Page 1
© Boston University
LANGUAGE PROGRAM, 232 BAY STATE ROAD, BOSTON, MA 02215 www.bu.edu/Africa/alp
[email protected] 617.353.3673
Zoezi # 1: Toa maana ya msamiati huu
i) kudeka ii) Puliza
iii) Muhula iv) Kujitahidi
v) Bidii
vi) Ziada vii) Haki
viii) Kiu
ix) Juu juu x) Kunyata
xi) Thibitisha xii) Mchanganyiko
xiii) Urithi
xiv) Mimba xv) Kujuta
xvi) Kulipa
Zoezi #2: Tumia maneno hayo juu katika sentensi kisha utafsiri
Zoezi #3: Jibu maswali haya
i) Baba na mama Rukia walikuwa na watoto wangapi? Wataje. ii) Baba yao alipenda kusisitiza nini kila asubuhi?
iii) Watoto hao walionekana wenye tabia gani? iv) Rukia alipochelewa alisema alikuwa wapi?
v) Kunyata ni kufanya nini?
vi) Nani alipewa barua alete nyumbani? vii) Barua ilisema nini?
viii) Kwanini Baba aliwakataza kupanda magari ya watu wengine?
ix) Je Rukia angesikiliza maneno ya wazazi wake angepata shida ile? x) Unatoa ushauri gani kwa vijana wadogo?
Page 2
2
Zoezi la 4: Jibu kweli au Si kweli
i) Mama Rukia alimwambia Rukia kuhusu magonjwa ya ukimwi. ii) Baba Rukia aliwaonya watoto wake wasiombe lifti.
iii) Mbwana na Rukia waliwahi kurudi nyumbani kila siku. iv) Kuwa chini ya miguu ni sawa na kuomba msamaha.
v) Rukia alisema aiomba lifti kwasababu nauli yake iliibiwa.
vi) Inaonekana kama Rukia si msichana mtiifu. vii) Mbwana alimwona dada yake akinywa soda na wavulana asiowajua.
Zoezi la 5: Jibu Swali hili
Elezea maana ya methali hii “Asiyesikia la mkuu huvunjika guu” kama Ilivyotumika katika hadithi hii.
Zoezi la 6: Jibu Swali hili Andika Muhtasari wa igizo hili kama unamwadithia mtu mwingine.
Zoezi la 7: Jibu Swali hili Unafikiri kwanini hadithi nyingi za watoto wa Afrika Mashariki husisitiza
Methali hii?
Zoezi la 8: Jibu Swali hili
Taja methali au msemo wa Kiingereza unayofanana na methali hii. Unaweza kuelezea methali hiyo hutumikaje?
Zoezi la 9: Jibu Swali hili
Andika kisa kifupi kuelezea methali “Asitesikia la mkuu huvunjika guu”.
Zoezi la 10: Jibu Swali hili
Jaribu kuigiza methali hii ili kufanya mazoezi.