BULLETIN ambapo mkoa wa Kagera umeweza kuleta Skau wapatao 186 na mkoa wa Kilimanjaro 125 hii ni kwa mujibu wa Kamishna wa Skau wa Mkoa huo. Akielezea sababu zilizopelekea wao kuweza kuleta Skau wengi zaidi Padri Prochesus Mtungi ambaye pia ni Kamishna wa Skau mkoa wa Kagera alisema kuwa na ushirikiano mzuri na umoja walionao ka ya viongozi wa Skau wa Skau mkoani Kagera kwa usimamizi mzuri wa watoto na vijana mashuleni. Hongera Mama Afrika kaka kum- bukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako. Rashidi (kushoto) na Helena (kulia) (kibaha- Pwani) wakiwa Skau Pr- Lab studio kwa mahojiano. Picha na: Sassi Salim na Fransco Nyoni Je… Wajua siri ya Skauti Kutoka Mbeya na Pikipiki hadi Dodoma..?
2
Embed
ULLETIN - scout.org Special... · ULLETIN ambapo mkoa wa Kagera umeweza kuleta Skauti wapatao 186 na mkoa wa Kilimanjaro 125 hii ni kwa mujibu wa Kamishna wa Skauti wa Mkoa huo.
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
BULLETIN
ambapo mkoa wa Kagera umeweza kuleta Skauti wapatao 186 na mkoa wa
Kilimanjaro 125 hii ni kwa mujibu wa Kamishna wa Skauti wa Mkoa huo.
Akielezea sababu zilizopelekea wao kuweza kuleta Skauti wengi zaidi Padri
Prochesus Mtungi ambaye pia ni Kamishna wa Skauti mkoa wa Kagera
alisema kuwa na ushirikiano mzuri na umoja walionao kati ya viongozi wa
Skauti wa Skauti mkoani Kagera kwa usimamizi mzuri wa watoto na vijana