Muhula wa Kwanza KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIA NYENZO ZA 1 2 3 4-5 Kusikiliza na kuzungumza Fasihi Ufahamu Sarufi Vinyume vya vitenzi Dhima ya fasihi Usalama barabarani Vitenzi Ku kia mwisho wa somo, mwanafunzi fi aweze: · kutofautisha baina ya kinyume na kukanusha. · kueleza maana ya vinyume vya vitenzi. · kutumia vinyume katika sentensi sahihi. Ku kia mwisho wa somo, mwanafunzi fi aweze: · kueleza dhima ya fasihi. · kujibu maswali kwa usahihi. Ku kia mwisho wa somo, mwanafunzi fi aweze: · kusoma kwa sauti na kimya. · kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. · kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi. Ku kia mwisho wa somo, mwanafunzi fi aweze: · kupambanua tofauti baina ya vitenzi asili na vile vya kigeni. · kufafanua mzizi wa vitenzi. · kuainisha viambishi awali na tamati. · kutumia vitenzi sahihi katika sentensi. · Marudio · Maelezo · Maswali na majibu · Mifano · Mazoezi · Kutofautisha · Maelezo · Kuandika · Mifano · Tajriba · Tajriba · Maelezo · Usomaji · Maswali na majibu · Uta ti fi · Marudio · Mazoezi · Maelezo · Mifano ya vitenzi · Kazi mradi
70
Embed
· Web view· kubainisha haki za watoto. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: · kueleza sifa za lugha katika tamthilia. · kutoa mifano ya aina mbalimbali za matumizi ya lugha
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
JUM
A 1
, KidatoSHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Muhula wa KwanzaKIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIA
NYENZO ZA
1
2
3
4-5
Kusikiliza nakuzungumza
Fasihi
Ufahamu
Sarufi
Vinyume vya vitenzi
Dhima ya fasihi
Usalama barabarani
Vitenzi
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kutofautisha baina ya kinyume na
kukanusha.· kueleza maana ya vinyume vya vitenzi.· kutumia vinyume katika sentensi sahihi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza dhima ya fasihi.· kujibu maswali kwa usahihi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma kwa sauti na kimya.· kubainisha umuhimu wa usalama
barabarani.· kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kupambanua tofauti baina ya vitenzi
asili na vile vya kigeni.· kufafanua mzizi wa vitenzi.· kuainisha viambishi awali na tamati.· kutumia vitenzi sahihi katika sentensi.
· Marudio· Maelezo· Maswali na majibu· Mifano· Mazoezi· Kutofautisha
· Maelezo· Kuandika· Mifano· Tajriba
· Tajriba· Maelezo· Usomaji· Maswali na majibu· Utafiti
· Marudio· Mazoezi· Maelezo· Mifano ya vitenzi· Kazi mradi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 1-2
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 1-2
· Wanafunzi· Ubao· Vielelezo· Majedwali
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 2-3
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 2
· Wanafunzi· Mchoro· Mikusanyo ya kazi za
fasihi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 3-6
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 2-3
· Takwimu au tarakimu· Picha au michoro
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 6-9
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 3-4
· Jedwali· Vielelezo· Maandishi
mbalimbali
HAKIUZWI
JUM
A 1
JUM
A 2
JUM
A 3
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Kwanza
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
6
1-2
3-4
Kuandika
Fasihi teule
Fasihiandishi
Insha ya hadithi(masimulizi)
· Usuli katika riwaya· Utangulizi wa Mwisho
wa kosa (sura 1)
Hadithi fupi:Utenzi wa moyoni
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza vipengele vya insha ya
masimulizi.· kuandika insha ya masimulizi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana ya usuli.· kueleza umuhimu wa usuli wa riwaya.· kumwelewa mwandishi na jumuia yake.· kueleza dhamira ya mwandishi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kutaja maudhui ya hadithi hii.· kujadili mbinu za lugha zilizotumiwa.· kujadili wahusika.
· Kusoma kwa sauti· Majadiliano· Uchambuzi· Kuandika
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 12
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 6-7
· Visa vya wanafunzi· Makala ya magazeti
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 11
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 5
· Wanafunzi· Riwaya ya Mwisho wa
kosa, uk. 1-9
· Kitabu cha MayaiWaziri wa Maradhi,uk. 13-19
5-6 Sarufi Uakifishaji Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kuzitambua, kutaja na kueleza alama za
uakifishaji na matumizi yake.· kuakifisha makala mbalimbali.
· Mifano ya alama za · Kiswahili Fasaha,uakifishaji KcM 3, uk. 9-10
· Matumizi ya alama za · Kiswahili Fasaha,uakifishaji MwM 3, uk. 4-5
· Majadiliano · Maumbo ya alama za· Mazoezi uakifishaji
· Maandishimbalimbali
1-2 Kuandika (Utunzi) Insha ya hadithi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza vipengele vya insha ya hadithi.· kueleza namna ya kuandika insha ya
hadithi.· kuandika insha ya hadithi kulingana na
mada iliyotolewa.
