubwa la Ulaya kwa ujumla hii itaongeza uzalishaji, lakini ni muhimu zaidi kuhakiki-s h a . . m a s h a r t i . . y a . . v i w a n g o yanatimiz wa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Ushiriki wa Tanzania katika Mao-nesho haya uliratibiwa na Kituo cha Biashara ya Kimataifa (ITC) kwa kushirikiana na TanTrade na Asasi kilele ya wadau wa mbog-amboga,matunda na viungo Tanzania (TAHA) na kufadhiliwa na Umoja wa Ulaya na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Matai-f a ( U N D P ) . . . . . . . . . . . . . . . . .
Fruit Logistica ni Maonesho makubwa ya matunda na mbog-amboga katika Bara la Ulaya ambayo kwa mwaka huu yanalivuta ushiriki wa waonesha-ji zaidi ya 3,300 kutoka kila hatua ya mnyororo wa ugavi (supply chain) wa mboga na matunda kutoka nchi 93 duniani..na watembeleaji zaidi ya 78,000..ku-toka..nchi..zaidi..ya..135. ya 135.....................................................
Sambamba na mafanikio hayo, Wafanyabiashara..wameweza
kukutana na kuingia makubalia-no na Taasisi ya Global Gap ambayo ni Taasisi muhimu ya kuwajengea uwezo wazalishaji kutumia njia salama na sahihi katika uzalishaji, na kuwaungani-sha na masoko ya kikanda na kimataifa..Kadhalika,..walipata fursa ya kuonana ana kwa ana na wanunuzi wengi waliotembelea b a n d a . . l a . . T a n z a n i a . . n a kuwapelekea kupata masoko makubwa na wengine kuvutiwa kuwekeza nchini................................
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tzPiga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Mbogamboga na Matunda zapenya soko la Ulaya
Tanzania kushiriki kwenye Maonesho ya Dunia Oktoba 1, 2021
Fursa za Biashara 4
..........zzz “Binafsi nilikutana na mzalishaji k u t o k a . . Ta n z a n i a . . a m b a y e a m e i n gi a . .m a k u b a l i a n o. . n a muwekezaji kutoka Ujerumani. Hii inamaanisha Maonesho haya pia yalikuwa ni fursa kwa wazal-ishaji wa Tanzania kutafuta wabia wa biashara” amesema Mhe Balozi Possi...........................................
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Ushiriki wa Tanzania katika Mao-nesho haya uliratibiwa na Kituo cha Biashara ya Kimataifa (ITC) kwa kushirikiana na TanTrade na Asasi kilele ya wadau wa mbog-amboga,matunda na viungo Tanzania (TAHA) na kufadhiliwa na Umoja wa Ulaya na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Matai-f a ( U N D P ) . . . . . . . . . . . . . . . . .
Fruit Logistica ni Maonesho makubwa ya matunda na mbog-amboga katika Bara la Ulaya ambayo kwa mwaka huu yanalivuta ushiriki wa waonesha-ji zaidi ya 3,300 kutoka kila hatua ya mnyororo wa ugavi (supply chain) wa mboga na matunda kutoka nchi 93 duniani..na watembeleaji zaidi ya 78,000..ku-toka..nchi..zaidi..ya..135. ya 135.....................................................
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Jamhuri ya Muungano wa Tanza-nia ni miongoni mwa nchi zaidi ya 192 zinazotarajiwa kushiriki Maonesho ya Dunia yatakayofa-nyika jijini Dubai, katika nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu ( U A E ) . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Awali Maonesho yalipangwa k u f a n y i k a . O k t o b a . 2 0 2 0 hadi.Aprili 2021 ila kutokana na uwepo wa ugonjwa wa homa ya mapafu(COVID-19) Maonesho yataanza Oktoba.1,2021.hadi.3 M a c h i . 2 0 2 0 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Maonesho ya Dunia hufanyika kila baada ya miaka mitano (5) yakiwa na lengo la kukuza m a h u s i a n o . y a . k i u c h u m i , uwekezaj i , .k idiplomasia .na kijamii baina ya nchi................... Kauli Mbiu ya Maonesho hayo ni “Connecting Minds, Creating the Future’’ ikilenga kuonesha ubunifu, ugunduzi, ushirikiano na kufungua fursa za kiuchumi zilizopo duniani na kuzitumia ipasavyo kwa maendeleo.ende-levu..Nchi mbalimbali duniani zitajikita katika kuonesha mafan-ikio waliyo�kia katika kutafsiri kauli mbiu.hiyo.................................
