Somo la uchumi ni sayansi ya kijamii ambalo hutafiti uzalishaji, usambazaji, na matumizi ya bidhaa na huduma. Nenouchumi linatokana na neno la Kigiriki cha Kale oikonomia [3] (oikonomia "usimamizi wa kaya, utawala") kutoka [5] oikos"nyumba") + [7] (nomos , "desturi" au "Sheria"), kwa hivyo "sheria za nyumba (kaya)". [1] Aina za masomo ya kiuchumi ya kisasa zilizotokana na somo pana la uchumi wa kisiasa katika miaka ya mwisho ya karne ya 19, kutokana na matamanio ya kuchukua mwelekeo jarabati unaofaa zaidi sayansi za kiasilia. [2] Ufafanuzi unaojumuisha mengi ya masomo ya kiuchumi ya kisasa ni ule wa Lionel Robbins katika insha yake: “sayansi inayotafiti tabia ya binadamu kama uhusiano baina ya hatima na njia haba ambazo zina matumizi badala." [3] Uhaba unamaanisha kuwa rasilimali zinazopatikana hazitoshi kutosheleza matamanio na mahitaji yote. Ikiwa hakuna uhaba na kuna matumizi badala ya rasilimali zinazopatikana, basi hakuna shida ya kiuchumi. Hivyo somo lililofafanuliwa linahusu utafiti wa chaguzi kama vile zinavyobadilishwa na vishawishi na rasilimali. Somo la kiuchumi linalenga kufafanua vile chumi hufanya kazi na vile viungo vya kiuchumi hufanya kazi pamoja. Uchambuzi wa kiuchumi huhusisha sehemu zote za jamii, katika biashara, fedha na serikali, na hata katika uhalifu, [4] elimu, [5] familia, afya,sheria, siasa, dini, [6] taasisi za kijamii, vita, [7] na sayansi. [8] Hoja inayoendelea kukua ya somo la kiuchumi katika sayansi ya kijamii imeelezwa kuwa ubeberu wa kiuchumi. [9] [10] Tofauti za kawaida huelezwa baina ya jinsi mbalimbali za somo la kiuchumi: baina ya uchumi chanya (kueleza “kile kilichoko”) na uchumi unaozidi kuongezeka (kueleza “kile linachostahili kuwa”) au baina ya uchumi nadharia na uchumi wa utenzi au baina ya uchumi uliotanda (ulio “halisi” unaojihusisha na “wiano wa fikira-ubinafsi-msawazo”) na uchumi usio wa kiasilia (“badilishi” zaidi unaoshughulika na “wiano wa taasisi- historia-muundo wa kijamii" [11] ). Hata hivyo tofauti ya kimsingi ya kiada baina ya “uchumi wa kiwango cha chini” (microeconomics), ambao unaotafiti tabia ya kiuchumi ya viungo (pamoja na watu binafsi na makampuni) na “uchumi wa kiwango cha juu” (macroeconomics), ambao hushughulikia maswala ya ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, sera ya fedha na hazina kwa uchumi wote.
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Somo la uchumi ni sayansi ya kijamii ambalo hutafiti uzalishaji, usambazaji, na matumizi ya bidhaa
na huduma. Nenouchumi linatokana na neno la Kigiriki cha Kale oikonomia [3]
(oikonomia "usimamizi wa kaya, utawala") kutoka [5] oikos"nyumba") + [7] (nomos , "desturi" au
"Sheria"), kwa hivyo "sheria za nyumba (kaya)".[1] Aina za masomo ya kiuchumi ya kisasa
zilizotokana na somo pana la uchumi wa kisiasa katika miaka ya mwisho ya karne ya 19, kutokana
na matamanio ya kuchukua mwelekeo jarabati unaofaa zaidi sayansi za kiasilia.[2]
Ufafanuzi unaojumuisha mengi ya masomo ya kiuchumi ya kisasa ni ule wa Lionel Robbins katika
insha yake: “sayansi inayotafiti tabia ya binadamu kama uhusiano baina ya hatima na njia haba
ambazo zina matumizi badala."[3] Uhaba unamaanisha kuwa rasilimali zinazopatikana hazitoshi
kutosheleza matamanio na mahitaji yote. Ikiwa hakuna uhaba na kuna matumizi badala ya rasilimali
zinazopatikana, basi hakuna shida ya kiuchumi. Hivyo somo lililofafanuliwa linahusu utafiti wa
chaguzi kama vile zinavyobadilishwa na vishawishi na rasilimali.
