Top Banner
1
34

Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

Jan 22, 2021

Download

Documents

dariahiddleston
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

1

Page 2: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

2

Yaliyomo

Taarifa Binafsi za Mwanachama

UTANGULIZI ------------------------------------------------------------------------------------------------- 3 BIDHAA ZA JATU ----------------------------------------------------------------------------------------- 4

KILIMO NDANI YA JATU PLC ----------------------------------------------------------------------- 5

JATU SACCOS LTD --------------------------------------------------------------------------------------- 9

WAKALA ------------------------------------------------------------------------------------------------------ 11

KULA ULIPWE ---------------------------------------------------------------------------------------------- 14

NJIA RAHISI YA KUJENGA MTANDAO--------------------------------------------------------- 19

MAKADIRIO YA GAWIO LA FAIDA -----------------------------------------------------------------20

MREJESHO WA MAUZO YA WAKALA --------------------------------------------------------- 22

JINA KAMILI_________________________________________________________________________

NAMBA YA UANACHAMA____________________________________________________________

JINA LA WAKALA____________________________________________________________________

MKOA___________________ WILAYA____________________ KATA/MTAA___________________

BARUA PEPE___________________________ NAMBA YA SIMU___________________________

SAINI________________________________ TAREHE______________________________________

Page 3: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

3

Utangulizi

Dira ya JATU

Dhima kuu ya JATU

Misingi Mikuu ya JATU

Huduma Kuu za JATU

JATU (Jenga Afya Tokomeza Umasikini) ni Kampuni ya kitanzania iliyosajiliwa kama kampuni ya umma (Public Limited Company) inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa.

Kuwa Kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma bora na kuwezesha upatikanaji wa kipato kwa kila mwanachama.

Kujenga Afya na kutokomeza Umasikini kwa kutumia rasilimali watu, Kilimo na Viwanda.

JATU kuna misingi mikuu mitano ambayo ni muhimu kwa kila mwanachama kuifanyia kazi wakati wote.

Misingi mikuu ya JATU ni 1. Umoja 2. Bidii3. Ubunifu4. Uthubutu5. Huduma Bora

1. Kilimo2. Viwanda3. Masoko4. Mikopo

Page 4: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

4

Bidhaa za JATU

Faida za Kujiunga na JATU

JATU tumejikita katika bidhaa za chakula kama vile;

1. Nafaka (Mchele , Sembe, Dona, Unga wa Lishe na ngano)2. Mboga (Maharage, Samaki, Dagaa, Mboga za majani, n.k.)3. Viungo (Mafuta ya Alizeti, Chai mbadala, nyanya, Chumvi, Sukari na Vitunguu)4. Matunda (Ndizi, Nanasi, Parachichi, Machungwa, n.k.)5. Vinywaji (Maji, Maziwa na Juisi mbalimbali)

Hadi sasa tuna bidhaa zifuatazo; Mchele, Unga wa Dona na Sembe, Mafuta ya Alizeti, Majani ya chai mbadala, chumvi, maji ya kunywa, Maharage, Vitunguu, Mboga ya Majani, Machungwa na Parachichi

Bidhaa ambazo tumejikita nazo hutumika kila siku katika familia zetu, lakini malengo yetu ifikapo mwaka 2022 mwanajatu apate bidhaa zote katika mfumo wa JATU MARKET.

• Kununua bidhaa zenye ubora• Kufaidika na Kilimo cha Kisasa• Kupata mafunzo ya ujasiriamali • Kupata gawio la faida kila mwezi kutokana na manunuzi ya bidhaa• Kupata gawio la faida kila mwaka kutokana na hisa zako• Kuwa mwanachama wa JATU SACCOS

MUHIMU.

Page 5: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

5

Kilimo ndani ya JATU

Kampuni ya JATU PLC ina lengo la kufikia wilaya zote za Tanzania kupitia Kilimo, Viwanda na Masoko ya mtandao. Kwa sasa, Kampuni inaendesha shughuli za Kilimo cha maharage wilayani Kilindi mkoa wa Tanga, Kilimo cha Mpunga wilayani Kilombero, Morogoro, Kilimo cha Mahindi na Alizeti huko Wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara na Kilimo cha matunda, Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Kilimo cha Parachichi Wilaya ya Njombe na Halmashauri ya Mlimba mkoani Morogoro, Kilimo cha Viazi lishe wilaya ya Madaba Mkoani Ruvuma, Kilimo cha Vi-tunguu Mkoani Singida, Kilimo cha ndizi Wilaya ya Tarime mkoani Mara pamoja na Kilimo cha Mbogamboga katika Wilaya ya Kigamboni Mkoani Dar es Salaam.

