Top Banner
Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto , 2009-10 1 Matokeo ya Awali Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dar es Salaam, Disemba 2, 2010 UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10
36

Matokeo ya Awali

Feb 02, 2016

Download

Documents

annona

UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10. Matokeo ya Awali. Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dar es Salaam, Disemba 2, 2010. 1. Utangulizi 2. Matokeo Muhimu 3. Hitimisho. Yaliyomo. Picha kwa Hisani ya Concern. 1. Utangulizi. - PowerPoint PPT Presentation
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

1

Matokeo ya Awali

Ofisi ya Taifa ya TakwimuDar es Salaam, Disemba 2,

2010

UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10

Page 2: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

2

• 1. Utangulizi

• 2. Matokeo Muhimu

• 3. Hitimisho

Picha kwa Hisani ya Concern

Yaliyomo

Page 3: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

3

Utafiti huu ulitekelezwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)

Gharama za ndani za Utafiti huu ziligharamiwa na Mfuko Maalum wa Kitengo cha Kuondoa Umaskini (PED) kilicho chini ya Wizara ya Fedha na Uchumi, Wizara ya

Afya na Ustawi wa Jamii, Mashirika ya Misaada ya Umoja wa Mataifa

Msaada wa Kiufundi ulitolewa na MEASURE DHS/ Macro International

Msaada wa Kiufundi uligharamiwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Marekani (USAID)

1. Utangulizi

Page 4: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

4

Historia ya Tafiti za Afya ya Uzazi na Mtoto Tanzania

• Utafiti wa kwanza wa DHS ulifanyika mwaka 1991/92 na kufuatiwa na Utafiti mwingine mwaka 1994 (Knowledge, Attitude and Practice Survey (TKAPS))

• Utafiti wa pili wa DHS ambao ulishirikisha maeneo yale yale ya mwaka 1991/92 ulifanyika mwaka 1996. Ukafuatiwa na mwingine wa mwaka 1999 (Tanzania Reproductive and Child Health Survey (TRCHS)). Utafiti huu ulikuwa kama ule wa 1994 lakini ukiwa na viashiria vya zaida kama ilivyoshauriwa na wadau wakuu.

• Utafiti wa DHS wa tatu ulifanyika mwaka 2004/05

• Utafiti wa DHS wa 2009/10 ni wa nne na kama zilivyokuwa tafiti zilizotangulia, ulihusisha Tanzania Bara na Visiwani.

Page 5: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

5

Madhumuni ya UtafitiKupata taarifa juu ya:

– Sifa bainifu za kaya na wanakaya– Viwango vya uzazi na upendeleo wa kuzaa– Ufahamu na matumizi ya njia za uzazi wa mpango– Vifo vya watoto– Afya ya mama na mtoto– Unyonyeshaji wa watoto– Hali ya lishe ya wanawake na watoto wadogo– Kinga na matibabu dhidi ya Malaria– Hali ya kiuchumi ya wanawake– Tendo la kujamiiana– Umiliki na matumizi ya vyandarua– Ukatili dhidi ya wanawake majumbani– Nasuri (Fistula)– Ufahamu wa VVU/UKIMWI na magonjwa mengine ya

zinaa

Page 6: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

6

Utafiti na Sampuli

• Huu ni Utafiti wenye sampuli ya Kitaifa, uliohusisha zaidi ya kaya 10,000

• Sampuli ya Utafiti inaruhusu makisio ya baadhi ya viashiria katika ngazi ya mkoa, mlinganisho kwa maeneo ya mijini na vijijini na makisio kwa ngazi ya kanda mbali mbali

• Wanawake wote wa umri wa miaka 15-49 katika kaya zote na sampuli ndogo ya wanaume wa miaka 15-49 katika kila kaya ya tatu walihojiwa kwa mahojiano binafsi

• Ukusanyaji wa taarifa kwenye kaya ulifanyika kati ya Disemba 2009 na Mei 2010

Page 7: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

7

Vipimo Vilivyofanyika• Vipimo vya Urefu na uzito vilifanyika kwa wanawake wote wa

umri wa miaka 15-49 na watoto chini ya miaka mitano

• Kiwango cha damu kwa watoto wa umri wa miezi 6-59 na wanawake wa miaka 15-49 kilipimwa papo hapo kwenye kaya

• Sampuli ya damu ilichukuliwa kwa ajili ya upimaji wa Vitamin “A” kwa watoto na wanawake katika maabara

• Upimaji wa madini Joto – Ulifanyika kwa njia tatu- kwa kupima papo hapo chumvi inayotumiwa na kaya

zilizohojiwa, - kwa kila kaya tatu chumvi ya ziadi ilichukuliwa kwa ajili ya vipimo vya maabara- Kwa kutumia sampuli ya mkojo kwa wanawake wa

miaka 15-49

Page 8: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

8

2. Matokeo: Mwitikio wa Utafiti

• Idadi ya Kaya zilizochaguliwa na zilizo na wakazi: 9,3741 – Kiwango cha mwitikio kwa kaya: 99%

(9,623)• Idadi ya Wanawake: 10,522

– Kiwango cha mwitikio wa Wanawake: 96% (10,139)

• Idadi ya Wanaume: 2,770– Kiwango cha Mwitikio kwa Wanaume: 91%

(2,527)

Page 9: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

9

ii. Taarifa za Wahojiwa

Karibu wahojiwa watatu kati ya kumi wanaishi maeneo ya mijini.