Somo la kiuchumi linalenga kufafanua vile chumi hufanya kazi na vile viungo vya kiuchumi hufanya
kazi pamoja. Uchambuzi wa kiuchumi huhusisha sehemu zote za jamii, katika biashara, fedha na
serikali, na hata katika uhalifu,[4] elimu,[5]familia, afya,sheria, siasa, dini,[6] taasisi za kijamii, vita,[7] na sayansi.[8] Hoja inayoendelea kukua ya somo la kiuchumi katika sayansi ya kijamii imeelezwa
kuwa ubeberu wa kiuchumi.[9][10]
Tofauti za kawaida huelezwa baina ya jinsi mbalimbali za somo la kiuchumi: baina ya uchumi
Licha ya hayo, utafiti wa karibuni unaonyesha kuwa mwanachuo-mwanafalsafa wa Kihindi
Chanakya ( 340-293 BCE) alitangulia Ibn Khaldun kwa milenia moja na nusu kama mwanzilishi
wa uchumi wa kisasa,[18][19][20][21] na ameandika kwa upana zaidi juu ya mada hii, hasa juu ya
uchumi wa kisiasa. Maandishi yake maarufu zaidi, Arthashastra (The Science of Wealth and
Welfare), [22] ni mwanzo wa dhana za kiuchumi ambazo ni pamoja na gharama ya fursa
(opportunity cost), muundo wa mahitaji na ugavi, kushuka kwa mapato, uchambuzi wa
mabadiliko katika viungo vya mfumo, bidhaa za umma, tofauti kati ya muda mfupi na muda
mrefu, habari za kupendelea upande mmoja wa shughuli za biashara na faida ya muuzaji.[23] Katika cheo chake kama mshauri wa mfalme wa Himaya ya Maurya ya India ya kale,
alishauri pia juu ya vyanzo na masharti ya ukuaji wa uchumi, vikwazo kwake na motisha ya
ushuru ili kuhimiza ukuaji wa kiuchumi.[24]
Bandarini meli ikiwasili
Makundi mengine mawili, ambayo baadaye yalijulikana kama ‘mercantilists’ na ‘physiocrats’,
ambayo yalikuwa na ushawishi wa moja kwa moja wa baadaye wa ustawi wa mada. Makundi
yote mawili yalihusishwa na mwanzo wa utaifa wa kiuchumi na ukapitalisti wa kisasa barani
Ulaya. Umekantili ulikuwa ni mafundisho ya kiuchumi yaliyostawi kutoka karne ya 16 hadi ile ya
18 katika juzuu maridhawa ya fasihi, iwe ya wachuuzi au watawala. Nadharia hii ilishikilia kuwa
utajiri wa taifa ulitegemea ulimbikizaji wa dhahabu na fedha. Mataifa ambayo hayakuwa na
migodi yangeweza kupata dhahabu na fedha kutoka kwa biashara tu kwa kuuza bidhaa katika
nchi za ng’ambo na kuzuia ununuzi wa bidhaa kuingia kwa nchi ambavyo havikuwa dhahabu
wala fedha. Dhana hii ilihitaji kuagiza kwa malighafi ya kutumika katika utengenezaji wa bidhaa,
ambazo zingeweza kuuzwa, na kwa usimamizi wa nchi kwa kutoza ushuru wa uhifadhi kwa
bidhaa zilizotengenezewa nje ya nchi na kuzuia utengenezaji wa bidhaa katika makoloni.[25][26]
Physiocrats, kikundi cha karne ya 18 cha wanafalsafa na waandishi, walibuni wazo la uchumi
kama mkondo wa mzunguko wa mapato na matumizi. Adam Smith alieleza mfumo wao “ukiwa
na ukuaji wa uchumi. Mielekeo katika uchumi wa ustawi mara nyingi hujumuisha vipengele vya
kijamii na vya kisiasa.[96][97]
Mifumo ya kiuchumi ni tawi la uchumi linalotafiti mbinu na taasisi ambazo jamii hutumia kubaini
umiliki, usimamizi, na ugavi wa rasilimali za kiuchumi. Mfumo wa kiuchumi wa jamii ni kitengo cha
utafiti.
