MFANO WA AGANO MBILI Lakini Isaka alikuwa mwana aliyetokana na imani. Yeye alikuwa mwana wa ahadi, ambaye alipakana kwa njia ya Mungu kuingia kaka hali zilizokuwepo. Isaka aliwakilisha agano jipya ambalo Mungu alifanya kupia kwa Mwana Wake Yesu Kristo. Heshima ya Isaka ilizidi ile ya Ishmaeli kaka yake. Isaka alikuwa ni aina ya Kristo ambayo alitolewa kwenye madhabahu ya kafara kwa sababu ya kui mapenzi yake Baba. Agano la Mungu kwa Abrahamu lilimia kupia kwa Isaka, na agano hilo ndilo lilizaa taifa kuu, yaani watu wateule wa Mungu. Mifano mbili sambamba imetolewa kuhusiana na Sinai na mjia wa Yerusalemu. Mji wa Yerusalemu ulikuwa kaka utumwa wa sheria za Musa na utawala wa serikali ya Ufalme war Rumi lakini ulikuwa ndipo mahali ambapo hekalu ilipakana, mahali ambapo Mungu aliabudiwa. Hapo ndipo pia kulikuwa chimbuko la imani mpya ya Kikristo. Lakini Yerusalemu ya kiroho (ikilinganishwa na Sinai) inawakilisha mahali ambapo kila mmoja wa raia zake alizaliwa chini ya mamlaka ya agano jipya na wana wake wanazaliwa wakiwa huru. “Bali Yerusalemu wa juu ni mwungwana, naye ndiye mama yetu sisi” (mstari wa 26). (Inaendelea kutoka ukurasa 2) sherehe, na amri ambazo ziliambatana na sheria hizo. Agano hilo la kwanza la sheria lilikuwa la kimwili, kama jinsi ambavyo Ishmaeli alizaliwa kwa tamaa za kimwili. Hajiri hakuwa na uhuru na kwa hivyo yeye angezaa tu watoto ambao waliingia utumwani mara moja. Basi hata wale waliozaliwa kaka sheria ya Musa walikuwa watumwa kaka mpangilie ambao hawangeweza kumiza matakwa yake. BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MISSION FIELD WORLDWIDE. Toleo 18 (Maelezo yafuatayo yametoka Wagalaa 4:21-31) Abrahamu alikuwa ni babu wa wana wa Israeli na alikuwa na wana wawili. Mungu alikuwa amemwahidi yeye na mke wake Sara (ambaye alikuwa tasa) kwamba angewabariki na mwana wa kiume kaka umri wao wa uzeeni. Lakini kwa sababu ya ukosefu wa imani Sara alimtoa Hajiri, ambaye alikuwa mjakazi (mtumwa) wake, kwa Abrahamu. Kutokana na uhusiano huo Ishmaeli akazaliwa. Lakini mwana ambaye Mungu alikuwa amemwahidi Abrahamu alizaliwa na Sara hapo baadaye huku Sara akiwa na miaka sini na Abrahamu akiwa na miaka mia moja. Ishmaeli alizaliwa kwa njia ya mwili kwa mwanamke ambaye alikuwa mtumwa, mwanamke ambaye hakuwa na uhuru, lakini Isaka alizaliwa na mwanamke ambaye alikuwa na uhuru kutokana na ahadi ya Mungu. Huu ni mfano bora wa agano mbili ambazo Mungu ametumia kuwaongoza watu wake kaka nyaka zote za ulimwengu – yaani mpangilie wa sheria na wa injili. Hajiri na Ishmaeli walikuwa kama Mlima Sinai ambako ndiko Mungu alianzisha agano la kwanza na kutoa sheria za Musa. Wana wa Israeli walikuwa watumwa wa utamaduni, Tahariri 3 Kujifunza Biblia: Agano Mbili 4 Agano Mbili 5-6 Je, Wajua? Neno Linalofaa kwa Msimu Huu 8 Agano la Kale Likilinganishwa na Agano Jipya 7 MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE
8
Embed
MFANO WA AGANO MBILI - · PDF fileLakini Isaka alikuwa mwana aliyetokana na imani. Yeye alikuwa mwana wa ahadi, ambaye alipatikana kwa njia ya Mungu kuingia katika ... Kristo ambayo
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
MFANO WA AGANO MBILI
Lakini Isaka alikuwa mwana aliyetokana na
imani. Yeye alikuwa mwana wa ahadi,
ambaye alipatikana kwa njia ya Mungu
kuingia katika hali zilizokuwepo. Isaka
aliwakilisha agano jipya ambalo Mungu
alifanya kupitia kwa Mwana Wake Yesu
Kristo. Heshima ya Isaka ilizidi ile ya
Ishmaeli kaka yake. Isaka alikuwa ni aina ya
Kristo ambayo alitolewa kwenye
madhabahu ya kafara kwa sababu ya kutii
mapenzi yake Baba. Agano la Mungu kwa
Abrahamu lilitimia kupitia kwa Isaka, na
agano hilo ndilo lilizaa taifa kuu, yaani
watu wateule wa Mungu.