Kampuni hununua mazao yote ya wakulima kama malighafi kwa ajili ya viwanda vya Kampuni ambavyo vinachakata na kufungasha bidhaa tofauti tofauti za vyakula.

Viwanda hivyo vinapatikana Kibaigwa – Dodoma (Kiwanda cha kuchakata Unga wa mahindi na mafuta ya kupikia ya Alizeti), Kilombero – Morogoro (Kiwanda cha kukoboa Mpunga) na Kilindi Tanga kwa ajili ya kuchakata Maharage. Mpango huu unaenda sambamba na sera ya Taifa ya viwanda.

Mahindi ni zao muhimu la chakula na ni aina ya nafaka ambayo hutumika kuandaa bidhaa aina ya unga ambayo ni maarufu sana nchini Tanza-nia.

JATU tunalima mahindi katika mkoa wa Man-yara wilaya ya kiteto. Kiteto ni moja kati ya mae-neo maarufu Tanzania kwa kilimo cha mahindi.

Maharage ni miongoni mwa zao la kibiashara linalolimwa kwa wingi hapa nchini. Familia nyin-gi hapa Tanzania hutumia zao hili kama mboga ya nyumbani.

Kampuni yetu imewekeza katika kilimo cha maharage ndani ya mkoa wa Tanga wilaya ya kilindi tangu mwaka 2018.

MAHINDI

MAHARAGE

Page 6: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

6

Mpunga ni zao linalolimwa kwa wingi hapa Tanzania, zao hili linatumika kuandaa mchele ambao ni chakula cha gharama nafuu sana hapa nchini.

Kampuni yetu imewekeza katika kilimo cha mpunga tangu mwaka 2017 katika wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro.

Alizeti ni miongoni mwa zao muhimu ambalo hukamuliwa ili kuzalisha mafuta ya kupikia ya-julikanayo kama mafuta ya alizeti. Mafuta ya alizeti yana sifa ya kutokuwa na lehemu (core-strol) na hivyo yanalinda afya dhidi ya magonj-wa mbalimbali .

Kilimo cha Alizeti ndani ya JATU PLC kinalimwa kwa wingi wilayani Kiteto mkoa wa Manyara

Machungwa ni tunda ambalo ni lina faida nyingi ndani ya mwili wa binadamu ikiwemo; Kusaidia kuondoa tatizo la shinikizo la damu, vitamin B6 na madini ya chuma. Pia ni zao kubwa la kibi-ashara.

Kilimo cha machungwa na JATU tayari maandalizi yameanza na kinafanyika katika mkoa wa Tanga wilaya ya Muheza na Handeni.

Parachichi ni aina ya kipekee la tunda amba-lo lina faida nyingi sana kibiashara na kukuza uchumi, pia lina faida nyingi kwa binadamu ikiwemo; Mafuta yake huzuia uvimbe na hulinda afya macho, pia husaidia kupunguza lehemu (corestral) na kukabiliana na matatizo ya moyo.

Tunda hili linalimwa ndani ya JATU katika wilaya ya Njombe na halmashauri ya Mlimba mkoani Morogoro.

MPUNGA

ALIZETI

MACHUNGWA

PARACHICHI

Page 7: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

7

Viazi lishe ni miongoni mwa vyakula aina ya wanga na vyenye utajiri wa vitamin za aina ny-ingi kama VItamini A, B5, B6, C na E, lakini pia viazi hivyo vina madini aina ya Potasiumu, mag-neziumu n.k.

Ndani ya JATU PLC, zao hili linalimwa mkoa wa Ruvuma wilaya ya Madaba.

Vitunguu ni miongoni mwa viungo muhimu ka-tika mapishi ya kila siku, kiungo hiki hutumika kuongeza ladha ya chakula.

Kilimo cha vitunguu ndani ya Kampuni ya JATU PLC kinalimwa mkoani Singida.

Ndizi ni miongoni mwa mazao ambayo hutumi-ka kama chakula na hata tunda pia, miongoni mwa sifa za ndizi ni pamoja na kuwa na madini mbalimbali ambayo ni potassiumu, zinki, protini , n.k.