Katika mifumo ya kisasa katika nchi tofauti za upindi wa uratibishaji ni mifumo ya kisoshialisti na
kikapitalisti, ambako wingi wa uzalishaji hutokea katika mashirika yanayosimamiwa na serikali na
yale ya kibinafsi mtawalia. Baina ya makundi haya mawili kunao chumi zilizochanganyika. Jambo
linalotokea katika makundi haya yote ni mwingiliano vishawishi vya kiuchumi na kisiasa, ambavyo
huelezwa kwa upana kuwa uchumi wa kisiasa. Mifumo linganifu ya kiuchumi hutafiti utendakazi na
tabia ya chumi au mifumo tofauti.[98][99]
Uchumi katika utekelezi[hariri | hariri chanzo]
Makala kuu yas: Mathematical economics, Economic methodology, and Schools of economics
Uchumi wa sasa uliotanda, kama kitengo rasmi cha mifano cha hisabati, unaweza pia kuitwa uchumi
wa kihisabati.[100] Uchumi huu hutegemea vifaa vya masomo ya kihisabati ya calculus, linear algebra,
takwimu, nadharia ya bahati, na sayansi ya kompyuta.[101] Wanauchumi wa kitaalamu hutarajiwa
kujua vifaa hivi, ingawa wanauchumi wote huwa na utaalamu, na baadhi yao huwa wataalamu wa
uchumikihisabati na mbinu za kihisabati huku wengine wakiwa wataalamu katika vitengo vingine
ambavyo havina hesabu nyingi.
Wanauchumi wa mfumo wa heterodox hutilia hisabati msisitizo mchache, na baadhi ya wanauchumi
wa kihistoria, wakiwemo Adam Smith na Joseph Schumpeter, hawajakuwa wanahisabati. Mawazo
ya kiuchumi huhusisha ujuzi wa akili kuhusu dhana za kiuchumi, na wanauchumi hujaribu
kuchambua hadi pale wanagundua matokeo ambayo hayakutarajiwa.
Nadharia[hariri | hariri chanzo]
Nadharia ya uchumi iliyotanda hutegemea mifumo ya kiuchumi ya kihisabati ambayo haitegemei
uzoevu, ambayo hutumia dhana kadha wa kadha. Nadharia huendelea mbele na wazo la vipengele
vingine vikibaki vilivyo, ambalo humaanisha kumudu vipengele vingine jinsi vilivyo ila kile kimoja
kinachozingatiwa. Katika kubuni nadharia, lengo ni kupata zile ambazo kwa uchache ni rahisi kwa
matakwa ya habari, sahihi zaidi katika utabiri wake, na za faida kubwa katika uzalishaji wa utafiti
zaidi kuliko nadharia zilizokuwepo awali.[102]
Katika uchumi wa kiwango cha chini, dhana kuu ni pamoja na ugavi na mahitaji, upembezoni,
nadharia ya chaguo la kutokana na mawazo, gharama ya fursa, vikwazo vya kibajeti, utumiaji na
nadharia ya kampuni.[103][104] Mifumo ya mapema ya uchumi wa kiwango cha juu ilizinhatia kubuni
uhusiano baina ya vipengele jumuishi, lakini kwa vile uhusiano ulionekana kubadilika katika wakati
wanauchumi walishurutishwa kutumia wakfu za kiwango cha chini kama msingi wa mifumo yao.