Asilimia 97 ya wahojiwa wanaishi Tanzania Bara, na Asilimia 3

wanaishi Zanzibar.

Page 10: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

10

Kiwango cha Elimu ya Wahojiwa

1910

1518

5049

1623

Wanawake Wanaume

Elimu ya Sekondariau ZaidiElimu ya Msingi

Elimu Kiasi yaMsingiWasiosoma

Page 11: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

11

5.45.4

Kwa sasa, Mwanamke wa kitanzania, kwa

wastani anazaa watoto 5.4 katika maisha yake.

iii. Uzazi

Page 12: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

12

Mwenendo wa Kiwango cha Uzazi

Wastani wa

watoto kwa

wanawake 15-49

Page 13: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

13

iv. Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango

• Karibu wanawake watatu kati ya kumi (29%) kwa sasa wanatumia njia ya uzazi wa mpango

– Asilimia 24 wanatumia njia za kisasa

– Asilimia 5 wanatumia njia za asili

Page 14: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

14

Utumiaji wa Njia za uzazi wa Mpango kwa Wanawake

Walioolewa

2.3

10.6

6.7

27.4

7

34.4

Kondomu yaKiume

Sindano

Vidonge

Njia yoyoteya kisasa

Njia yoyoteya asili

Njia yoyote

Page 15: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

15

Mwenendo wa Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango (Asilimia ya

Wanawake walio kwenye ndoa)

27

20

1213

7

34

2625

18

10

1991-92 1996 1999 2004-05 2010

Njia za Kisasa Njia yoyote

Page 16: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

16

v. Viwango vya Vifo vya Watoto

26

51

81

Vifo kabla yamwezi wa

kwanza wa uhai

Vifo kabla yamwaka wa

kwanza wa uhai

Vifo kabla yamiaka mitano

Vifo kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai miaka 5 kabla ya utafiti kufanyika

Mtoto mmoja kwa kila watoto kumi na mbili Tanzania hufariki kabla ya kufikia miaka mitano

Page 17: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

17

Mwenendo wa Vifo vya Watoto

56 59

3625

8899

6851

137147

112

81

1996 1999 2004 2009

Vifo kati ya mwezi mmoja wa uhai na mwaka mmoja wa uhaiVifo vya watoto kabla ya mwaka mmoja wa uhaiVifo vya watoto kabla ya miaka mitano

Kwa miaka 5 kabla ya utafiti

Vifo kwa kila watoto 1,000 walioza-liwa hai

Page 18: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

18

Antenatal Care by Mother’s Education

98

97

96

94

Elimu yaSekondari au

zaidi

WaliohitimuElimu yaMsingi

HawakumalizaMsingi

Wasiosoma

Asilimia ya wanawake waliojifungua katika miaka 5 iliyopita ambao walihudumiwa na mtoa huduma

aliyesomea

Karibia asilimia 96% ya wanawake waliojifungua katika kipindi ha miaka 5 iliyopita walisema walimuona mtoa huduma aliyesomea angalau mara moja.

vi. Huduma ya Afya ya Mama Mjamzito

Page 19: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

19

9693

88

9793

85 85

2

75

54

96

Asilimia ya watoto wa umri wa miezi

12-23 kipindi

chochote kabla ya utafiti

vii. Chanjo za Watoto

Page 20: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

20

Vaccination Trends

757168

TDHS 1999 TDHS 2004-05 2009-10

Asilimia ya watoto wenye umri wa miezi 12-23 ambao

wamepata chanjo zote

Mwenendo wa Utoaji Chanjo kwa Watoto

Page 21: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

21

71

66

58

48

60

Sekondari nazaidi

Elimu yaMsingi

Elimu kiasi yaMsingi

Wasiosoma

Jumla

Asilimia ya watoto wenye umri wa miaka 6-59 ambao walipewa matone ya Vitamin “A” miezi sita kabla

utafiti

Kwa kiwango cha elimu ya mama

viii. Utoaji wa Matone ya Vitamin A

(Kwa watoto)

Page 22: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

22

Mwenendo wa Utoaji wa Matone ya Vitamin “A”

46

60

14

1999 2004-05 2009-10

Asilimia ya watoto wa umri wa miezi 6-59 ambao walipata matone ya vitamin “A” miezi 6 kabla ya utafiti

Page 23: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

23

Watoto ambao hupata maziwa ya mama tu wanatambulika kama wanaonyonya maziwa ya mama pekee.

Maziwa ya mama pekee yanashauriwa katika miezi 6 ya mwanzo ya maisha ya mtoto, kwa kuwa maziwa ya mama yana virutubisho muhimu anavyohitaji mtoto.