Kilimo cha ndizi ndani ya JATU PLC kinafanyika katika wilaya ya Tarime mkoani Mara.

Mbogamboga ni miongoni mwa makundi mu-himu ya mlo yenye kuleta vitamini A, kuongeza damu, madini kwa wingi. Mboga za majani pia husaidia kukinga mwili wa binadamu dhidi ya magonjwa mbalimbali.

Kilimo cha mbogamboga ndani ya JATU kina-fanyika katika wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam.

VIAZI LISHE

VITUNGUU

NDIZI

MBOGAMBOGA

Page 8: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

8

ZAO MKOAKUKODI

(TZS)KUNUNUA (TZS)

HEKARI MWANZO WA MSIMU(2020)

MWISHO WA MSIMU (2021)

MPUNGA KILOMBEROMOROGORO

100,000 1,000,000 5000 OKTOBA JULAI

MAHINDI KITETOMANYARA

50,000 750,000 5000 NOVEMBA JUNI

ALIZETI KITETO MANYARA

50,000 750,000 5000 DISEMBA JUNI

MAHARAGE KILINDI TANGA

100,000 850,000 6000 FEBRUARI (2021)

JULAI

MACHUNGWA MUHEZA NA HANDENITANGA

- 1,000,000 1000 2020 2022

PARACHICHI NJOMBE NA MLIMBA MOROGORO

- 1,000,000 1000 2021 2023

Gharama za kuandaa na kuhudumia mashamba zinatofautiana kulingana na zao na eneo husika.

GHARAMA

Page 9: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

9

JATU SACCOS Limited

Mikopo

Huduma Zitolewazo

JATU Saccos Ltd (JSL) Ni chama cha ushirika kilichoanzishwa na kampuni ya JATU PLC kwa lengo la kuwawezesha wanachama wake wanaoshiriki katika miradi ya kilimo kupata mkopo wa kuwawezesha kumudu fursa hii na mkopo huu hauna riba kabisa. Lakini chama hiki hakijaishia hapo kwani kinatoa mikopo kwa wanachama wabunifu na wafanyabiashara ili kumudu gharama katika ubunifu wao na kukuza mitaji pia.

JATU SACCOS ni taasisi iliyoanzishwa na wanachama wa JATU ili kuweza kuwakopesha wakulima mikopo ya masharti nafuu na kupitia JATU SACCOS mwanachama anatakiwa kuweka akiba kila mwezi na ikifika muda wa kukopa aweze kukopa na kurejesha kwa wakati.

1. MIKOPO2. BIMA YA AFYA

Aina za mikopo I. Mkopo wa maendeleoII. Mkopo wa dharuraIII. Mkopo wa kilimo.

I. Mkopo wa maendeleo Mkopo huu hutolewa kwa wanachama wa JATU SACCOS kwa riba nafuu (10%) Marejesho yake hufanywa kila mwezi kwa muda wa miezi sita hadi miezi thelathini na sita. Mwanachama atadhaminiwa na hisa zake, gawio la faida, akiba pamoja na wadhamini wawili kutoka JATU SACCOS. II. Mkopo wa dharura• Mkopo huu hutolewa kwa wanachama wa JATU SACCOS kwa riba nafuu (10%)• Marejesho yake hufanywa ndani ya mwezi mmoja tu baada ya mkopo kuchukuliwa• Mwanachama atadhaminiwa na hisa zake, gawio la faida pamoja na akiba zake• Mkopo huu hauzidi shilingi laki tano tu

III. Mkopo wa kilimo• Mkopo huu hauna riba kabisa, mkulima atakopeshwa na gharama nyingine yaani 2/3 za

kulimia bila ya kuwa na riba.• Mkopo huu utarejeshwa baada ya msimu wa kilimo kuisha.• Mkopo huu utadhaminiwa na mwanachama mwenyewe, mazao yake, hisa pamoja na akiba yake.

Page 10: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

10

Bima ya Afya

Mwanachama wa JATU Saccos mwenye kuhitaji atapata bima ya afya kutoka NIA NJEMA ambayo imebuniwa na kuratibiwa na Acclavia Insurance na kupatiwa dhamana na strategies na Sanlam kwa malipo ya Tsh 230,000/= kwa familia ya watu wanne (baba,mama na watoto wawili) na kwa kuchangia Tsh 80,000/= kwa kila mtoto atakayeongezeka chini ya umri wa miaka 18.