Dhana za uchumi wa kiwango cha chini ambazo zimekwishatajwa huwa na nafasi muhimu katika
mifumo ya uchumi wa kiwango cha juu – kwa mfano, katika nadharia ya kifedha, nadharia ya
viwango ya pesa hutabiri kuwa kuongezeka katika usambazaji wa pesa huongeza mfumuko wa bei,
na mfumuko wa bei hufikiriwa kushawishika na matarajio ya kifikira. Katika uchumi wa ustawi, ukuaji
wa polepole katika mataifa yanayostawi unetabiriwa mara nyingine kwa sababu ya kupungua kwa
mapato ya pembezoni kutoka kwa uwekezaji na mtaji, na hali hii imeonekana katika mataifa manne
ya Kiasia yajulikanayo kama Four Asian Tigers. Mara nyingine dhana ya kiuchumi huwa tu ni
ya kueleza jinsi ya kitu na wala si ya kihisabati. [105]
Maonyesho ya kubainisha fikira za kiuchumi mara nyingi hutumia michoro ya pande mbili ili
kuonyesha husiano za kinadharia. Katika kiwango cha juu cha ujumuishaji, maandishi ya Paul
Samuelson Foundations of Economic Analysis (1947) yalitumia mbinu za kihisabati kueleza
nadharia, hasa jinsi ya kuweka kwa kiwango cha juu zaidi uhusiano wa kitabia wa vipengele tekelezi
ili kufikia msawazo. Kitabu hicho kilizingatia kuchunguza kundi la taarifa lijulikanalo kama semi za
kinadharia zenye maana katika utekelezi katika uchumi, ambazo ni semi za kinadharia ambazo
zinaweza kupingwa na takwimu za ujarabati.[106]
Utafiti wa ujarabati[hariri | hariri chanzo]
Makala kuu yas: Econometrics and Experimental economics
Nadharia za kiuchumi mara nyingi huchunguzwa kijarabati, sanasana kwa kutumia uchumukihisabati
kutumia takwimu za kiuchumi.[107] Majaribio ya kuthibitiwa yanayopatikana sanasana katika sayansi
za kiasili ni magumu na hayapatikana sana katika somo la kiuchumi[108],na badala yake takwimu za
upana hutafitiwa kwa kufanyiwa uchunguzi; aina hii ya uchunguzi huonekana na wengi kuwa rahisi
kuliko ile ya majaribio ya kuthibitiwa, na mahitimisho huwa kwa kawaida yasiyo na uhakika kamili.
Idadi ya sheria zilizovumbuliwa na somo la kiuchumi ni ya chini ikilinganishwa na ile ya sayansi
asilia.[onesha uthibitisho]
[[]]Mbinu za kutumia takwimu kama vile uchambuzi wa kurudi nyuma ni za kawaida. Watekelezaji
hutumia mbinu kama hizo kukisia ukubwa, umuhimu wa kiuchumi, na umuhimu wa takwimu (“nguvu
za ishara”) za mahusiano yaliyokisiwa na kuratibisha kelele kutoka kwa vipengele vingine. Kwa njia
hiyo, dhana inaweza kukubaliwa, ingawa kwa jinsi ya makisio na wala si uhakika. Kukubalika
hutegemea dhana zinazoweza kuwekewa uongo ambazo zilimudu majaribio. Utumiaji wa mbinu
zinazokubalika kwa kawaida hauna haja ya kutoa hitimisho la mwisho. Au hata makubaliano juu ya
swala fulani, ikiwa lilikuwa na majaribio tofauti, takwimu tofauti , na imani za awali.
Ukosoaji unaolenga viwango vya kitaalamu na ukosefu wa kufanana katika matokeo huwa ni
masharti zaidi dhidi ya uonevu, upotovu, na ujumuisha wa kiwango cha juu mno,[104][109] ingawa wingi
wa utafiti wa kiuchumi umekosolewa kwa ukosefu wa kufanana katika matokeo, na nakala za
kifahari zimekosolewa kwa kutowezesha urudiaji wa matokeo yaliyofanana kwa kutoa nambari za
kificho na takwimu.[110] Kama ilivyo katika nadharia, matumizi ya takwimu za majaribio huwa
yamefunguka yenyewe kwa uchambuzi wa kukosolewa,[111][112][113] ingawa ufafanuzi muhimu wa
nakala juu ya uchumi katika jedwali za kifahari kama vile American Economic Review umepungua
kwa kiwango kikubwa katika miaka 40 iliyopita.[114] .[116] Jambo hili limehusishwa na motisha ya
majedwali ya kutaka kuongeza nukuu ili kuorodheshwa katika nafasi nzuri kwenye Fahirisi ya Nukuu
za Sayansi ya Kijamii - Social Science Citation Index (SSCI).[115]
Katika uchumi tekelezi, mifumo ya pembejeo na mapato itumiayo mbinu za utaratibishaji wa
kunyooka (linear programming) ni ya kawaida mno. Viwango vikubwa vya takwimu hupitishwa katika
mipangilio ya kompyuta ili kuchambua matokeo ya sera fulani; IMPLAN ni mfano mmoja maarufu.