· Tajriba· Visa tofauti· Kuandika
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 12
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 6-7
· Vielelezo
HAKIUZWI
JUM
A 3
JUM
A 4
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Kwanza
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
3
4-5
6
1
2-3
Kusikiliza nakuzungumza
Fasihi yetu
Ufahamu
Ufasaha wa lugha
Sarufi
Hali ya kuamrisha
Fasihi simulizi: Vipera vyafasihi simulizi.
Haki za wanyama
Kuandika barua
Nyakati na hali
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kutaja njia mbalimbali za kuamrisha.· kutunga sentensi za kuamrisha.· kubainisha viambishi vya kuamrisha.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana ya fasihi simulizi.· kufafanua umuhimu wake.· kutaja mifano ya vipera tofauti vya
fasihi simulizi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma na kujibu maswali kwa usahihi.· kujadili kwa ufasaha matendo mazuri
na mabaya kwa wanyama.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kufahamu sifa za barua rasmi.· kubainisha mitindo ya barua tofauti.· kueleza sifa za lugha
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kubainisha viambishi vya nyakati na
hali.· kutunga sentensi sahihi akitumia
viambishi tofauti vya nyakati na hali.
· Maigizo· Maelezo· Tajriba· Tofauti kati ya
kuamrisha, kurai nakuhimiza
· Mifano ya maneno nasentensi
· Uchunguzi· Majadiliano· Maswali na majibu· Maelezo· Kunukuu hoja
muhimu· Kazi mradi
· Usomaji· Maswali na majibu· Kujadili· Mifano· Maelezo
· Usomaji wa makalatofauti ya barua
· Maelezo· Kujadili· Maswali na majibu· Kuandika
· Maswali na majibu· Ufaraguzi· Kuandika· Mazoezi· Kunakili
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 13
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 7-9
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 14-15
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 10
· Mikusanyo ya viperatofauti
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 16-18
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 10-11
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 20-21
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 11-12
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 18-20
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 11
· Jedwali la kubainishaviambishi
HAKIUZWI
JUM
A 4
JUM
A 5
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Kwanza
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
4-5
6
1
2
Hadithi fupi
Fasihi teule
Kusikiliza nakuzungumza
Utunzi
Siku ya Mganga
Maudhui katika riwaya
Lugha ya dini
Umbo la barua rasmi
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kujadili dhamira ya mwandishi.· kuchambua maudhui na tamathali za
lugha zilizotumiwa.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana ya riwaya na maudhui.· kufafanua mambo ya kuzingatia katika
kuchambua maudhui.· kueleza hatua katika uchambuzi wa
maudhui.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza sifa za lugha ya kidini.· kutumia sifa hizi katika utekelezaji
maishani mwao.· kubainisha madhumuni na maudhui ya
lugha ya kidini.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kufafanua umbo la barua rasmi.· kutofautisha kati ya barua rasmi na
barua ya kirafiki.· kubuni maudhui ya barua rasmi.· kuandika barua rasmi.
· Kusoma kwa sauti· Majadiliano· Muhtasari wa hadithi· Maswali na majibu
· Kusoma kwa sauti· Majadiliano· Kujadili sifa za
maudhui· Kuandika· Uchunguzi· Tajriba· Uhakiki
· Kusoma· Kuigiza· Maswali na majibu· Kujadili· Mifano
· Maelezo ya baruarasmi
· Mifano· Kufafanua hoja
muhimu kuhusumtindo
· Kuandika barua rasmi
· Mayai Waziri waMaradhi, uk. 20-37
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 22-23
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 12-13
· Makala mafupi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 25
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 14-16
· Makala tofauti· Kanda za kunasia
sauti
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 23-24
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 13-14
· Vielelezo
3-4 Hadithi fupi Pwaguzi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi · Majadilianoaweze: · Kuchambua hoja kuu· kusoma kwa sauti na kimya. za maudhui, lugha na· kueleza visa vya ulaghai. wahusika· kufafanua maudhui na sifa za wahusika. · Uchambuzi
· Maswali na majibu
· Mayai Waziri waMaradhi, uk. 50-56
HAKIUZWI
JUM
A 5
JUM
A 6
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Kwanza
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
5
6
1
2-3
Fasihi yetu
Sarufi
Ufahamu
Fasihi teule
Ulumbi(Hotuba)
Ukanushaji
Matumizi ya simu tambamaabadini
Wahusika katika riwaya
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana na kanuni za ulumbi.· kutaja mifano ya ulumbi.· kueleza umuhimu wa ulumbi.· kueleza baadhi ya walumbi na sifa zao.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kuelewa na kubainisha viambishi vya
kukanusha.· kutofautisha kinyume na kukanusha.· kukanusha sentensi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma ufahamu.· kujibu maswali kwa usahihi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kujadili na kueleza aina za wahusika
katika riwaya.· kufafanua sifa na umuhimu wa
wahusika.
