“Shukurani kwa AgriProFocus Tanzania, kupitia ushiriki wa EAFF
kwenye Tukio la Kikanda la Sector ya mbogamboga, tume-pata taarifa
za mawasiliano na kuanzisha ushirikiano na wadau mbalimbali ambao
utatusaidia kupanua shughuli zetu za
sasa.”Elia Timotheo,
Mkurugenzi Mtendaji, East Africa Fruits Farms Co.Ltd
Kufanya Kilimo Biashara kwa maendeleo
Mawasiliano: Katarina
[email protected]+255 222 600 340
TANZANIA
Mtandao wa AgriProFocus
AgriProFocus ni mtando wa kimataifa unajumuis-ha wadau
mbalimbali kwenye sekta ya kilimo; wa-kulima, taasisi binafsi,
taasisi za kilimo na taasis za umma. Kwa kuwaleta wadau hawa
pamoja, mchango wao kwenye kilimo huongezeka. Huu ni mtandao wa
kila mjasiriamali mbunifu kwenye mnyororo wa dhamani wa kilimo
uliopo kwenye nchi 13 Afrika na Kusini Mashariki mwa Asia
iki-unganisha wataalmu 22,000 wa kilimo biashara. AgriProFocus
hufanya Kilimo Biashara kuchangia maendeleo.
Mkulima Mjasiriamali
Wadau wa mtandao wa AgriProFocus hushirikia-na kuboresha nafasi
ya mkulima na wajasiriamali wengine kwenye mnyororo wa dhamani wa
kili-mo. Wajasiriamali hawa,wadogo na wa kati, wana mtazamo wa
biashara, wanashauku ya kujifunza, ubunifu na kukuwa. Wajasiriamali
ambao kwa pa-moja wanaweza kufanya mabadiliko kuhakikisha
upatikanaji endelevu wa chakula na usalama wa lishe kwenye ngazi ya
kitaifa, kikanda na kimataifa.
Kilimo Nchini Tanzania
Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa sana kwenye kilimo kwenye
nchi za Mashariki na Ku-sini mwa Afrika. Sekta ya mifungo na kilimo
cha mboga mboga zinakuwa kwa kasi kwasababu ya uhitaji wa protini
na maisha bora. Serikali ya Tan-zania inasaidia mabadiliko ya
Kilimo kwa kuwekeza kwenye Kongani ya Kusini ya Kilimo.
AgriProFocus Tanzania inaona fursa za kuchangia maendeleo haya
kwa kulenga maeneo ya mitaji kwa ajili ya kilimo, masuala ya jinsia
na vijana kwenye kilimo.
Kwanini Ujiunge na AgriProFocus?
Jumika na kutana na watalamu zaidi ya 22,000 kwenye jukwaa letu
la intaneti upate kubadilisha uzoefu na utaalamu.
Tambulisha kampuni au taasisi yako kwenye juk-waa la intaneti la
AgriProFocus upate kutangaza bidhaa na huduma mlizonazo
Juinge na jumuia za kujifunza kutatua changamoto mbalimbali,
kubadilishana mawazo na kuvumbua mbinu mpya kwa pamoja.
Hudhuria matukio yetu upate kuanzisha mahusi-ano mapya ya
kibiashara na kuweza kufanya bias-hara na wajasiriamali
mbalimbali.
Pata habari mpya kuhusu maendeleo ya kilimo bi-ashara, zabuni na
fursa za kuandika michanganuo ya biashara na kujiunga kuhudhuria
matukio mba-limbali.
Pata msaada kutoka kwa timu yetu ya uratibu in-ayojitegemea.
Pata fursa ya kuiunganisha biashara yako na zin-gine kitaifa,
kikanda na kimataifa.
Badilisha mjadala wa kilimo biashara na uboreshe ujasiriamali
wako.
AgriProFocus TanzaniaPlot 1124, Chole Road
Msasani PeninsularP.O.Box 3941, Dar es Salaam, Tanzania
www.agriprofocus.com/tanzania
KUUNGANISHA
Upatikanaji wa rasi-liamali, mawasiliano,
taaluma na zana
MAFUNZO/ KUJIFUNZA
Kuchunguza, kuunda na kuimarisha fursa za kushirikiana na ha-tua
za pamoja. Kuba-dilishana maarifa na
utaalamu
UONGOZI
Kwa pamoja, badili sura ya mjadala wa upatikanaji endelevu wa
chakula na uha-kika wa lishe katika ngazi zote na upate kutambuliwa
na kua-
miniwa na wadau
UNPhoto - Evan Schneider
Cha kutarajia Mwaka 2017
MifugoAgriProFocus Tanzania ikishirikiana na PUM na mashirika ya
ndani, miaka ya nyuma waliaandaa mafunzo ya ufugaji wa kuku(3) na
ufugaji wa ng’ombe wa maziwa (8). Mbali na kutoa mafunzo kwa
washiriki, tuliwatambua wadau na kutambua mapungufu na mabadiliko
ya sekta hii.Tungependa kuendelea na mafunzo haya na kuanzisha
mtandao wa watalaam wa mifugo kwenye juk-waa la intaneti. Mtandao
huu utatoa taarifa muhimu na midahalo mbalim-bali. Tutaanzisha
sehemu ya ‘udhubu-tu na kushirikisha’ itakayoabatana na mashindano
kupitia video. Kwa kupitia mchakato huu tutatambua wanama-badiliko
kwenye sekta ya ufugaji.