Uchumi wa majaribio umeimarisha utumiaji wa majaribio ya kuthibitiwa ya kisayansi. Hali hii
imepunguza tofauti ya kutoka jadi baina ya uchumi na sayansi asili wa kukubalia majaribio ya
vipengele vilivyofikiriwa hapo awali kuwa dhana.[116][117] Katika visa kadhaa majaribio haya
yamegundua kuwa dhana huwa si sahihi hasa; kwa mfano mchezo wa hatima ulionyesha kuwa watu
hukataa matoleo ambayo hayatoshani.
Katika uchumi wa kitabia, wanasaikolojia Daniel Kahneman na Amos Tversky wameshinda Matuzo
ya Nobel ya kiuchumi kwa kazi ya uvumbuzi wa kijarabati wa uonevu wa kimawazo na jibu lililo
karibu zaidi na jibu halisi (heuristics). Majaribio ya ujarabati yanayofanana na hayo hufanywa katika
somo la uchumi wa kiubongo (neuroeconomics). Mfano mwingine ni wazo la chaguzi za kibinafsi
dhidi ya mfumo ambao huchunguza chaguzi binafsi, za kutaka ustawi wa wengine na za ushirikiano.[118][119] Ustadi huu umesababisha wengine kusema kuwa uchumi ni “sayansi halisi.".[9]
Nadharia ya bahati[hariri | hariri chanzo]
Makala kuu ya: Game theory
Nadharia ya bahati ni tawi la hisabati tekelezi ambalo hutafiti mwingiliano wa mbinu baina ya
vipengele tekelezi. Katika mbinu za bahati, vipengele tekelezi huchagua mbinu ambazo zitaongeza
mapato yao, ukilinganisha na mbini ambazo vipengele vingine huchagua. Nadhari hii hutoa mfumo
rasmi wa mwelekeo kwa hali za kijamii ambapo wafanya maamuzi huingiliana na watendaji wengine.
Nadharia ya bahati hujumuishwa mielekeo ya kuongeza yaliyobuniwa ili kutafiti soko kama vile
mfumo wa ugavi na mahitaji. Somo hili lilitokana na kitabu cha urasimi cha 1944 kiitwacho Theory of
Games and Economic Behavior kilichoandikwa na John von Neumann na Oskar Morgenstern. Somo
hili limepata utekelezi wa kiwango kikubwa kiasi katika sehemu nyingi nje ya uchumi vile
inavyofikiriwa, ambayo ni pamoja na ubuni wa ustadi wa kinyuklia, maadili, sayanzi ya kisiasa na
nadharia ya mageuzi.[120]
Taaluma[hariri | hariri chanzo]
Makala kuu ya: Economist
Kufanywa taaluma kwa uchumi, jinsi inavyoonekana katika ongezeko la masomo ya daraja ya pili ya
vyuo vikuu katika somo hilo, kumeelezwa kuwa “badiliko kuu katika somo la uchumi tangu miaka ya
1900".[121] Idadi kubwa ya vyuo vikuu vya kutajika na taasisi nyingi huwa na somo kuu, kitivo, au
idara kuu ambapo shahada za kielimu hutolewa katika somo hili, iwe ni kwa masomo ya sanaa
huria, biashara, au kwa masomo ya taaluma.
Tuzo la Bank of Sweden Prize in Economic Sciences in Memory of Alfred Nobel (kwa usemi, Tuzo la
Nobel katika Uchumi) ni tuzo ambalo hutolewa kwa mwanauchumi kila mwaka kwa mchango mkuu
wa kimawazo katika somo hili. Katika sekta ya kibinafsi, wanauchumi wataalamu huajiriwa kama
washauri na katika sekta, inayojumuisha uhifadhi katika benki na maswala ya kifedha. Wanauchumi
pia hufanya kazi katika idara na mashirika ya serikali, kama vile Hazina ya kitaifa, Benki Kuu au Afisi
ya Takwimu.
Somo la uchumi na masomo mengine[hariri | hariri chanzo]
Makala kuu yas: Philosophy of economics, Law and Economics, Political economy, and Natural
resource economics
Uchumi ni mojawapo ya sayansi za kijamii baina ya zingine kadhaa na huwa na matawi
yanayopakana na masomo mengine, yakiwemo jiografia ya kiuchumi, historia ya kiuchumi, uchaguzi
wa umma, uchumi na nisharti, uchumi wa utamaduni, na uchumi wa taasisi.