SIFA ZA KUWA MWANACHAMA WA JATU SACCOS

• Awe mwanachama wa JATU PLC.

• Awe amenunua kuanzia hisa 50 ambapo hisa moja ni Tsh 2,500/=

• Alipe kiingilio cha shilingi 10,000/=.

• Anunue T-shirt/sare ya chama shilingi 20,000/=

• Anunue masharti/katiba ya chama shilingi 10,000/=

• Anunue muhtasari wa vikao ambavyo hakuhudhuria ambapo mmoja shilingi 1,000/=

• Awe anaweka akiba angalau shilingi 10,000/= kila mwezi.

• Awe analipa ada ya Tsh 10,000 kila mwezi.

Page 11: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

11

WakalaHuyu ni mwakilishi wa kampuni ya JATU katika kuuza na kusambaza bidhaa za JATU na kutoa elimu kwa wanachama wapya katika kata yake aliyopangiwa.

Vigezo vya kuwa wakala

• Lazima awe mwanachama wa JATU PLC• Awe na eneo la biashara na liwe na nafasi kwaajili ya mafunzo ya wanachama wapya• Awe na TIN namba na leseni ya biashara• Awe na mkataba wa sehemu ya biashara• Awe na chombo cha usafiri au karibu na mtu mwaminifu mwenye chombo cha usafiri.• Awe na simu janja au kompyuta• Awe tayari kununua hisa za JATU PLC zisizopungua 500.

Hisa za JATU PLC

Hisa inakupa uwezo wa kumiliki Kampuni ya JATU na ukawa unapata gawio la faida kila mwaka.

Nunua hisa za JATU kupitia mawakala wa soko la hisa Dar es Salaam ambao utawapata kwa

kutembelea tovuti ya www.jatu.co.tz

Wajibu wa wakala wa JATU PLC

• Kutoa semina za mafunzo ya JATU kwa wanachama kuhusu kilimo, masoko, mikopo, mitaji na faida zake• Kuuza bidhaa za JATU kwa wanachama wote wa kata yake• Kutoa elimu ya kutumia mfumo wa JATU masoko kwa wanachama wapya• Kuhakikisha mteja akiweka oda bidhaa zinamfikia kwa wakati• Kuhakikisha muda wote duka lake haliishiwi bidhaa za JATU• Atashirikiana na JATU kufuatilia uhitaji wa bidhaa mpya kwa wateja wa eneo lake ili

ziongezwe kwenye mfumo pale itapohitajika

11

Page 12: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

12

Faida za kuwa Wakala wa JATU PLC• Wakala atafaidika na mkopo kutoka JATU Saccos.• Wakala atapata gawio la asilimia 10% ya faida yote katika kila bidhaa anayouza kupitia

mfumo wa JATU Market.• Wakala atapata gawio la asilimia 40% kwa kizazi chake alichotengeneza• Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla• Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET

Kila wakala atapaswa kutengeneza mtandao kuanzia kizazi cha kwanza hadi kizazi cha tano na kila kizazi wakala atakuwa akipewa malipo ya gawio kila mwezi ambayo ni jumla ya asilimia 40%.

WAKALA = 10%1. KIZAZI CHA 1=10%2. KIZAZI CHA 2= 8%3. KIZAZI CHA 3= 6%4. KIZAZI CHA 4= 4%5. KIZAZI CHA 5= 2%

JUMLA---40% Gawio la faida

Page 13: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

13

• Kuuza bidhaa na kutoa elimu ya JATU kwa wanachama wanaopatikana katika kata yake

• Wakala wa JATU lazima atambue kuwa anawajibu wa kununua bidhaa za kampuni kwaajili ya matumizi yake nyumbani

• Wakala ana wajibu wa kuhakikisha mauzo yote yanafanyika kwa kutumia mfumo wa JATU MARKET

MAJUKUMU YA WAKALA

MOTISHA / ZAWADI KWA MAWAKALAIli kuongeza utendaji kazi wa mawakala kampuni imeweka utaratibu wa kuwapongeza mawakala watakao fanya vizuri katika mauzo ili kuleta motisha baina ya mawakala hao.

Zawadi hizo zitagawanyika katika mafungu tofauti kama ifuatavyo;• Zawadi za kila mwezi kwa mawakala waliofanya vizuri kwenye mwezi husika.• Zawadi za nusu mwaka kwa wakala aliyeongoza kwa zaidi ya miezi mitatu.• Zawadi ya kufungia mwaka kwa kila wakala na wakala aliyeongoza zaidi katika mwaka husika kupata zawadi zaidi ya wengine.