Chembe chembe za kinga katika maziwa ya mama yanatoa kinga dhidi ya magonjwa.

ix. Lishe: Unyonyeshaji Maziwa ya Mama Pekee

Page 24: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

24

Maziwa ya Mama Pekee kwa Umri

Umri katika miezi

Asilimia ya watoto ambao hupewa

maziwa ya mama pekee

81

51

23

2 1 0.4 1

50

010

2030

4050

6070

8090

Chini yamiezi 6

<2 Miezi 2mpaka 3

Miezi 4mpaka 5

Miezi 6mpaka 8

Miezi 9mpaka

11

Miezi 12mpaka

17

Miezi 18mpaka

23

Page 25: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

25

Mwenendo wa Utoaji Maziwa ya Mama Pekee

41

50

27

1999 2004-05 2009-10

Asilimia ya watoto umri wenye umri wa chini ya miezi 6 ambao hupewa maziwa ya mama pekee

Page 26: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

26

Mwenendo wa Hali ya Lishe ya Watoto

44

5

2938

3

22

35

4

21

Kudumaa (Kimo kifupiikilinganishwa na

umri)

Kukonda (uzitomdogo ikilinganishwa

na kimo)

Uzito chini yaKiwango (Uzito

mdogo ikilinganishwana umri)

1999 2004-05 2009-2010

Asilimia ya watoto wa

umri chini ya miaka 5 ambao

wamedumaa au kuwa na uzito mdogo

(tatizo la wastani/kubw

a)

Page 27: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

27

x. Malaria: Umiliki na Utumiaji wa Vyandarua kwa Aina na

Eneo

7584

7164 65 63

Jumla Mjini Kijijini

Chandarua Chochote

Chandarua chenye dawa

Asilimia ya kaya zenye vyandarua

Page 28: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

28

Matumizi ya Vyandarua kwa Watoto

7381

7164 65 64

Jumla Mjini Kijijini

Chandarua Chochote

Chandarua chenye dawa

Asilimia ya watoto chini ya miaka mitano waliolala kwenye chandarua usiku wa kumakia siku ya mahojiano

Page 29: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

29

Kinga Dhidi ya Malaria Wakati wa Ujauzito

52

22

53

58

64

26

61

66

Walipata Kinga ya Malaria kutokaKliniki wakati wa ujauzito

Walikunywa dozi 2+ za SP

Walipata IPT yoyote (SP)

Walikunywa dawa yoyote kamakinga ya malaria wakati wa

ujauzito

2009-102004-05

Page 30: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

30

Matibabu ya Homa

23

59

41

Watotowaliokuwa nahoma wiki 2

kabla ya utafiti

Waliokunywadawa za malaria

Waliokunywadawa za malariasiku hiyo hiyo

au sikuiliyofuata baadaya kupata homa

Asilimia ya watoto wa umri chini ya miaka 5

Kati ya waliokuwa na homa, asilimia ya waliopata matibabu yaliyoonyeshwa

Page 31: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

31

xii. UKIMWI/VVU: Ufahamu wa Njia za Kuepuka

UKIMWI/VVU

76

87

7176

90

70

Kutumia Kondomu Kuwa na mweza mmojaasiyeambukizwa

Kutumia kondomu nakuwa na mweza mmoja

asiyeambukizwa

Wanawake Wanaume

Page 32: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

32

Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu

60 5964 66

75 73 77 73

Hawanaelimu

Elimu kiasiya Msingi

Elimu yaMsingi

Sekondariau zaidi

Wanawake

Wanaume

Asilimia ya wanaume na wanawake ambao wanafahamu kuwa hatari ya kupata UKIMWI inaweza kupunguzwa kwa kutumia kondomu NA kuwa na mweza mmoja asiyeambukizwa

Page 33: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

33

Wapenzi Wengi Miongoni mwa Vijana

3

12.3

Wapenzi zaidi ya mmoja katika miezi 12 kabla yautafiti

Wanawake 15-24

Wanaume 15-24

Asilimia ya vijana wa kiume na wa kike ambao walikuwa wakishiriki tendo la ngono kipindi cha mwaka mmoja uliopita

Page 34: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

34

xii. Vifo Vinavyotokana na Uzazi

Ni kifo chochote kilichotokea wakati wa Ujauzito, wakati wa kujifungua, au ndani ya

miezi 2 baada ya kujifungua au mimba kutoka/kutolewa.

• Inakadiriwa kuwa akina mama 454 kati ya watoto 100,000 waliozaliwa hai hufariki dunia kwa mwaka.

• Mwaka 2004-05, kiwango cha vifo hivi kilikadiriwa kuwa akina mama 578 kati ya watoto 100,000 waliozaliwa hai.

Page 35: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

35

3. Hitimisho

• Haya ni matokeo ya awali• Katika hali ya kawaida matokeo haya

hayategemewi kubadilika sana• Uchambuzi wa kina ambao unahusisha

viashiria zaidi na mwenendo wa viashiria mbali mbali vya afya unafanyika kwa sasa

• Taarifa ya mwisho ya utafiti huu inategemewa kutolewa mwezi wa Januari/February 2011

Page 36: Matokeo ya Awali

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

36

Asanteni kwa Kunisikiliza