Sheria na uchumi au utafiti wa kiuchumi wa sheria, ni mwelekeo wa nadharia ya kisheria ambao
hutumia mbinu za kiuchumia katika sheria. Somo hili hujumuisha utumizi wa dhana za kiuchumi ili
kueleza athari za kanuni za kisheria, kubainisha ni kanuni zipi za kisheria zilizo na ufanisi wa
kiuchumi, na kutabiri ni kanuni za kisheria zinazweza kuwa.[122][123] Makala ya mafundisho
yaliyoandikwa na Ronald Coase na kuchapishwa mnamo 1961 yalipendekeza kuwa sheria za umiliki
wa mali zilizodhihirishwa vyema hushinda matatizo yanayotokana na vipengele vua nje.[124]
Uchumi wa kiasiasa ni utafiti unaojumuisha masomo mengi kwa kuchanganya uchumi, sheria, na
sayansi ya kisiasa ili kueleza jinsi taasisi za kisiasa , mazingira ya kisiasa, ma mfumo wa kiuchumi
(ukapitalisti, usoshialisti, mchanganyiko) hushawishiana. Unatafiti maswali kama vile jinsi makundi
yanayotawala shughuli za soko, tabia ya kutafuta manufaa ya kibinafsi kwa madhara ya wengine, na
vipengele vya nje vinafaa kuathiri sera ya serikali.[125][126] Wanahistoria wametumia uchumi wa
kisiasa kutafiti njia za wakati uliopita ambazo watu na makundi yaliyo na maslahi yanayofanana ya
kiuchumi wametumia siasa ili kuleta mabadiliko ambayo yanafaidi maslahi
nowiki-000001BC-QINU � Madai haya ya nyuma ni ya utata.[145]
Utafiti wa shirika la International Monetary Fund wa mwaka wa 2002 ulizingatia “utabiri wa
makubaliano” (utabiri wa makundi makubwa ya wanauchumi) ambao ulifanywa awali kabla ya kurudi
nyuma kwa uchumi kwa mataifa 60 tofauti katika miaka ya 90; katika 97% ya visa wanauchumia
hawakutabiri mpunguo kwa mwaka mmoja kabla ya tukio. Katika visa vile vya nadra ambako
wanauchumi walitabiri kwa mafanikio kurudi nyuma kwa uchumi, walikadiria makali yake kwa
kiwango cha chini mno.[146].
Ukosoaji wa dhana[hariri | hariri chanzo]
Uchumi umekuwa mada ya ukosoaji hadi hutegemea dhana ambazo hazina uhakika, haziwezi
kuthibitishwa na zimerahisishwa visivyofaaa, kwa wakati mwingine kwa sababu dhana hizi hutumia
hisabati zinazovutia. Mifano ni pamoja na habari kamilifu, uimarishaji wa faida kwa kiwango cha juu
zaidi na chaguzi za kimawazo.[147] [148][149] Baadhi ya nadharia za kisasa za kiuchumi zimezingatia
kuzungumzia matatizo haya kupitia kwa matawi madogo ya somo hili yanayoibuka kama vile uchumi
wa taarifa, uchumi wa tabia, na uchumi wa utata, huku Geoffrey Hodgson akitabiri mabadiliko
makubwa katika mwelekeo uliotanda wa kiuchumi.[150] Hata hivyo, wanauchumi maarufu wa uchumi
uliotanda kama vile Keynes[151]na Joskow, pamoja na wanauchumi wa kiheteredoksi, wametoa
maoni kuwa kiwango kikubwa cha uchumi huwa ni cha kidhana na wala si cha kihisabati, na huwa ni
vigumu kuweka mifumo na kuurasmisha kwa kutumia mbinu za kihisabati. Katika majadiliano juu ya
utafiti wa makundi ya kutawal shughuli za soko, Paul Joskow alionyesha mnamo 1975 kuwa katika
utekelezi, wanafunzi wenye bidii wa uchumi halisi, huwa na mazoea ya kutumia “mifumo isiyo rasmi”
inayotokana na vipengele vya maelezo ambavyo hutumiwa katika sekta maalum. Joskow aliamini
sana kuwa kazi muhimu ya kutafiti makundi yanayotawala shughuli za soko ilifanya kupitia
uchunguzi usio rasmi huku mifumo rasmi ilikuwa “ikionyeshwa kwa madaha baada
yakazi kumalizika ". Alidai kuwa mifumo rasmi kwa kiasi kikubwa haikuwa na maana katika kazi ya
ujarabati, vilevile, na kuwa kipengele muhimu kilicho msingi wa nadharia ya kampuni, tabia,
kilipuuzwa.[152]
Licha ya wasiwasi huu, masomo ya daraja ya pili ya vyuo vikuu yameendelea kuwa ya kiufundi na
kihisabati.[153] Ingawa nyingi ya kazi ya kimsingi ya utafiti wa kiuchumi katika historia ulihusu dhana
na wala si hisabati, kwa sasa huwa ni vigumu zaidi kupata uwezekano wa kuchapisha nakala isiyo
ya kihisabati katika jedwali mashuhuri.[154] Kuona ukweli kwa upande wa baadhi ya wanafunzi
kuhusu kuzingatia kwa uchumi kwa vitu ambavyo haviwezi kushikika na vya ufundi kumesababisha
kuzuka kwa kundi la uchumi wa baada ya hali ya autism, ambao ulianza Ufaransa mnamo 2000.