. . . . . . . . . . Tanzania itashiriki chini ya kundi la “Mobility” ikilenga kuonesha juhudi za Serikali za zilizofanyika katika uanzishwaji na uende-lezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ya mifumo ya mawasiliano na usa�rishaji nchini. Sambamba na kuonesha mafanikio hayo, itatangaza fursa zilizopo katika sekta ya uwekeza-ji, utalii, viwanda, biashara na utamaduni. utamaduni. i
Kupitia Maonesho haya Tanzania itaratibu Siku Maalum (Tanzania National Day) ambayo itatumika kuonesha na kutangaza utamad-uni na sanaa ya kitaifa kupitia ngoma, mavazi, chakula na hamasa za kitamaduni kwa washiriki wote wa Expo na Dunia kwa ujumla. Maadhimisho ya siku hii yatahudhuriwa na Vion-gozi wa Ngazi za Juu wa Serikali ya Tanzania, Falme za Kiarabu na nchi nyingine washiriki..................
Sambamba na hayo, kutakuwa na.Kongamano.la.Biashara,U-wekezaji na Utalii ili kunadi.vivu-t io.na . fursa .z i l izopo.nchini a m b a p o . W a f a n y a b i s h a r a n a . Wawe k e z a j i . m b a l i m b a l i watahamasishwa.kushiriki.ili kuweza kukutana na wawekezaji kutoka mataifa mengine duni-a n i . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Aidha, kutakuwa na programu mbalimbali kama vile mikutano ya kibiashara na ziara za mafun-zo na matukio kwa makundi mbalimbali ya vijana, wanafunzi, wasanii, wanawake, wabunifu na wavumbuzi wa kisayansi au maarifa asilia ili kuongeza wigo wa Watanzania kushiriki mao-nesho ya Dunia ya EXPO 2020 Dubai. Hii ni fursa kubwa kwa Watanzania kujifunza nakujitan-g a z a . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini UAE Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) na
Mkurugenzi wa DUBAI EXPO 2020, Mhe. Najeeb Mohammed Al Ali wakiweka saini Mkataba wa ushiriki wa
Tanzania katika Maonesho ya Biashara ya Dunia (Dubai Expo 2020. Uwekaji saini huo ulifanyika Dubai Januari 16, 2019.
TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo T
Serikali yatangaza bei elekezi ya Sukari kwenye mikoa yote nchini
Fursa za Biashara 5
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe Omar Mgumba (Mb) akizungumza kwenye mkutano wa kuzindua Umoja wa Wazalishaji na Wasindikaji wa Zao la Muhogo nchini (TACAPPA)
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe Omar Mgumba (Mb) tarehe 8 Februari, 2020 alizindua Umoja wa Wazalishaji na Wasindikaji wa Zao la Muhogo Tanzania (Tanzania Cassava Producers and Processors Association –TACAPPA) jijini Dar es salaam..............................
