Top Banner
Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019
10

Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019 •Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya

Feb 15, 2020

Download

Documents

dariahiddleston
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019 •Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya

Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019

Page 2: Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019 •Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya
Page 3: Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019 •Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya

Ufunuo wa Yesu Kristo kwa Yohana (Ufu. 1:9-18)

Wapi:Patmo (1:9)

Lini: Katika siku ya Bwana (1:10)

Vipi: Kama Kuhani mkuu (1:12-18)

Barua kwa makanisa Saba (Ufu. 1:11, 19-20; 2:1-7)

Jinsi ya kutafsiri (1:11, 19-20)

Ujumbe kwa waefeso (2:1-7)

Ufunuo huanza kwa barua ya wazi kwenda kwamakanisa saba Asia ndogo (Uturuki). Mpangiliowa makanisa ni sawa na ule ambao msambazabarua angeliutumia kusambaza barua.

Yesu Kristo anatoa barua kwa Yohana. Kila kitukwenye hii barua kina maana maalum, ikijumuisha muundo na ujumbe wake kwa kilakanisa. Bado una maana maalumu kwetu leo, takribani miaka 2000 tangu zitolewe.

Patmo Efeso

Smirna

Pergamo

Thiatira

SardiFiladelfia

Laodikia

BAHARI YA

AEGEA

Page 4: Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019 •Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya

Nini kilikuwepo Patmo?

• Patmo ni kisiwa kilichofungwa(10x6 mi—16x10 km). Warumi walianzishasehemu ya adhabu hapo.

Kwa nini Yohana alikuwa hapo?

• Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya Kristo)

Yesu alifanya nini kwa ajili ya Yohana?

• Yesu alimletea maneno ya matumaini na yakutia moyo, kama alivyofanya kwa wale vijanawadogo kwenye tanuru la moto na kwaStefano alipokuwa akiuwawa.

Tunaweza kuwa na uhakika kuwa Yesu atakuwa nasi daima tunapopitiamateso ili tuwe mashahidi waamini.

Page 5: Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019 •Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya

“Nalikuwa katika Roho, siku ya Bwana; nikasikia sauti kuunyuma yangu, kama sauti ya baragumu.” (Ufunuo 1:10)

Je; Tutafsiri vipi“Siku ya Bwana”?

Jumapili

• “Siku ya Bwana” ilitumika kuashiriaJumapili mara yakwanza katikakarne ya pili. Haimaanishi“Jumapili” katikawakati wa Yohana.

Kuja kwa Yesumara ya pili

• Hii ingemaanishakuwa Yohana alikuwa tayariakipokea maonoya kuja kwa Yesumara ya pili wakatianapokea ufunuohuu mpya (Is. 13:6; 2P. 3:10). Dhana hiihaiungwi mkonona aya za Ufunuo.

Sabato

• Katika agano la Kale, Mungu(Bwana) aliitasabato“yake”, Hivyo ni siku yake(|Kut. 31:13; Is. 58:13). Yesu pia anjiita“Bwana waSabato” (Mt. 12:8; Mr. 2:28 HivyoYohana alipokeaUfunuo katika sikuya Sabato, Siku yaBwana.

Page 6: Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019 •Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya

Mwonekano wa nje wa Yesu ulikuwaje katika Ufunuo 1?

Ufunuo 1:13-16

Vazi refumshipi wadhahabuNywele nyeupe

Macho ya moto

Nyayo za shaba

Sauti ya maelfu

Upanga kinywani

Uso kama jua

Danieli 10:5-6

nguo za kitanimshipi wadhahabu---

Macho ya moto

Nyayo za shaba

Sauti ya maelfu

---

Uso kama umeme

Mtu aliyevaa kwa namna aliyoiona Yohana na Danieli niYesu aliyevalia kama Kuhani mkuu.

