(Baba Mpendwa, kama ni upendo na nia yako kwa mwanzilishi wetu wa chama cha Maristi, Jean-Claude Colin, atunukiwe heshima ya utakatifu kwa utukufu wa jina lako, tafadhali tuonyeshe yale mazuri ambayo anayapata katika upeo wa macho yako, kwa kutupatia Baraka zote tuziombazo sasa kupitia kwake: (Taja ombi) -Tunaomba kupitia kwa Bwana Yesu Kristo, Amen Malkia wa kundi la Maria, tuombee. -Kama utapokea Baraka zozote kutokana na maombi ya utukufu wa Baba Colin, tafadhali tujulishe: R P Carlo-Maria Schianchi SM, Postulator, Padri Maristi Via Alessandro Poerio 63, 00152 Rome, Italy Email: [email protected]-Imethibitishwa na Kanisa. (Baba Mpendwa, kama ni upendo na nia yako kwa mwanzilishi wetu wa chama cha Maristi, Jean-Claude Colin, atunukiwe heshima ya utakatifu kwa utukufu wa jina lako, tafadhali tuonyeshe yale mazuri ambayo anayapata katika upeo wa macho yako, kwa kutupatia Baraka zote tuziombazo sasa kupitia kwake: (Taja ombi) -Tunaomba kupitia kwa Bwana Yesu Kristo, Amen Malkia wa kundi la Maria, tuombee. -Kama utapokea Baraka zozote kutokana na maombi ya utukufu wa Baba Colin, tafadhali tujulishe: R P Carlo-Maria Schianchi SM, Postulator, Padri Maristi Via Alessandro Poerio 63, 00152 Rome, Italy Email: [email protected]-Imethibitishwa na Kanisa. Swahili Swahili
2
Embed
(Taja ombi) -Tunaomba kupitia kwa Bwana Yesu Kristo, Amen · 2019. 5. 29. · Agosti na mwaka 1790, kipindi cha mauaji ya kutisha ya mapinduzi ya ufaransa. -Nia na dhamira yake ya
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
(Baba Mpendwa, kama ni upendo na nia yako kwa
mwanzilishi wetu wa chama cha Maristi, Jean-Claude Colin, atunukiwe heshima ya utakatifu kwa utukufu
wa jina lako, tafadhali tuonyeshe yale mazuri ambayo anayapata katika upeo wa macho yako, kwa kutupatia
Baraka zote tuziombazo sasa kupitia kwake: (Taja ombi)
-Tunaomba kupitia kwa Bwana Yesu Kristo, Amen Malkia wa kundi la Maria, tuombee.
-Kama utapokea Baraka zozote kutokana na maombi
ya utukufu wa Baba Colin, tafadhali tujulishe:
R P Carlo-Maria Schianchi SM, Postulator, Padri Maristi
-Jean-Claude Colin alizaliwa karibu na kitongoji cha Mtakatifu Bonnet Troncy, tarahe 7, mwezi wa Agosti na mwaka 1790, kipindi cha mauaji ya
kutisha ya mapinduzi ya ufaransa.
-Nia na dhamira yake ya kuwa kuhani, kati ya watu walioonewa na kuangamizwa, wa dhehebu la
katoliki nchini ufaransa ilitimia mnamo tarehe 22, Julai 1816 katika mji wa Lyons.
-Siku chache zilizofuata, alikuwa mni mmoja kati ya watu 12(kumi na mbili) walioahidi kuanzisha familia ya kidini, ikibeba jina la Maristi, na kuwa na matawi
ya Madada, kaka na makuhani.
-Kuhani huyo kijana, ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa baraza la Maaskofu wa Maristi, na alifanya kazi
kwa nguvu na bidii sana katika kuendeleza mabaraza na familia ya Maristi.
-Mnamo mwaka 1836, tawi la makuhani lilikubali-wa rasmi na Holy see ambapo Baba Colin alikubali kupeleka watumishi “popote hapa duniani” ikibidi hata pembezoni mwa kusini magharibi ya bahari
ya Pacifiki.
-Akiwa kama Baba wa dhehebu la watumishi linalokuwa na kupanuka kwa kasi, Baba Colin
alitokea kupendwa na kuheshimiwa kama mwan-zilishi na kiongozi rasmi wa Baraza la Maristi, aki-wa kama kiongozi wa kundi dogo la Maria, sam-
bamba na kuongezeka kwa idadi ya viongozi wakuu wa kanisa, matawi ya madhehebu, pamoja
na kasi ya utumishi wa kanisa kwa ujumla.
-Katika miaka ya mwisho ya maisha yake, baba mtakatifu Jean-Claude Colin alitumia muda
mwingi kurekebisha katiba na sharia za uaskofu za Maristi, kabla hajafariki mnamo tarehe 15, No-
vemba 1875, katika mji wa La Neyliere.