Ujumuishaji wa Jinsia kwenye KilimoMara nyingi wanawake hutengwa
kwenye kupata huduma mbalimbali kwa ajili ya shughuli zao za kilimo
bias-hara.Kuboresha hii, AgriProFocs Tanzania itatoa kipaumbele
kwenye shughu-li za kujumuisha jinsia zote kwenye mnyororo wa
dhamani wa kilimo. Tutatoa mafunzo ya kujumuisha jin-sia kwenye
minyororo ya dhamani ya kilimo . Tunatazamia kujenga mtan-dao
utakaowezesha wadau(mashirika na kampuni) kujifunza mbinu bora, na
nyenzo mbalimbali za kubuni na kute-keleza hatua madhubuti za
kushirikisha jinsia kwenye kilimo.
Upatikanaji wa mitaji ya Ki-limoAgriProFocus Tanzania itajikita
kwenye kuimarisha uelewa wa masuala ya fed-ha kwa wakulima kwa
ajili ya kuwezes-ha mipango mizuri ya biashara. Aidha, kutakuwa na
mfululizo wa vikao kuhusu mbinu za kukabili mabadiliko ya hali ya
hewa, usalama wa lishe na ushirikish-waji wa wadau kwenye biashara.
Wa-namabadiliko wataeleza mbinu zao kwa kila mada hizi na
kuhamasisha ubunifu kwa wengine. Tunatazamia kubadilisha mtazamo wa
watunga sera na waamuzi kwenye masuala ya upatikanaji wa mi-taji
ili kuleta mabadiliko kwenye sekta hii. Nafunzo ya fedha na mitaji
pamoja na nikutano ya biashara zitakuwa shug-huli kuu.
Mipango ya mtandao wa AgriProFocus Tanzania
Mtandano wa AgriProFocus Tanzania una zaidi ya watalaam 1500 na
makampuni 300 kwenye jukwaa let la intaneti. Urati-bu wa mtandao
sasa unamakazi mapya Dar es Salaam kwenye ofisi za SNV baada ya
miaka minne Arusha. Timu ya uratibu inaobgozwa ba Kamati ya
ushauri. Lengo la mtandao ni kuun-ganisha wadau, kuwezesha majukwaa
ya kujifunza na kujadi-li mambo mbalimbali. Mwaka 2017,
AgriProFocus Tanzania inaona fursa za shughuli kuunganisha,
kujifunza na anzisha uongozi kwenye mifugo( ng’ombe wa maziwa na
ufugaji wa kuku), Uwezeshaji wa jinsia na vijana, masuala ya kilimo
fedha na kilimo cha mbogamboga.Aidha, mtando wa AgriProFocus
Tanzania una mpango wa kuandaa mikutano mbalimbali kujadili mada
za; uchumi una-otegemea matumizi ya malidhafi, kilimo
kinachozingatia ma-badiliko ya tabia nchi na ujumuishaji wa wadau
mbalimbali kwenye biashara. Mikutano hii italenga kuwatambua wana
mabadiliko kwenye kilimo. Uratibu wa mtandao utahusika kutambua na
kutangaza kazi za wana mabadiliko ili kuleta cha-chu kwenye
jamii.
Shughuli za Kanda na Kimataifa
AgriProFocus Tanzania ni sehemu ya mtandao wa kimataifa wa
AgriProFocus ambapo tunashirikiana na kubadilshana uzoefu na
taalumu na nchi za jirani na pia Uholanzi. Kipaombele chetu Mwaka
2017 kwenye ushiriki wa kikanda ni masuala ya mafun-zo ya mifugo,
ushirikishwaji wa jinsia na vijana kwenye kilimo biashara.
AgriProFocus inatazamia kujenga mtandao wa wadau kwenye sekta ya
mbogamboga nchini Tanzania na kuandaa fu-rsa za mafunzo kwa
kushirikiana na wadau kutoka mitandao ya Kenya na Uganda. Hii
itawezesha kuandaa kongamano la sekta ya mbogamboga kwenye kwa
ajili ya kuimarisha sekta hii kuchangia maendeleo.
Lengo la AgriProFocus Tanzania
Mbali na mipango mitatu(hapo chini), AgriProFocus Tanzania
kushirikiana na SNV na Agriterra watatekeleza mpango wa vija-na kwa
kushirikisha vijana wana mabadiliko na kuwaunganisha na fursa za
biashara. Sekta ya mbogamboga ni mada inayoleng-wa. Lengo ni
kuimarisha huduma za wadau na kutoa msaada kwa wakulima
wajasiriamali.
@ www.facebook.com/apftanzania www.agriprofocus.com/tanzania
@APF_Tanzania [email protected]
TANZANIA
UNPhoto - Evan Schneider