Umoja huo wenye wanacha-ma zaidi ya 300 unajumuisha wazalishaji mbegu, wakulima, wafanyabiashara, wachakata-ji, wasindikaji na wanunuzi wa muhogo wenye lengo la kuendeleza mnyororo wa thamani wa zao la muhogo kwa lengo la kuhimili mahitaji ya.bidhaa.mbalimbali.zito-kanazo na muhogo katika soko la ndani na nje ya nchi. Mhe.Mgumba.amewataka wakulima wa zao la muhogo nchini kulima kwa tija ili waweze kutosheleza mahitaji ya masoko ya ndani na nje ya nchi na kuwahimiza..kufuata maelekezo ya wataalamu kwenye matumizi sahihi ya mbegu bora na sa� badala ya ku kulima kwa mazoea. n
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
‘’Serikali imeboresha na Kuim-arisha Vituo vya Uta�ti wa mazao mbalimbali, na kuna vituo saba(7) maalum kwa sasa ambavyo vinafanya ta�ti kwa ajili ya zao la muhogo ili kuzalisha mbegu bora zenye uwezo wa kupambana na magonjwa, mabadiliko ya tabia nchi na zenye tija. Hadi sasa aina ya mbegu 21 zimez-induliwa kwa ajili ya zao la muhogo pekee‘’ alisema M g u m b a . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Kwa upande wake Bw Edwin R u t a g e r u k a , . M k u r u g e n z i Mkuu wa TanTrade amewata-ka wazalishaji wa bidhaa hiyo kujipanga kupitia umoja wao ili kuwa na ushindani katika m a s o k o . . m b a l i m b a l i . n a kuongeza thamani ya zao hilo.Alieleza kuwa TanTrade imesi-
wa umoja huo baada ya maaz-imio ya mkutano uliofanyika tarehe 28 Januari, 2019 yaliyo-lenga kuwaunganisha wadau ili kuwa na sauti ya pamoja katika kuendeleza zao hilo.Nae Bi Mwantumu Mahiza, Mwenyekiti wa TACAPPA alieleza umuhimu wa muhogo kama zao la biashara na sio chakula tu. Hivyo alitoa rai kwa wakulima wa zao hilo kulima kimkakati ili kuongeza tija ya mkulima na taifa kwa u j u m l a . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Mafanikio ya mkutano huo wa wadau ni pamoja na kampuni3.zinazonunua..Muhogo..ku-unganishwa na wazalishaji ambao kwa ujumla wanahitaji muhogo mbichi tani 920, makopa tani 250, unga wa muhogo (HQCF) tani 100 kila mwezi..kwa..kampuni.hizo. . . . . . . . . . . . . . . .
Waandaji wa Misafara na Maonesho ya kibiashara wazingatie sheria ya Uratibu
TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo T
Serikali yatangaza bei elekezi ya Sukari kwenye mikoa yote nchini
Fursa za Biashara 6
Waandaaji wa Maonesho na Misafara ya Kibiashara Ndani na Nje ya Nchi, Wamiliki wa Kumbi za Maonesho, Wizara, Taasisi za Umma na Binafsi pamoja na wadau wote kwa ujumla..wanakumbushwa..k-uwasi l isha. .Taari fa . .ya k u s u d i o . l a . . k u f a n y a Maonesho au Misafara hiyo kwa Mamlaka ya Maendeleo ya.Biashara.Tanzania(TanTra d e ) . k a b l a . y a . t u k i o kufanyika
Rai hii inazingatia Kifungu cha 5 (1) (b) cha Sheria Na. 4
TanTrade inatoa rai kwa waandaji wa Maonesho na Misafara..ya..Kibiashara nchini kuwasajili Maonesho na Misafara ya Kibiashara ama..shughulinyingine.za.Ukuzaji biashara.na.kutimiza masharti yote ya maandalizi y a . s h u g h u l i . h i z o . k a m a yal ivyoainishwa.kat ika Sheria. Kwenda kinyume na masharti hayo ni kosa kisheria na adhabu kali zitatolewa dhidi yao.
Taarifa za maandalizi ya
Maendeleo ya Biashara i n a y o i p a . . T a n T r a d e mamlaka. .ya . .kudhibi t i matukio ya kukuza biashara ikiwemo Maonesho pamoja na Misafara ya Kibiashara inayoratibiwa nchini.............. TanTrade inawajibika kutoa Vibali mbalimbali kwa Waandaaji wa Maonesho na Misafara ya Kibiashara kama ilivyoainishwa katika Aya ya 3(1), (k) ya kanuni za Sheria za TanTrade, 2010 kabla ya shughuli husika kufanyika.