· Uigizaji· Majadiliano· Hotuba· Maswali na majibu· Kazi ya makundi
· Ufafanuzi· Mifano· Tofauti kati
ya kinyume nakukanusha
· Maumbo ya viambishivya kukanusha
· Mazoezi· Kuandika
· Kusoma kifungu· Kujadili msamiati
mpya· Mazungumuzo· Uigizaji· Kazi ya makundi· Maswali na majibu
· Maelezo· Majadiliano· Maswali na majibu· Tajriba· Makundi· Uhakiki
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 25-26
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 16-17
· Fanani· Kanda za video zenye
hotuba za walumbi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 29-33
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 18-20
· Jedwali la maumboya viambishi vyakukanusha
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 26-29
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 17-18
· Mifano· Vinyago· Picha au michoro
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 36-38
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 22
· Vitabu vya ziada· Riwaya teule
HAKIUZWI
JUM
A 6
JUM
A 7
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Kwanza
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
4
5-6
1
2-3
Ufasaha wa lugha
Hadithi fupi
Kusikiliza nakuzungumza
Kuandika
Historia na chimbuko laKiswahili
Tuzo
Hotuba
Utunzi: Insha yamazungumzo
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza historia na chimbuko la
Kiswahili.· kujadili lahaja za
Kiswahili.· kubainisha ukweli kuhusu asili ya
Kiswahili.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma hadithi.· kujadili wahusika, maudhui na lugha
kwa ufasaha.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kubainisha hoja za kuzingatia mtu
anapotoa hotuba.· kueleza hoja muhimu katika hotuba.· kutoa hotuba mbele ya darasa.· kuandika muhtasari wa mambo.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza sifa za insha za mazungumzo.· kufafanua mbinu za utunzi wa insha ya
mazungumzo.· kuandika insha ya mazungumzo.
· Kusoma· Majadiliano· Tajriba· Mifano· Makundi· Ufafanuzi wa asili ya
· Maelezo ya hotuba· Maswali na majibu· Maigizo· Uigizaji wa kutoa
hotuba· Kuandika
· Maelezo· Maigizo· Maswali na majibu· Kuandika· Majadiliano· Makundi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 33-36
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 20-21
· Ramani ya Afrika yaMashariki
· Historia ya Kiswahili(OUP)
· Mayai Waziri waMaradhi, uk. 57-62
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 39-40
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 24-25
· Kanda za sauti· Picha za magazeti· Chati za grafu na pai
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 38
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 22-24
· Wanafunzi
HAKIUZWI
JUM
A 7
JUM
A 8
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Kwanza
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
4 Sarufi Kauli ya vitenzi:kutendesheana,kutendeshewa,kutendesheka
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kubainisha maumbo ya vitenzi katika
kauli tofauti.· kugeuza vitenzi kutoka kauli moja hadi
nyingine.· kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi
katika kauli maalumu.· kueleza maana ya sentensi zenye vitenzi
katika kauli maalumu.
· Maelezo· Mazoezi ya kutunga
sentensi· Mifano· Tajriba
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 43-45
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 28
· Jedwali· Vitu halisi· Mazingira ya shule
5-6 Hadithi fupi Mayai Waziri wa Maradhi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kufafanua dhamira, maudhui na
wahusika.· kuchunguza lugha iliyotumiwa.
· Kusoma· Uchambuzi wa
dhamira, lugha,maudhui na wahusika
· Kujadili· Maswali na majibu
· Mayai Waziri waMaradhi, uk. 63-77
1
2
Kusikiliza nakuzungumza
Fasihi yetu
Hotuba
Mawaidha
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kufafanua mambo ya kuzingatia mtu
atoapo hotuba.· kuandaa muswada wa hotuba.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kutoa maana ya mawaidha.· kueleza sifa, muundo na manufaa ya
mawaidha.· kutoa mawaidha kutegemea hali fulani
maalumu.
· Ufafanuzi kuhusumaana ya hotuba
· Maelezo· Maigizo· Uvumbuzi· Uchunguzi kifani
· Ufaraguzi· Ufafanuzi· Utafiti· Mifano· Uigizaji
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 39-40
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 24-25
· Kanda za sauti
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 40-41
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 25-27
· Mkusanyo wamawaidha
· Mwalikwa au fanani· Vielelezo
JUM
A 8
JUM
A 9
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Kwanza
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
3 Ufahamu Umaskini Afrika Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma taarifa kwa ufasaha.· kujibu maswali kwa usahihi.· kueleza maana ya maneno na misemo.· kuzingatia mafunzo
· Utafiti· Utatuzi wa mambo· Uchunguzi kifani· Maswali na majibu· Usomaji
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 42-43
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 27-28
· Tarakilishi· Ramani· Picha
4-5 Ufasaha wa lugha Muhtasari: Ratiba yamkutano
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza umuhimu wa ratiba.· kubainisha saa za ratiba.· kuandaa ratiba ya mikutano ya hadhara.
· Maagizo · Kiswahili Fasaha,· Tajriba KcM 3, uk. 45-46· Ufafanuzi wa muundo · Kiswahili Fasaha,· Kuandika mfano wa MwM 3, uk. 29
ratiba · Mikusanyo ya ratiba· Vielelezo
6
1
2
Fasihi teule
Utunzi
Kusikiliza nakuzungumza
Muundo na mtindo katikariwaya
Hotuba
Hojaji na kujaza fomu
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kutoa maelezo ya muundo na mtindo
katika sura tofauti za riwaya teule.· kufafanua sura za muundo na mtindo
wa kazi ya riwaya.· kueleza kwa kutumia mifano sura za
muundo na mtindo wa riwaya.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kuandika hotuba kama ipasavyo.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza hojaji na kujaza fomu.· kueleza namna ya kutayarisha na kujaza
hojaji na fomu.· kufafanua madhumuni ya kutumia
hojaji au fomu.
