Aprili 2017 79 WATOTO Maua Meupe ya Pasaka KIELELEZO NA APRYL STOTT Maua meupe mazuri ya Pasaka yaweza kutukumbusha kuhusu ile siku ya ajabu wakati Yesu alipofufuka. Maua meupe matano yamefichika katika picha hii. Kila wakati utakapopata moja, sema kitu kimoja ambacho umejifunza juu ya Yesu.