[[]]David Colander, mtetezi wa uchumi tata, amezungumzia vilevile kwa kukosoa mbinu za kihisabati
za kiuchumi, ambazo anahusisha na mfumo wa chuo cha MIT kwa uchumi, kinyume cha ule wa
Chicago (ingawa anasema pia kuwa mfumo wa Chicago hauwezi tena kuitwa ulio na maono ya
kiakili). Anaamini kuwa mapendekezo ya sera kutokana na mfumo wa maono ya kiakili ya Chicago
yalichangia kushuka kwa uchumi wa maono ya kiakili. Anasema pia kuwa amewahi kukutana na
wanauchumi wenza ambao wamekataa katakata kujadiliana kuhusu uchumi wa kusisimua pasipo na
mfumo rasmi, na anaamini kuwa mifumo mara nyingine huzuia maono ya mawazo.[155] Hivi karibuni
zaidi, hata hivyo, ameandikwa kuwa uchumi wa kiheterodoksi, ambao mara nyingi huchukua zaidi
mwelekeo wa maono ya kimawazo, unafaa kushirikiana na wanahisabati na kuwa wa kihisabati
zaidi.[100] "Uchumi uliotanda ni mfumo wa kirasmi”, anaandika, na kinachohitajika si kupungua kwa
hisabati wala ni kuongezeka kwa viwango vya hisabati. Anaeleza kuwa baadhi ya mada
zinazozingatiwa na wanauchumi wa kiheterodoksi, kama vile umuhimu wa taasisi au ukosefu wa
uhakika, zinatafitiwa kwa sasa kupitia mifumo ya kihisabati bila kutaja kazi iliyofanya na wanauchumi
wa kiheterodoksi. Uchumi mpya wa taasisi, kwa mfano, huchunguza taasisi kihisababti bila
kuhusisha sana somo linatokana kwa kiasi kikubwa na kiheterodoksi la uchumi wa taasisi.
Katika hotuba yake ya Tuzo la Nobel ya 1974, Friedrich Hayek, anayejulikana kwa uhusiano wake
wa karibu na mfumo wa kiheterodoksi wa uchumi wa Kiaustria, alilaumu kutofaulu kwa sera za
ushauri wa kiuchumi kwa maelekeo ya kuiga utaratibu wa kihisabati unaotumika kwa sayansi asilia
bila kupambanua au kutumia mbinu za kisayansi. Anatoa hoja kuwa hata matukio ya kiuchumi
ambayo yametafitiwa kwa kiwango kikubwa, kama vile ukosefu wa ajir akatika soko, huwa kwa
kindani na utata mkubwa kuliko matukio kama hayo katika somo la sayansi asilia ambako mbinu
zilibuniwa hapo awali. Vilevile, nadharia na takwimu huwa mara nyingi havidhihiriki na
hushughulikwa kulingana na mwelekeo wa mabadiliko yanayohitajika, na wala si ukubwa wake.[156] Kwa upande mmoja kwa sababu ya ukosoaji, uchumi umepatwa na uratibishaji wa hali ya juu na
ufafanuzi wa dhana na mbinu tangu miaka ya 1940, ambao baadhi yake imeelekea katika
utekelezaji wa mbinu ya kidhana na kimawazo (hypothetico-deductive method) katika kueleza