· Uchunguzi· Kusoma· Udadisi· Maelezo ya muundo
na mtindo· Uchambuzi
· Utatuzi wa mambo· Uvumbuzi· Maigizo· Uchunguzi kifani· Kuandika· Maelezo
· Utafiti· Maswali na majibu· Kutayarisha hojaji na
fomu· Kujaza· Maelezo
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 47
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 30-31
· Riwaya teule
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 48
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 31-33
· Kanda za sauti· Vielelezo ubaoni
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 49
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 34-35
· Vielelezo vya hojaji aufomu
JUM
A 9
JUM
A 10
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Kwanza
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
3 Fasihi yetu Malumbano ya utani katika Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzifasihi simulizi aweze:
· kueleza utani na umuhimu wake.· kutoa mifano ya utani.· kueleza mabadiliko katika utanzu wa
utani.
· Maelezo na ufafanuzi · Kiswahili Fasaha,· Uhakiki KcM 3, uk. 50-51· Majadiliano · Kiswahili Fasaha,· Kazi ya vikundi MwM 3, uk. 35-36· Mifano · Wanafunzi wenyewe
· Vielelezo
4
5-6
1
Ufahamu
Sarufi
Ufasaha wa lugha
Ugaidi
Kauli za vitenzi
Uhusiano wa Kiswahili nalugha za Kibantu
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma kwa ufasaha.· kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kugeuza vitenzi katika kauli
zinazoshughulikiwa.· kutunga sentensi sahihi kwa kutumia
kauli ya vitenzi hivyo.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza uhusiano wa Kiswahili na lugha
za Kibantu.· kueleza muundo wa maneno katika
lugha za Kibantu kwa kutumiaKiswahili.
· Tajriba· Masimulizi· Mjadala· Majadiliano· Uchunguzi wa
· Maelezo na ufafanuzi · Kiswahili Fasaha,· Maswali na majibu MwM 3, uk. 55· Majadiliano · Riwaya teule
· Vielelezo
3-4 Utunzi Mahojiano Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza na kufafanua mtindo na
madhumuni ya mahojiano.· kuandika insha ya mahojiano.
· Mahojiano· Mifano· Maigizo· Maswali na majibu
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 78
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 55
· Mikusanyo yamahojiano
5 Kusikiliza nakuzungumza
Maenezi ya Kiswahili kabla Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziya uhuru aweze:
· kueleza sababu za kuenea kwa Kiswahili.· kutetea sababu za kukithamini na
kuhodhi Kiswahili kama lugha ya taifa.· kuyafahamu maeneo ya maenezi.
· Maelezo na ufafanuzi · Kiswahili Fasaha,· Masimulizi KcM 3, uk. 79-81· Majadiliano · Kiswahili Fasaha,· Tajriba MwM 3, uk. 56· Makundi · Ramani ya maeneo ya· Maelezo na ufafanuzi Afrika Mashariki
· Picha na michoro· Historia ya Kiswahili
(OUP)
6 Fasihi yetu Visasili katika fasihisimulizi
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza na kufafanua maana na sifa za
visasili.· kutoa mfano wa kisasili.
· Maelezo ya sifa zavisasili
· Mifano· Masimulizi· Uhakiki· Maswali na majibu
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 81
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 56-58
· Vielelezo· Wanafunzi
HAKIUZWI
JUM
A 2
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Pili
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
1 Ufahamu Urafiki baina ya Binadamuna Mbwa
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma kwa ufasaha.· kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi.· kuhakiki matumizi ya lugha na ujumbe
wa hadithi.
· Kusoma· Uhakiki· Tajriba· Maswali na majibu· Ufafanuzi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 82-84
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 58-60
· Kamusi· Vielelezo· Picha
2-3 Sarufi Vielezi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza dhana ya vielezi.· kutaja na kueleza aina za vielezi.· kutunga sentesi kwa kutumia vielezi
tofauti.
· Maelezo na ufafanuzi · Kiswahili Fasaha,· Maswali na majibu KcM 3, uk. 84-87· Majadiliano · Kiswahili Fasaha,
MwM 3, uk. 60· Picha· Michoro· Vibonzo
4
5
Ufasaha wa lugha
Fasihi teule
Uhusiano wa Kiswahili nalugha za kigeni
Maana na usuli wa hadithifupi
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza uhusiano baina ya Kiswahili na
lugha za kigeni.· kutaja msamiati wa kukopwa.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana ya usuli na hadithi fupi.· kueleza umuhimu wake katika kuhakiki
wa hadithi fupi.· kufafanua usuli wa hadithi katika kitabu
kiteule cha hadithi fupi.