Mfano wa zawadi.• T-shirt • Kofia• Bodaboda • Bajaji• Bidhaa• Gari

Mambo ya kuzingatia kwa mawakala.

• Zifahamu tabia za watu wako kabla ya kuwaingiza katika mtandao wako.• Awe na uwezo wa kujieleza ili hata akipata wanachama ataweza kutoa elimu• Tambua mtu gani utakayemshirikisha katika mtandao wako ili kujenga na kuimarisha

mtandao.• Jaribu kutambua mitazamo ya watu unaowataka katika mtandao wako maana sio kila mtu

anafaa kuwa katika mtandao wako kama muwakilishi wako kwa mtandao chini yako.• Mtandao wako uwe wa kujenga na kuwashirikisha wengine kwa umoja wenu.

Page 14: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

14

Dhana ya neno kula ulipwe inakupa fursa ya kununua chakula kupitia mfumo wa JATU MARKET na kila unachokinunua utapata gawio la faida ambalo utalipwa kila mwisho wa mwezi

Baada ya JATU kugundua madhara ya madalali katika mauzo ya mazao iliamua kuanzisha miradi ya kilimo na viwanda ili kuzalisha bidhaa za kutosha kwa ajili ya mlaji. Mlaji anatakiwa kununua kwa bei nafuu na faida inayo patikana apewe gawio.

Mfano, Zao la mahindi linazalisha unga wa mahindi dona na sembe, lakini mpaka unga ufike kwa mlaji unapitia mnyororo wa udalali kama ifuatavyo;

Kula Ulipwe

Page 15: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

15

Mwaka 2015 shirika la kutetea haki za binadamu na kupambana na umasikini (LPLIO) lilianzisha mpango huu ili kuhakikisha mwanadamu anakula chakula bora na atapata gawio la faida kutokana na manunuzi ya bidhaa hizo.

Mfumo wa kula ulipwe unawezekana kama madalali wa chakula na mazao wataondolewa katika mfumo.

KULA ULIPWE ILIANZAJE NA INATEKELEZEKAJE

KULA ULIPWENDANI YA JATU

Page 16: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

16

MFUMO WA JATU WA KULA ULIPWE

Ili uweze kula na kulipwa ni lazima uwe katika mfumo maalumu wa JATU ambao unapunguza madalali na hivyo kuongeza sehemu ya faida .

MFUMO WA JATU

MKULIMA

KIWANDA

WAKALA

MLAJI

MFUMO WA USAMBAZAJI MTEJA

Kampuni ina lima na wakulima wake ambao wanauza mazao katika viwanda vya kampuni ya JATU PLC na baada ya hapa Bidhaa huzalishwa na kusambazwa na mawakala maalumu wa JATU ambao wanamfikishia bidhaa mlaji bila kupitia kwa dalali yeyote

Page 17: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

17

Kwanza hakikisha unajiunga na kuwa mwanachama wa JATU na unaanza kununua bidhaa kila mara kwa ajili ya mahitaji yako. Lakini pia ili kukuza gawio lako la faida wajulishe wenzako waanze kutumia bidhaa za JATU PLC. Mfumo wa JATU unatambua mteja na marafiki zake kama vizazi vitano ( 5) yaani mzazi na kizazi chake. Mzazi ----- 10%

K1 ---- 10%

K2 ---- 8%

K3 ---- 6%

K4 ---- 4%

K5 ---- 2%

JUMLA --- 40% Faida kila bidhaa

Hivyo mteja (mlaji) anaweza kupata faida hadi asilimia 40% kama atafuata mfumo huu wa JATU na hizi asilimia ni kubwa zaidi kama mzazi atajenga vizazi vyote na ahakikishe anakuza mtandao wa walaji.

Mfano; kila kg 1 inatoa gawio la faida Tsh 200 na kwamba kila mzazi anaweza kula kg 100 na akawa angalau na watu 10 kila kizazi ambao wanaojenga mtandao na kununua bidhaa kila mwezi.

MFUMO WA GAWIO LA FAIDA

MCHANGANUO WA FAIDA

WAZAZI10%

Page 18: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

18

Vipato hivyo vimegawanyika katika sehemu kuu mbili.