Maendeleo ya Biashara i n a y o i p a . . T a n T r a d e mamlaka. .ya . .kudhibi t i matukio ya kukuza biashara ikiwemo Maonesho pamoja na Misafara ya Kibiashara inayoratibiwa nchini.............. TanTrade inawajibika kutoa Vibali mbalimbali kwa Waandaaji wa Maonesho na Misafara ya Kibiashara kama ilivyoainishwa katika Aya ya 3(1), (k) ya kanuni za Sheria za TanTrade, 2010 kabla ya shughuli husika kufanyika.
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
wa umoja huo baada ya maaz-imio ya mkutano uliofanyika tarehe 28 Januari, 2019 yaliyo-lenga kuwaunganisha wadau ili kuwa na sauti ya pamoja katika kuendeleza zao hilo.Nae Bi Mwantumu Mahiza, Mwenyekiti wa TACAPPA alieleza umuhimu wa muhogo kama zao la biashara na sio chakula tu. Hivyo alitoa rai kwa wakulima wa zao hilo kulima kimkakati ili kuongeza tija ya mkulima na taifa kwa u j u m l a . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Mafanikio ya mkutano huo wa wadau ni pamoja na kampuni3.zinazonunua..Muhogo..ku-unganishwa na wazalishaji ambao kwa ujumla wanahitaji muhogo mbichi tani 920, makopa tani 250, unga wa muhogo (HQCF) tani 100 kila mwezi..kwa..kampuni.hizo. . . . . . . . . . . . . . . .
Waandaji wa Misafara na Maonesho ya kibiashara wazingatie matakwa ya Uratibu
TanTrade inatoa wito kwa Wafanyabiashara Wadogo na Ka� (SME’s) wanaozalisha bidhaa za Tanzania kujisajili kwenye mfumo wa soko la
mtandao la Kimataifa ulioandaliwa na waandaji wa Maonesho ya Dunia kutoka nchi ya Falme za Kiarabu.
Usajili huo unawaunganisha wafanyabiashara na wazalishaji wa bidhaa waunganishwe na kuweza kuuza nje ya mipaka yao, kutangaza bidhaa,
kufahamiana pamoja na kupeana taarifa za biashara.Soko la mtandao ni jukwaa lenye nguvu linalowezesha kupata bidhaa na
huduma zenye ubora zaidi pamoja na mawazo mapya yenye ubunifu yaliyoendelezwa na wafanyabiashara kutoka sekta ndogo na ka� ulimwe-
nguni. Ili kujisajili, tafadhali tembelea tovu� yetu yenye anuani www.tan-
trade.go.tz na kubofya linki “Sajili Biashara yako”. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0757 240199.
EXPO DUBAI
WAFANYABIASHARA WAHIMIZWA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA SOKO MTANDAO LA KIMATAIFA
TACAPPA Mkombozi wa zao la Muhogo T
7Matangazo na Matukio
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Alieleza kuwa TanTrade imesi-mamia uanzishwaji na usajili wa umoja huo baada ya maaz-imio ya mkutano uliofanyika tarehe 28 Januari, 2019 yaliyo-lenga kuwaunganisha wadau ili kuwa na sauti ya pamoja katika kuendeleza zao hilo.Nae Bi Mwantumu Mahiza, Mwenyekiti wa TACAPPA alieleza umuhimu wa muhogo kama zao la biashara na sio cha chakula tu. Hivyo alitoa rai kulima muhogo kimkakati ili kuongeza tija ya mkulima na taifa kwa ujumla.Mafanikio ya mkutano huo wa wadau ni pamoja na wanunuzi kubainisha mahitaji ya muhogo mbichi tani 920, makopa tani 250, unga wa muhogo (HQCF) tani 100 kila m w e z i .