· Maelezo yamwingiliano waKiswahili na lugha zakigeni
· Maswali na majibu· Majadiliano· Makundi· Tajriba
· Mandhari ya shule· Chati· Vitu halisi· Vielelezo
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 100-101
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 67-68
· Mikusanyo yatawasifu
· Vielelezo
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk101-102
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 69
· Kitabu kiteule chahadithi fupi
· Jedwali
HAKIUZWI
JUM
A 4
JUM
A 5
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Pili
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
6
1-2
Utunzi
Kusikiliza nakuzungumza
Insha ya wasifu na tawasifu
Kupasha ujumbe siku hizi
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza muundo na hatua za kuandika
wasifu na tawasifu.· kuandika insha ya tawasifu na wasifu.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma na kukariri shairi.· kujibu maswali kwa usahihi.· kueleza sifa za ujumbe wa rununu
ulioandikwa.
· Majaribio· Uchunguzi· Vikundi· Mifano· Kuandika
· Kukariri· Mjadala· Tajriba· Maelezo· Ufahamu wa
kusikiliza· Maswali na majibu· Usomaji
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 102-104
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 69-70
· Vielelezo
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 105-106
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 70-72
· Simu tamba· Michoro na picha· Shairi kutoka MwM
3-4 Fasihi yetu Miviga katika fasihi simulizi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kufafanua maana na faida ya miviga.· kutoa mifano ya miviga kutoka jamii
· Kanda za sauti· Wanafunzi· Picha za sherehe· Mafanani toka jamii
tofauti
5 Ufahamu Satalaiti Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma taarifa kwa ufasaha.· kujibu maswali kwa usahihi.
· Usomaji· Utafiti· Uvumbuzi· Maelezo na ufafanuzi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 107-109
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 73-74
· Picha· Wavuti· Kamusi
HAKIUZWI
JUM
A 5
JUM
A 6
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Pili
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
6
1
Sarufi
Ufasaha wa lugha
Viwakilishi
Lugha ya kompyuta
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana na matumizi ya
viwakilishi.· kutoa mifano ya baadhi ya viwakilishi
na kuvitumia katika sentensi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza matatizo ya lugha ya kompyuta
na ufumbuzi wake.· kufafanua istilahi za kompyuta.
· Maelezo· Mifano· Tajriba
· Maelezo· Mahojiano· Utafiti· Mifano· Tafsiri
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 109-112
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 74-75
· Jedwali la viwakilishi· Vielelezo
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 112-113
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 75
· Kamusi· Kadi za maneno
2-3 Fasihi teule Maudhui katika hadithi fupi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maudhui ya hadithi fupi.· kufafanua jinsi ya kufichua maudhui ya
hadithi fupi.
· Usomaji· Uvumbuzi· Maswali na majibu· Maelezo· Uhakiki· Uchunguzi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 113
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 75-76
· Kitabu kiteule chahadithi fupi
4
5
Utunzi
Kusikiliza nakuzungumza
Baruapepe
Methali
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kubainisha sura za baruapepe.· kueleza maana ya baruapepe.· kuandika baruapepe.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza umuhimu, maana na matumizi
ya methali.· kupambanua uhusiano kati ya methali
na mazingira zinamotumika.
· Majaribio· Mifano· Utafiti· Maelezo na ufafanuzi· Kuandika
· Maelezo· Ufafanuzi· Utafiti· Uchambuzi· Tajriba
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 114
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 76
· Tarakilishi· Mikusanyo ya
baruapepe
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 115-116
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 77-78
· Kamusi za methali· Vielelezo
HAKIUZWI
JUM
A 6
JUM
A 7
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Pili
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
6
1
2
3-4
5-6
Fasihi yetu
Ufahamu
Sarufi
Ufasaha wa lugha
Fasihi teule
Sifa za methali katika fasihisimulizi
Tapeli hatari
Viwakilishi
Tamathali za semi
Ushairi mapokeo (wa jadi)
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kufafanua na kutathmini lugha ya
methali.· kubainisha muundo wa methali.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma kwa ufasaha.· kueleza ujumbe wa kifungu.· kujibu maswali ya ufahamu kwa
usahihi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kupambanua baadhi ya viwakilishi vya
ngeli na a- unganifu.· kubainisha maumbo ya viwakilishi.· kutunga sentensi sahihi kudhihirisha
matumizi ya viwakilishi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza na kufafanua baadhi ya
tamathali za semi.· kutumia tamathali za semi katika
sentensi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana ya ushairi wa mapokeo
na sifa zake.· kuhakiki mashairi ya arudhi.