Page 7: Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019 •Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya

Yohana alimuona Yesu akitembeakatikati ya vinara saba vya taa ambavyoni ishara ya makanisa saba (1:20)

Ujumbe kwa kila kanisa unaanza na“Nayajua matendo yako.” (2:2, 9, 13, 19; 3:1, 8, 15). Yesu daima yu katikati yawatu wake. Anawajua watu wake naanamjua kila mmoja wetu.

Ni mkuu na mwingi wa utukufu, lakinihatupaswi kuuogopa uwepo wake.

“Nami nilipomwona, nalianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kuume juu yangu, akisema, Usiogope,

Mimi ni wa kwanza na wa mwisho.’” (Ufunuo 1:17)

Ndiye aliyekufa na kufufuka. Anao ufunguo wamauti. Ana nguvu dhidi ya mauti na awajaliwalio hai.

Page 8: Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019 •Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya

WAKATI HUSIKA

(KIHISTORIA)

Ujumbe wa Yesu kwa kilakanisa linalo kutana katika mijisaba katika Asia ndogo wakatiwa Yohana.

WAKATI UJAO

(KIUNABII)

Ujumbe kwa wakati wakihistoria wa kanisa tanguwakati wa Yohana hadi wakati.

YA JUMLAUjumbe kwa kila kanisa namuumini katika kila wakatihistoria.

“ikisema, Haya uyaonayo uyaandike katika chuo, ukayapeleke kwa hayo makanisa saba: Efeso, naSmirna, na Pergamo, na Thiatira, na Sardi, naFiladelfia, na Laodikia.” (Ufunuo 1:11)

Ujumbe kwa makanisa saba huko Asia unaweza kutafsiriwa katika ngazi tatutofauti zinazokamilishana (1:19):

Page 9: Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019 •Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya

“Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika; Haya ndiyo anenayoyeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeyeaendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu:’” (Ufunuo 2:1)

Efeso ulikuwa mji muhimu sana katika Asia. Yohana alikuwa mchungaji katika mji huouliojaa ukosefu wa maadili na uchawi(Matendo 19:19)

Kanisa lilisimama imara katika hali hiyoyenye changamoto. Hata hivyo, walisahauupendo wao wa kwanza kama walivyofanyaIsraeli wa zamani(Yeremia 2:2)

Kanisa hili huwakilisha kanisa la kikristo la karne ya kwanza (inakisiwa. kuanzia 31 hadi100 baada ya Kristo)

Hebu tuufuate ushauri wa kimbingu ili tutunze wema wao na kuepuka makosa yao : (1) Kumbuka upendo wako wa kwanza; (2)Tubu; (3) na utende matendo mema.

Page 10: Somo la 2 kwa ajili ya Januari 12, 2019 •Alituhumiwa kwa uzushi wa kuhubiri habari za Yesu Kristo alipokuwa mzee. Mfalme wa Rumi Domitian akamfunga pale kati ya 81 na 96 Baada ya

“Yeye [Yesu] hutembea katikati ya makanisa yake

katika urefu na upana wa dunia. Anawatazama kwa

matarajio makubwa kuona kama wako katika hali

ya kiroho ambayo wanaweza kuueneza ufalme

wake. Kristo yuko katika kila kusanyiko la kanisa.

Anamjua kila aliyeunganishwa na huduma yake.

Anawajua wale ambao mioyo yao inaweza kujazwa

na mafuta ya Roho mtakatifu, ili waweze

kuwaambukiza wengine. Wale ambao kwa uaminifu

hubeba kazi ya Kristo kwa ulimwengu,

wakiiwakilisha tabia ya Mungu katika maneno na

matendo, wakikamilisha kusudi la Bwana kwa ajili

yao, machoni pake ni wa thamani sana. Kristo

anawafurahia kama vile mtu afurahiavyo bustani

iliyotunzwa vyema na harufu nzuri ya maua

aliyoyapanda.” E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 6, cp. 53, p. 418)