Kitakasa mikono kilichotengenezwa na Shirika la Utafi� na Maendeleo ya Viwanda
Tanzania - TIRDO kutokana na matokeo ya mradi wa muhogo ikiwa ni sehemu ya
mchango wa shirika kwa serikali ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Virusi
vya Corona(COVID 19)
Ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Covid- 19, SIDO imebuni mashine yenye uwezo wa kutakasa mwili mzima “full body sani�zing Machine” Picha:Mhe.Innocent Bashungwa Waziri wa
Viwanda na Biashara akipita kwenye mashine hiyo
Habari Picha 8
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi Latifa Khamis akimpa maelezo Mhe Innocent Bashungwa Waziri wa Viwanda na
Biashara namna Huduma ya Kliniki ya Biashara itakavyofanya kazi Zanzibar ili kutatua changamoto mbalimbali za wafanya-
biashara. alipokuwa anaizindua Zanzibar tarehe. Tukio hili lilishuhudiwa na Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe
Balozi Amina Salum Ali. Huduma ya Kliniki ya Biashara inalenga kutatua changamoto za biashara kwa wafanyabiashara kwa
kuwahudumia ana kwa ana. Huduma hii hujumuisha taasisi zote za kimkakati katika kusaidia mnyororo wa biashara. Huduma ya
Kliniki ya Biashara ilianzishwa na inasimamiwa na TanTrade.

Kauli Mbiu ya Kliniki ya Biashara
Kusaidia Ukuaji Endelevu wa Biashara
Lengo la Kliniki ya Biashara ni kusaidia ukuaji endelevu na kuimarisha mazingira wezeshi ya biashara nchini kwa kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya biashara nchini ambazo
zinachangia kuongeza gharama za ufanyaji wa biashara (Cost of doing business) na hivyo kuwa kikwazo kikubwa ka�ka ukuaji wa biashara toka kuanzishwa Kliniki imetoa huduma ka�ka
Maonesho 12 yaliofanyika Dar es salaam, Pwani, Simiyu, Singida, Geita na Zanzibar.
KLINIKI YA BIASHARA
Mhe Innocent Bashungwa (Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara akipewa maelezo na Bi.La�fa Khamis Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade namna Kliniki ya Biashara inavyo-
fanya kazi Zanzibar ili kutatua changamoto mbalimbali za wafanyabiashara alipokuwa anaizindua Kliniki hiyo. Tukio hili lilishuhudiwa na Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe Balozi Amina Salum Ali. Huduma ya Kliniki ya Biashara ilianzishwa na inasimamiwa na
TanTrade.
MIKOA ILIYOHUDUMIWA NA KLINIKI YA BIASHARA
Taarifa za Masoko 9
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Na.
1.
2.
Aina ya Maonesho Tarehe Mkoa Idadi ya Waliohudumiwa
Jumla ya Wadau Waliohudumiwa 1090
3.
4.
5.
6.
7.
254
61
58
108
123
103
17
60
39
25
25
Simiyu
Zanzibar
1 - 8 Agosti, 2018
1 - 8 Agosti, 2019
24 septemba-2 oktoba,201820 septemba-2 oktoba,2019
Maonesho ya Kilimo
87
120
3 - 13 Julai, 2018
29 Juni - 12 Julai, 2019
Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) Dar es Salaam
Dar es SalaamMaonesho ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania
Maadhimisho ya miaka 20 yaJuiaya ya Afrika Mashariki
29 Oktoba - 4 Novemba, 2018
5 - 9 Desemba, 20185 - 9 Desemba, 2018
16 - 24 Desemba, 2019
17 - 23 Oktoba, 2019
Maonesho ya Viwanda na Biashara ya Mkoa wa Pwani
23 - 28 Oktoba, 2018
4-9 Oktoba,2019
Maonesho ya SIDO Kitaifa
Geita
Simiyu
Pwani
Singida
Maonesho ya Teknolojia ya Uchimbaji na Uwekezaji wa Madini ya Dhahabu mkoani Geita
Zanzibar
Habari Picha 10
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO UFARANSA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Mhandisi.Stella Manyanya (Mb) akikagua bidhaa za Wajasariamali walipokuwa wakionesha bidhaa kwenye siku ya kufunga Mkutano
wa uzinduzi wa Umoja wa Wazalishaji na Wasindikaji Muhogo Tanzania (TACAPPA)
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe Balozi Dkt Abdallah Possi (kulia mwenye tai ya kijani)
akiwa na washiriki kutoka Tanzania kwenye Maonesho ya Fruit Logistica nchini Ujerumani
Taarifa za Masoko 11
-
50,000
100,000
150,000
200,000
250,000 Januari
Februari Machi
-
50,000
100,000
150,000
200,000
250,000
300,000
Mahindi
Ngano
beans -
50,000
100,000
150,000
200,000
250,000
Mtama
Uwele
Ulezi
Mchele
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Kitakasa mikono kilichotengenezwa na Shirika la Utafi� na Maendeleo ya Viwanda
Tanzania - TIRDO kutokana na matokeo ya mradi wa muhogo ikiwa ni sehemu ya
mchango wa shirika kwa serikali ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Virusi
vya Corona(COVID 19)
Ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Covid- 19, SIDO imebuni mashine yenye uwezo wa kutakasa mwili mzima “full body sani�zing Machine” Picha:Mhe.Innocent Bashungwa Waziri wa
Viwanda na Biashara akipita kwenye mashine hiyo
Mwenendo wa bei za Mazao kwa kipindi cha Januari-Machi 2020.Ka�ka kipindi cha robo mwaka (Jan- Machi), 2020 bei ya mazao ya nafaka imeendelea kupanda. Mfano bei ya mahindi imepanda kutoka wastani wa sh 48,400 na kufika sh. 65,600 kwa gunia la kg 100.