· Uchunguzi· Maelezo· Mifano· Tajriba· Ufahamu wa
kusikiliza
· Uvumbuzi· Maelezo na ufafanuzi· Maswali na majibu· Majadiliano· Usomaji
· Maelezo· Uchunguzi· Mifano· Ufafanuzi na
maelezo
· Ufafanuzi· Mifano ya tamathali· Maelezo· Kuchambua
· Mijadala· Mifano· Uhakiki· Maelezo
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 116-118
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 78-80
· Kamusi za methali· Shairi toka MwM· Mandhari tofauti
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 118-120
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 80-81
· Kamusi za methali
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 120-122
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 81-82
· Chati za maumbo yaviwakilishi
· Vielelezo
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 122-124
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 82-83
· Picha, mashairi,hadithi au riwayazilizo na tamathali
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 124-125
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 83-85
· Vielelezo· Magazeti
JUM
A 8
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Pili
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
1
2
3
4
Utunzi
Kusikiliza nakuzunguma
Fasihi yetu
Ufahamu
Insha ya methali
Misemo
Ushairi: Nyimbo
Situmiki kinafiki
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kufafanua methali.· kuandika insha inayothibitisha ukweli
na matumizi ya methali.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana ya misemo na nahau
mbalimbali.· kutoa mifano na kuitumia misemo na
nahau katika sentensi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana, sifa na aina za nyimbo.· kupambanua miundo tofauti ya nyimbo
na umuhimu wake.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma na kariri kwa ufasaha.· kuhifadhi kiini cha habari katika shairi.· kujibu maswali ya shairi kwa usahihi.
· Ufafanuzi· Masimulizi· Mifano· Kuandika
· Utafiti· Mifano· Maelezo· Mashindano
· Utazamaji· Mahojiano· Maelezo· Mifano· Uimbaji· Ufahamu wa
kusikiliza· Imla
· Kuigiza· Kusoma na kukariri· Tajriba· Uchunguzi· Maswali na majibu
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 126
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 85
· Vielelezo· Michoro· Kamusi· Mikusanyo ya methali
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 127-128
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 86-87
· Jedwali· Mikusanyo ya misemo
na nahau· Michoro ya
kubainisha dhanambalimbali
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 128-130
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 87-89
· Kanda za muziki· Malenga mwalikwa· Zana za muziki
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 130-132
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 89-90
· Kanda za sauti· Picha magazetini· Ramani ya Afrika
Mashariki
HAKIUZWI
JUM
A 8
JUM
A 9
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Pili
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
5-6
1
2
3-4
Fasihi teule
Sarufi
Ufasaha wa lugha
Fasihi teule
Riwaya teule
Upatanisho wa kisarufikatika umoja na wingi
Mlinganisho wa mashairiya arudhi na mashairi huru
Ushairi wa jadi
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma na kutathmini kazi ya fasihi.· kueleza sifa na tabia za wahusika.· kujadili maudhui na matumizi ya lugha
katika riwaya teule.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kubainisha nyanja mbalimbali za umoja
na wingi.· kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi
wingi na kinyume chake.· kutunga sentensi katika umoja na wingi
akizingatia upatanisho wa kisarufi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kuonyesha kufanana kwa mashairi ya
mapokeo na huru.· kupambanua tofauti zilizomo.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kufafanua dhana ya ushairi wa jadi
kimuundo, lugha na wahusika, n.k.
· Usomaji· Uhakiki· Majadiliano· Uchambuzi wa
maudhui, lugha nawahusika
· Uchunguzi· Mifano· Ufafanuzi na maelezo· Maswali na majibu
· Utatuzi wa mambo· Uchunguzi kifani· Kuigiza· Maswali na majibu
· Maelezo· Maigizo· Ufafanuzi· Uchunguzi· Ugunduzi· Maswali na majibu
· Wanafunzi wenyewe· Kitabu kiteule chenye
riwaya
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 132-133
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 90-93
· Jedwali la viambishivya ngeli
· Kadi za maneno
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 134-135
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 93-95
· Mkusanyo wamashairi
· Michoro ya vina namizani
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 135-137
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 95-96
· Kanda za sauti· Chati za vina na
mizani· Vielelezo vya
mashairi
HAKIUZWI
JUM
A 9
JUM
A 10
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Pili
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
5
6
1
Utunzi
Hadithi fupi
Kusikiliza nakuzungumza
Shairi la arudhi
Hadithi teule
Mjadala
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kufafanua hatua za utunzi wa mashairi.· kutunga shairi la arudhi au huru kama
njia ya kisanii.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma na kutathmini kazi ya fasihi,
kimuundo na lugha.· kuchambua maudhui na wahusika
katika hadithi hiyo.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kuzua hoja na kuzitetea.· kuziwasilisha katika mjadala kwa
ufasaha.
· Majaribio· Utatuzi wa mambo· Tajriba· Utafiti· Kuandika
· Usomaji· Majadiliano· Uchambuzi
· Mjadala· Utendaji· Ufafanuzi· Tajriba
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 137-138
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 96-97
· Kamusi tofauti· Makala tofauti
· Kitabu cha hadithifupi kilichoteuliwa
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 139
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 97-98
· Kanda za sauti· Makala tofauti· Wanafunzi
2-3 Fasihi yetu Maghani katika fasihisimulizi
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza na kufafanua aina tofauti za
4 Ufahamu Sakata za ufisadi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma taarifa kwa ufasaha.· kueleza chanzo na madhara ya ufisadi.· kujibu maswali kwa usahihi.