Mifano mbili sambamba imetolewa
kuhusiana na Sinai na mjia wa Yerusalemu.
Mji wa Yerusalemu ulikuwa katika utumwa
wa sheria za Musa na utawala wa serikali
ya Ufalme war Rumi lakini ulikuwa ndipo
mahali ambapo hekalu ilipatikana, mahali
ambapo Mungu aliabudiwa. Hapo ndipo
pia kulikuwa chimbuko la imani mpya ya
Kikristo. Lakini Yerusalemu ya kiroho
(ikilinganishwa na Sinai) inawakilisha
mahali ambapo kila mmoja wa raia zake
alizaliwa chini ya mamlaka ya agano jipya
na wana wake wanazaliwa wakiwa huru.
“Bali Yerusalemu wa juu ni mwungwana,
naye ndiye mama yetu sisi” (mstari wa 26).
(Inaendelea kutoka ukurasa 2)
sherehe, na amri ambazo ziliambatana na
sheria hizo. Agano hilo la kwanza la sheria
lilikuwa la kimwili, kama jinsi ambavyo
Ishmaeli alizaliwa kwa tamaa za kimwili.
Hajiri hakuwa na uhuru na kwa hivyo
yeye angezaa tu watoto ambao waliingia
utumwani mara moja. Basi hata wale
waliozaliwa katika sheria ya Musa
walikuwa watumwa katika mpangilie
ambao hawangeweza kutimiza matakwa
yake.
BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE
MISSION FIELD WORLDWIDE.
Toleo 18
(Maelezo yafuatayo yametoka Wagalatia
4:21-31)
Abrahamu alikuwa ni babu wa wana wa
Israeli na alikuwa na wana wawili. Mungu
alikuwa amemwahidi yeye na mke wake
Sara (ambaye alikuwa tasa) kwamba
angewabariki na mwana wa kiume katika
umri wao wa uzeeni. Lakini kwa sababu ya
ukosefu wa imani Sara alimtoa Hajiri,
ambaye alikuwa mjakazi (mtumwa) wake,
kwa Abrahamu. Kutokana na uhusiano huo
Ishmaeli akazaliwa. Lakini mwana ambaye
Mungu alikuwa amemwahidi Abrahamu
alizaliwa na Sara hapo baadaye huku Sara
akiwa na miaka tisini na Abrahamu akiwa
na miaka mia moja. Ishmaeli alizaliwa kwa
njia ya mwili kwa mwanamke ambaye
alikuwa mtumwa, mwanamke ambaye
hakuwa na uhuru, lakini Isaka alizaliwa na
mwanamke ambaye alikuwa na uhuru
kutokana na ahadi ya Mungu.
Huu ni mfano bora wa agano mbili ambazo
Mungu ametumia kuwaongoza watu wake
katika nyakati zote za ulimwengu – yaani
mpangilie wa sheria na wa injili. Hajiri na
Ishmaeli walikuwa kama Mlima Sinai
ambako ndiko Mungu alianzisha agano la
kwanza na kutoa sheria za Musa. Wana wa
Israeli walikuwa watumwa wa utamaduni,
Tahariri
3
Kujifunza Biblia:
Agano Mbili
4
Agano Mbili
5-6
Je, Wajua?