1. JATU PLC2. MTANDAO

JATU PLC; Ndo kampuni inayobeba na kusimamia mfumo mzima kwa sababu hii kampuni inapata gawio la faida ya asilimia 40% kwa kila bidhaa inayouzwa kwa kupitia mfumo wa JATU masoko.

MTANDAO Huu umegawanyika katika sehemu kuu tatu kama ifuatavyo;

I. Waanzilishi; Hawa ni waanzilishi wa wazo la JATU PLC, wao kwa umoja wao wanalipwa 10% ya faida yote inayopatikana kwa kila bidhaa kila mwezi.

II. Wakala; Hawa ni wawakilishi wa huduma za JATU mtaani kwani wanakutana na wanachama na kuwalea kwa kuwapa elimu na ushauri ili kuhakisha wanajenga mtandao imara. Kwa umuhimu wa majukumu yao wanapata gawio la faida 10% kwa kila bidhaa inayouzwa kwa kutumia namba yao ya wakala.

III. Mdhamini; Huyu kazi yake kubwa ni kujenga mtandao na ndio mteja wa kwanza katika huu mfumo. Mdhamini huyu atapata 10% kama gawio lakini pia atapata 30% zingine kutokana na mtandao wake wa vizazi atakavyo tengeneza kuanzia kizazi cha kwanza hadi cha Tano.

Lakini pia anapata asilimia 30% kutokana na mtandao wake wa vizazi atakao utengeneza kuanzia kizazi cha kwaza hadi cha tano kama ifuatavyo;

1. Kizazi cha kwanza ( k1) =10%2. Kizazi cha pili ( k2) = 8%3. Kizazi cha tatu ( k3) = 6%4. Kizazi cha nne ( k4) = 4%5. Kizazi cha tano ( k5) = 2%

Ukijumlisha hatua zote hapo juu utapata jumla ya asilimia sitini 60% kama ifuatavyo;

1. Wazazi -10%2. Wakala -10%3. Mdhamini- 10%4. Kizazi 1- 10%5. Kizazi 2- 8%6. Kizazi 3- 6%7. Kizazi 4- 4%8. Kizazi 5- 2%

JUMLA YA GAWIO LA FAIDA NI 60%

Page 19: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

19

Kuna njia rahisi tatu za kujenga mtandao wako ambazo ni;• Mtandao wa marafiki• Mtandao wa ndugu• Mtandao wa majirani na wateja

Mtandao wa marafiki;• Orodhesha marafiki zako wote unaowajua na una mawasiliano nao kwa ukaribu angalau

wafike hamsini

• Watenge au wagawanye marafiki wote ulio waorodhesha katika makundi mawili walio jiajiri na walio ajiriwa maana wanasifa na tabia tofauti katika biashara zao

• Weka mkazo mkubwa kwa marafiki wako wote wajasiriamali waliojiajiri, hao wanaweza kuku-za mtandao wako kwasababu wana uzoefu wa kufanya biashara.

• Pia katika kundi walioajiriwa baini marafiki wachache wanaopenda ujasiriamali hao pia wanaweza kukusaidia kutengeneza mtandao vizuri.

Mtandao wa ndugu• Mtandao huu ni rahisi sana kutengeneza na kusaidia kutawanya kipato katika familia nzima

na kuinuana kiuchumi. Ni vema kila wakala ajikite katika kuwaunganisha ndugu zake katika mtandao wake ili kunufaika kwa matumizi ya kila mmoja

• Jikite katika kuunganisha ndugu wenye kauli katika familia, maana hao ndo watakao wambia wengine hivyo kukusaidia kujenga mtandao wako.

Mtandao wa majirani.• Kila mtu anahitaji kula kila siku hivyo ni nyema kuwashirikisha majirani tunaoishi nao majum-

bani maana hao watakusaidia kujenga mtandao.

Njia Rahisi ya Kujenga Mtandao

JINSI YA KUINGIA KATIKA MFUMO WA JATU MARKET

1. Kwanza hakikisha uwe na simu janja yenye uwezo wa kutumia internet na uingie katika playstore au appstore na uandike neno JATU APP kisha utapakua mfumo wa JATU MARKET.

2. Endapo ni mara ya kwanza kutumia mfumo wa JATU MARKET utaenda sehemu ya kujisajili (register), hapo utakutana na maelekezo ya uwanachama utayasoma nakuanza kujaza fomu.