· Usomaji· Ufafanuzi na maelezo· Tajriba· Makundi· Mjadala
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 141-144
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 101-103
· Makala ya magazetini· Fanani· Wanafunzi
HAKIUZWI
JUM
A 10
JUM
A 11
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Pili
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
5-6
1
Sarufi
Ufasaha wa lugha
Upatanisho wa kisarufikatika umoja na wingi
Muhtasari
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kubainisha nyanja mbalimbali za umoja
na wingi.· kutunga na kugeuza sentensi katika hali
moja hadi nyingine.· kubainisha viambishi visisitizi na vya
vivumishi vya pekee.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza mambo muhimu ya kuzingatia
katika muhtasari.· kuandika muhtasari wa kifungu teule.
· Maswali na majibu· Kazi mradi· Uchunguzi· Kuandika· Kufupisha
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 144-148
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 103
· Majedwali ya ngeli naviambishi
· Wanafunzi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 148-149
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 103-105
· Vielelezo· Wanafunzi
2
3
Fasihi teule
Utunzi
Mashairi huru
Mjadala
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana ya shairi huru.· kufafanua na kuhakiki mashairi huru.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza muundo wa insha ya mjadala.· kufafanua sifa na kuandika insha ya
mjadala kwa usahihi.· kujadii hoja ya kuwaadhibu mafisadi
kwa ufasaha.
· Maelezo na ufafanuzi · Kiswahili Fasaha,· Maswali na majibu. KcM 3, uk. 149-150· Makundi · Kiswahili Fasaha,· Uchambuzi MwM 3, uk. 105-107· Kukariri · Vielelezo vya
mashairi huru· Kanda za sauti
· Maelezo na ufafanuzi · Kiswahili Fasaha,· Mjadala KcM 3, uk. 150· Utafiti na uchunguzi · Kiswahili Fasaha,· Maswali na majibu MwM 3, uk. 107-108· Tajriba · Vielelezo vya insha za
mjadala· Mikusanyo ya maoni
ya watu· Jedwali la hoja
HAKIUZWI
JUM
A 11
JUM
A 12
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Pili
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
4-5
6
1
2
Kusikiliza nakuzungumza
Fasihi yetu
Ufahamu
Sarufi
Afisa mtawala na raia
Ngomezi katika fasihisimulizi
Historia ya katiba
Upatanisho wa kisarufi
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza sababu za migogoro baina ya
watu na wanyama mwitu.· kupendekeza suluhisho.· kueleza maana ya maneno.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana na kuainisha ngomezi.· kufafanua matumizi na manufaa ya
ngomezi.· kukusanya mifano ya ngomezi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma taarifa kwa ufasaha.· kusoma taarifa kwa kuzingatia kanuni
za usomaji bora.· kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kufafanua dhana ya upatanisho wa
kisarufi akizingatia ‘amba’ rejeshi, ‘o’rejeshi na ‘a’ unganifu.
· kutunga sentesi sahihi akidhihirishaupatanisho wa kisarufi.
· Utatuzi wa mambo· Tajriba· Uchunguzi· Kusoma· Maswali na majibu
· Maigizo· Maelezo na· ufafanuzi· Utafiti· Mahojiano· Ukusanyaji na
uhifadhi
· Usomaji· Maswali na majibu· Majadiliano· Utafiti· Maelezo· Tajriba
· Maelezo· Tajriba· Mifano· Maswali na majibu
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 151-153
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 108-109
· Picha· Vibonzo· Makala ya magazeti
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 153-154
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 110
· Kanda za sauti· Zana halisi· Mkusanyo wa
ngomezi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 154-156
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 110-111
· Mikusanyomagazetini
· Katiba (kielelezo)· Fanani· Machapisho na
miswada
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 156-157
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 112-114
· Vielelezo· Chati za maumbo ya
viambishi· Majedwali
HAKIUZWI
JUM
A 12
JUM
A 13
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Pili
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
3
4
5-6
Ufasaha wa lugha
Fasihi teule
Utunzi
Mtihani na kusahihisha
Magazeti
Usuli wa tamthilia
Tahariri
Mazoezi na marudio yastadi zote
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kutoa mifano ya aina za magazeti na
sifa zake.· kupambanua muundo na lugha ya
gazeti.· kuandika makala ya kuchapishwa.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana, hatua na mbinu za
kuchambua usuli wa tamthilia.· kufafanua usuli wa tamthilia teule
kulingana na masharti mbalimbali.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana na sifa za tahariri.· kufuata hatua za kuandika tahariri ya
gazeti.· kuandika tahariri.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kupitia yote waliyojifunza.· kubuni na kujieleza.· kusahihisha makosa waliyoyafanya.
· Maelezo na ufafanuzi· Uchunguzi kifani· Mifano· Utafiti· Maswali na majibu
· Uchunguzi· Maigizo· Michezo· Tajriba· Maelezo na ufafanuzi
· Maana ma maelezo· Utafiti wa mambo· Uchunguzi· Dayolojia· Kuandika
· Tajriba ya wanafunzi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk158-159
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 115-116
· Michoro· Picha· Tarasha· Magazeti tofauti
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 159-160
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 116-117
· Maleba· Video· Kanda za sauti· Tamthlia teule
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 160
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 117-118
· Machapisho· Tarasha· Vielelezo
· Karatasi za mitihani· Kalamu
JUM
A 1
, KidatoSHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Maazimio ya Kazi: Muhula wa Tatu
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
1 Kusikiliza nakuzungumza
Misimu na lakabu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana ya misimu na lakabu.· kujadili umuhimu wao.· kutoa mifano ya misimu na lakabu.
