Top Banner
> > > > > > > > Utawala Bora wa Mifuko ya Hifadhi, Yahusuyo Ukuaji na Uelekeo wa Kukidhi haja ya hifadhi Kassim Husssein, PhD [email protected] 0754360174
25

Pspf 2014 presentation kassim hussein

Jan 20, 2017

Download

Business

Kassim Hussein
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: Pspf 2014 presentation kassim hussein

> > > > > > > > Utawala Bora wa Mifuko ya

Hifadhi, Yahusuyo Ukuaji na Uelekeo wa Kukidhi haja ya

hifadhi Kassim Husssein, PhD

[email protected] 0754360174

Page 2: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Madhumui

v Muktadha wa utawala bora

v Ukuwaji na yahusuyo

v Changamoto ya Kukidhi haja ya hifadhi

v Maeneo ya kipaumbele

v Majumuisho

Page 3: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Utawala Bora wa

Taasisi

•  The OECD -unahusu mahusiano kati menejimenti, bodi na wadau….. Inaweka utaratibu wa kupanga malengo, namna ya kuyafikia na njia kuyafuatilia na kutathmini ufanisi wa menejmenti katika kuyafikia

Page 4: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Uhusiano

Wa muda mrefu •  Udhibiti • V i v u t i o n a marupurupu • Mawasilaino kati ya ya wanedhejai na wadau

Miamala •  Uwazi •  Utoaji

taarifa •  mamlaka.

Page 5: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Hali ya mifuko

•  Imekidhi haja ya awali •  Imeendeshwa katika misingi

mizuri ya utawala.. Uhusiano unaridhisha

• Haja ya wadau… ubora wa mafao?

• Upanuzi wa wigo?

Page 6: Pspf 2014 presentation kassim hussein

11 | 6

Kukuwa kwa wanachama…

michango

0

1

2

3

4

5

6

7

8

9

2006 2007 2008 2009 2010 2011 2012

Figure 2: Contribution/membership Growth

Con/membership

Page 7: Pspf 2014 presentation kassim hussein
Page 8: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Utawala bora wa

Mfuko

Page 9: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Thamani ya mifuko

Page 10: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Michango

inapowekwezwa

Page 11: Pspf 2014 presentation kassim hussein

kukuwa kwa

idadi

Sensa ya 2012 •  Idadi ya wa TZ.. Million 45 •  Kiasi 27 wana uwezo wa

kuchangia •  Kiasi cha million 25 wako

katika sekta inayo jiajiri au isiyo rasmi

Page 12: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Kuhusu utawala

• Idadi ya watu duniani inakuwa na inaongeza wanaohitaji hifadhi

Page 13: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Kuhusu utawala

• Uwezo wa kukidhi mahitaji unalingana na maendeleio ua kiuchumi

•  Maendeleo huchangia hifadhi, pia hifadhi huchangia maendeleo

Page 14: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Tanzania

INFORMAL 93.5%

PRIVATE (insiginificant)

FORMAL 6.5%

FIGURE 1: EMPLOYMENT SECTOR

THE SIX SSR

Page 15: Pspf 2014 presentation kassim hussein

11 | 15

Hifadhi

•  Udugu wa kifamilia…. Inafifia – Uwezo mdogo

•  Mfuko wa Majanga… hauna fedha •  Uwezo wa Serikali katika maafa ni

endelevu? •  Uwiano siyo sawaia : Ukuwaji wa idadi;

ukuwaji wa ajira; ukuwaji wa sekata isiyo rasmi

•  Ukuwaji wa wanachama katika mifuko ya hifadhi

Page 16: Pspf 2014 presentation kassim hussein

11 | 16

•  Mahitaji ya wadau ni kuingia kwenye hifadhi

•  Wadau ni pamoja na walio nje ya mfuko… serikali na jamii kwa ujumla

•  Wadau wamepanua uwigo

Ukuwaji ni suala la

utawala bora?

Page 17: Pspf 2014 presentation kassim hussein

11 | 17

Page 18: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Mkakati wa nyanja

mbili

• Pendekezo 202 • Ghorofa za hifadhi za msingi .

Mkakati wa upana…. Kuongeza watu

• Kupanda ghorofa ya juu… kuongeza kina kwa kuongeza aina na ubora wa mafao

Page 19: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Ulimwenguni…

ghorofa mbalimabli

Page 20: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Idadi iongezwe !!

•  Mikakati ya kufikia sekata iliyojiajiri… sekata isyo rasmi.

•  Changamoto za kuifikia kwa mfumo wa sasa

•  Mikakati ya kuifikia sekta iliyojiajiri, wakulima na wote wanaojumuishwa kuwa si rasmi

Page 21: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Masuala ya jinsia

• Katika hifadhi ushiriki wa wanawake

• Kuengiliwa katika ajira rasmi • Kuwafikia katika ajira binafsi

Page 22: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Wazee

• Ni wachache… zaidi wako vijijini

• Gharama yao sio kubwa… • Kumudu Social pension kwa

kundi hili?

Page 23: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Jumuisho

• Mifuko imefanya vizuri kwa wale walio katika ajira

• Kumekuwa na kutoridhika na ubora wa mafao

Page 24: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Jumuisho

• Utawala bora wa kuridhisha • Changamoto ni kuongeza idadi

nje ya waajiriwa •  Idaidi ya waajiriwa haiongezeki

kulingana na ongezeko la idadi ya wanostahiki

Page 25: Pspf 2014 presentation kassim hussein

Jumuisho

• Uwezo wa Mfuko wa majanga.. Uwezo wake kuhusu hifadhi.

• Kilio juu ya wanawake • Kadhia ya wazee na uwezi wa

kuwapa pension …. Tunaweza kuimudu?