3. Fomu yetu itakutaka uwe na mdhamini (sponsor) aliyekupa habari za JATU na uwe na wakala wa karibu yako anaekupa huduma za JATU lakini pia kama wote hao hauna na ulisikia JATU kupitia vyanzo vingine basi utawasiliana na ofisi ili kupata namba ya kampuni utakayoitumia kama mdhamini (sponsor) na wakala kisha utaendelea na sehemu nyingine ili kuweka taarifa binafsi.

4. Mara baada ya kumaliza kufanya usajili utatuma fomu yako na ndani ya dakika chache utapokea ujumbe mfupi wa namba ya uwanachama na neno la siri kutoka JATU , hizo utatumia kuingia katika mfumo wa JATU MARKET.

5.Ndani ya mfumo wetu wa JATU MARKET utakutana na ngazi 1-5 hapo ni kuonesha watu ambao unawaunga kuanzia kizazi cha kwanza mpaka cha 5.

Page 20: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

20

AINA YA WATEJA

IDADI YA WATEJA

KILOGRAM (KG) JUMLA YA MANUNUZI

FAIDA KWA KG 1

JUMLA YA FAIDA (TSHS)KIASI(KG/LTR

ASILIM-IA %

GAWIO(TSHS)

MALIPO KWA MWEZI (TSHS)

MDHAMINI 1 100 200 20,000/- 10 20 2,000/-

K1 10 1,000 200 200,000/- 10 20 20,000/-

K2 100 10,000 200 2,000,000/- 8 16 160,000/-

K3 1,000 100,000 200 20,000,000/- 6 12 1,200,000/-

K4 10,000 1,000,000 200 200,000,000/- 4 8 8,000,000/-

K5 100,000 10,000,000 200 2,000,000,000/- 2 4 40,000,000/-

JUMLA 111,111 11,111,100 2,222,220,000/- 40 80 49,580,000/-

MAKADIRIO YA GAWIO LA FAIDA

NAMNA YA KUKUZA MALIPO YA GAWIO LA FAIDA

HITIMISHO

Kula sana, Lipwa zaidi. Ukiwa na tabia ya kununua mara kwa mara kutoka JATU MARKET na marafiki zako kila mwezi wakanunua bidhaa utatengeneza kipato kikubwa cha kudumu.

Tunajivunia kuwa kampuni inayotoa huduma zenye kulenga maendeleo kwa kila mwananachama hivyo tuko tayari kuwahudumia na kushirikiana katika kila jambo bunifu litakalo leta maendeleo

Page 21: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

2121

MAONI

Page 22: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

2222

MREJESHO WA MAUZO YA WAKALA

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Page 23: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

23

Page 24: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

2424

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Page 25: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

25

Page 26: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

2626

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Page 27: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

27

Page 28: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

2828

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Page 29: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

29

Page 30: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

3030

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Page 31: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

31

Page 32: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

3232

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Page 33: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

BIDHAA MAELEZOM A U Z O YA WIKI (KG)

J U M L A YA WATEJA

MAUZO KWA KIZAZIMAONI

K1 K2 K3 K4 K5

Ni mchele wenye ladha nzuri na hufaa Kwa mapishi mbalimbali ya kila siku na hupatikana ukiwa tayari umechambuliwa na hivyo kurahisisha mapishi yako.

A B C

Ni unga wa sembe wenye ladha nzuri, ambao huandaliwa kwa kukoboa mahindi safi na kufuata kanuni zote za uandaaji wa bidhaa za chakula.

Ni unga wa dona wenye ladha nzuri na unavirutubisho muhimu Ambayo huimarisha afya ya mlaji.

Ni unga safi wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali ambazo ni mahindi, mchele, ulezi pamoja na mbegu za maboga.

Haya ni maharage ya njano ambayo ni rahisi kuiva.

Hizi ni karanga mbichi nzuri na safi kabisa ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU PLC

Ni mafuta halisi ya alizeti ambayo hutokana na mbegu za mmea wa alizeti na hayajachanganywa kemikali ya aina yoyote.

Ni vitunguu visafi na vyenye ubora ambavyo huandaliwa na kufungashwa na JATU

Ni mboga freshi ambazo huandaliwa na kufungashwa na JATU

33

Page 34: Yaliyomo - WordPress.com · 2020. 11. 13. · • Wakala atauziwa bidhaa kwa bei ya jumla • Wakala anaweza akabuni bidhaa zake na akaweka katika mfumo wa JATU MARKET Kila wakala

34