Kupanda kwa bei kumechangiwa na usafirishaji kutokana na mafuriko yaliyo athiri mifumo ya usafirishaji nchini.
Mwenendo wa Bei ya Mazao ka�ka Robo ya kwanza ya mwaka
Lindi ni miongoni mwa soko lililouza mazao kwa bei ya juu, mfano gunia (kg 100) la mahindi liliuzwa kwa wastani wa sh 118,000 ukilinganisha na sh 43,500 ka�ka soko la Mpanda.
Bei ya Mazao ka�ka Masoko mbalimbali nchini
Matangazo na Matukio 12
Sisi kama Serikali tutaendelea
kutengeneza mazingira rafiki kwa
Viwanda vyote ili viweze kuzalisha vifaa
tiba na bidhaa nyingine katika wakati huu
ambao dunia nzima inapambana na
janga la virusi vya coronaMhe.Innocent Bashungwa
Waziri wa Viwanda na Biashara
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
Jitihada za Wizara ya Viwandana Biashara katika kupambana na
ugonjwa wa Corona
Kitakasa mikono kilichotengenezwa na Shirika la Utafi� na Maendeleo ya Viwanda
Tanzania - TIRDO kutokana na matokeo ya mradi wa muhogo ikiwa ni sehemu ya
mchango wa shirika kwa serikali ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Virusi
vya Corona(COVID 19)
Ka�ka kupambana na Ugonjwa wa Covid- 19, SIDO imebuni mashine yenye uwezo wa kutakasa mwili mzima “full body sani�zing Machine” Picha:Mhe.Innocent Bashungwa Waziri wa
Viwanda na Biashara akipita kwenye mashine hiyo
Wafanyabiashara Wadogo na Ka� (SME’s) wanaozalisha bidhaa za Tanzania wahi-mizwa kujisajili kwenye mfumo la soko la mtandao ulioandaliwa na waandaji wa
Maonesho ya Dunia kutoka nchi ya Falme za Kiarabu.
Wito huo umetolewa na TanTrade ili wafanyabiashara na wazalishaji wa bidhaa waunganishwe na kuweza kuuza nje ya mipaka yao, kutangaza bidhaa, kufahamiana
pamoja na kupeana taarifa za biashara kupi�a Mtandao huo .
Soko la mtandao ni jukwaa lenye nguvu ya kupata bidhaa na huduma zenye ubora zaidi pamoja na mawazo mapya yenye ubunifu yaliyoendelezwa na wafanyabiashara
kutoka sekta ndogo na ka� ulimwenguni.
Ili kujisajili, tafadhali tembelea tovu� yetu yenye anuani www.tantrade.go.tz na kubofya linki “Sajili Biashara yako”. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu
namba 0757 240199.
Matangazo na Matukio 13
Serikali yatangaza bei elekezi ya Sukari
nchini.
Piga simu namba 0800110134 bila malipo;info@tantrade.go.tz au tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz
top related