Neno Linalofaa kwa
Msimu Huu
8
Agano la Kale
Likilinganishwa na
Agano Jipya
7
MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA
KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE
Gazeti a Ukweli wa injili linachapishwa katika mataifa mbalimbali ili kusambazwa katika maeneo hayo.
Kazi hii na zingine za kimishenari ambazo sisi hufanya huwezekana kupitia kwa matoleo ya kujitolea
yanayotolewa kwa jina la Kanisa la Mungu.
_____________________________
Ukweli wa Injili, 605 Bishops Ct., Nixa, MO 65714 USA
Gazeti la ‘Ukweli wa Injili’ huchapishwa kwa jina la Bwana kwa matumizi ya watu wa mataifa yote kwa kusudi la kuimarisha na kuwahimiza watu wote katika ukweli wa neno la Mungu. Gazeti hili hufundisha na kueneza ukweli wa Biblia ambao umethibitishwa tangu nyakati za Yesu Kristo na mitume.
Neno la Mungu ndio mwongozo halisi na wa kipekee wa imani. Linafundisha wokovu na ukom-bozi kutokana na dhambi unaoletwa na utakaso wa Yesu Kristo; ambao hufuatiwa na ujazo wa Roho Mtakatifu anayemwongoza mhudumu, kumwonyesha njia, na kumpatia nguvu; pia unam-letea mtu utakatifu halisi katika kila fani ya maisha yake; na pia kuleta umoja na utangamano wa watu wa Mungu. Huduma inayokubalika na Mungu inatokana na mtu kuwa na uhusiano wa kibinafsi na wa upendo ambao msingi wake ni ukweli.
Waandishi: Michael na René Smith
Ukweli wa Injili ni gazeti la kieletroniki linalochapishwa kila robo ya mwaka kwa jinsi Mungu anavyotuongoza. Tutembelee katika tovuti yetu ya www.thegospeltruth.org ili uagize jalida hili kupitia kwa orodha yetu ya anwani pepe na upokee toleo lako la wakati huu. Hebu jisikie huru kututumia orodha ya majina na anwani pepe za watu wengine ambao wangependa kupokea toleo hili kutoka kwa mwandishi wa jalida la Ukweli wa Injili.
Wakristo (wa kweli) ambao wanaishi katika agano la injili ni huru kutokana na
utumwa wa sheria, sherehe na tamaduni za mji huo wa zamani. Wao wako huru
kutokana na dhambi na hukumu. Kamwe hawajazaliwa kutokana na mjakazi
mtumwa mbali kutokana na mwanamke aliye huru.
Jinsi Hajiri na mwanawe walivyotupwa nje ndivyo mtume Paulo aliagiza kanisa
kutupa nje agano la kale. “Lakini lasemaje andiko? Mfukuze mjakazi na
mwanawe, kwa maana mwana wa mjakazi hatarithi kabisa pamoja na mwana wa
mwungwana” (mstari wa 30). Isaka ndiye alikuwa mwana wa ahadi, yeye ndiye
alitokana na imani, alikuwa ndiye timizo la mpango wa Mungu kwa taifa la
Wayahudi, na pia yeye ndiye alikuwa mrithi. Sheria ya Musa inahitaji kutupwa nje
na badala yake agano jipya linastahili kuchukua mahali pake. Wakristo wafuasi wa
Yesu Kristo ndio wana wa ahadi.
Lakini kuna watu ambao huendelea hushikilia maandiko ya sheria za Musa ama
kuongozwa na mawazo ambayo yanalingana na agano hilo la kale hata wakati
ambapo wao wanaishi chini ya maongozi ya injili. Jambo hili hufanya watu hawa
kuwa wtumwa. Lakini tunastahili kutupilia mbali agano la kale na kufurahia uhuru
wa agano la injili kwa maana “sisi si watoto wa mjakazi, bali tu watoto wa huyo