· Maelezo na ufafanuzi · Kiswahili Fasaha,· Maswali na majibu KcM 3, uk. 161-162· Tajriba · Kiswahili Fasaha,· Ufahamu wa MwM 3, uk. 119-120
kusikiliza · Vielelezo· Wanafunzi· Kadi za maneno
2
3
4-5
Fasihi yetu
Ufahamu
Sarufi
Lugha ya nathari naufupisho katika ushairi
Kujali wenye ukimwi
Aina za virai
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana ya ufupisho na lugha ya
nathari katika shairi.· kuandika shairi katika lugha ya nathari.· kufafanua umuhimu wa lugha ya
ufupisho katika shairi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma taarifa kwa ufasaha.· kujadili yaliyomo.· kueleza maana ya istilahi ngeni na
msamiati.· kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza virai.· kutaja na kueleza aina za virai.· kubainisha virai mbalimbali katika
sentensi.
· Maelezo na ufafanuzi· Majadiliano· Maswali na majibu· Mifano· Makundi· Uhakiki· Tajriba
· Tajriba ya wanafunzi· Mazungumzo· Mjadala· Maelezo· Maswali na majibu· Usomaji
· Maelezo· Ufafanuzi· Maswali na majibu· Makundi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 162-163
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 120-121
· Vielelezo· Sauti ya Dhiki (OUP)· Kanda za sauti· Wanafunzi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 163-165
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 121-122
· Picha au michoro· Waalikwa· Kanda za video· Magazeti
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 166-167
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 123
· Vielelezo vya virai· Wanafunzi
HAKIUZWI
JUM
A 1
JUM
A 2
SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA MAONI
Kiswahili, Kidato cha 3Maazimio ya Kazi
Muhula wa Tatu
KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO KUFUNDISHIANYENZO ZA
6
1-2
3-4
5-6
Utunzi
Ufasaha wa lugha
Fasihi teule
Hadithi fupi
Insha ya maelezo
Muhtasari: Usanifishaji walugha ya Kiswahili
Maudhui katika tamthilia
Wahusika katika hadithifupi
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza mambo ya kuzingatiwa wakati
wa kuandika insha ya maelezo.· kuandika insha ya maelezo kwa usahihi.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana ya usanifishaji.· kufafanua sababu za kusanifisha lugha.· kujadili udhaifu katika usanifishaji wa
Kiswahili.· kufupisha makala kama alivyoagizwa.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maudhui na dhamira katika
tamthilia.· kueleza namna ya kuhakiki maudhui.· kufafanua mambo muhimu ya
kuzingatia katika uchambuzi wamaudhui.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kusoma na kuchambua hadithi teule
kama alivyoagizwa.· kueleza wahusika wanavyojipambanua
katika hadithi fupi.
· Maelezo· Maigizo· Tajriba· Maswali na majibu· Kuandika
· Maelezo· Ufafanuzi· Maswali na majibu· Makundi· Kufupisha· Utafiti
· Ziara· Masimulizi· Utafiti· Maelezo· Ufaraguzi· Ufahamu wa
kusikiliza
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 188-189
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 137-138
· Vielelezo
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 189-190
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 138
· Kitabu kiteule chatamthilia
· Vielelezo
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 190
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 138-139
· Vielelezo
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 191
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 139-142
· Picha michoro· Maleba· Mandhari halisi· Kamusi
4-5 Fasihi yetu Aina za maigizo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza maana ya maigizo na sifa zake.· kubainisha sura za sanaa za maonyesho
6 Ufahamu Haki za binadamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi · Kusoma kwa sauti auaweze: kimya· kusoma na kujibu maswali kwa usahihi. · Kukariri· kueleza ujumbe wa shairi. · Maswali na majibu
· Maelezo· Makundi
· Kiswahili Fasaha,KcM 3, uk. 194-195
· Kiswahili Fasaha,MwM 3, uk. 142-143
· Vibonzo· Magazeti· Kadi za maneno
1
2
3
4-5
Sarufi
Ufasaha wa lugha
Fasihi teule
Utunzi
Uchanganuzi wa sentensikwa njia ya mishale
Muhtasari –Haki za watoto
Matumizi ya lugha katikatamthilia
Mchezo wa kuigiza
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kuchanganua sentensi kwa njia ya
mishale au mistari.· kueleza muundo wa kikundi nomino
(KN) na kikundi tenzi (KT).
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kudondoa hoja muhimu.· kuandika muhtasari wa kifungu.· kubainisha haki za watoto.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kueleza sifa za lugha katika tamthilia.· kutoa mifano ya aina mbalimbali za
matumizi ya lugha katika tamthilia.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunziaweze:· kupambanua aina ya michezo ya
kuigiza.· kuandika mchezo wa kuigiza kwa
usahihi kama njia ya kisanii.
· Maelezo na ufafanuzi· Mifano· Mazoezi
· Utatuzi wa mambo· Masimulizi· Maelezo na ufafanuzi· Makundi