MASHINDANO YA KUMI NA MOJA NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA MISIKITI MIWILI MITUKUFU Taarifa za mshindani JINA LA MSHINDANI* NAMBA YA PASIPOTI NAMBA YA KITAMBULISHO AU KADI YA URAIA* JINSIA* URAIA* TAREHE YA KUZALIWA* MJI (AU MJI WA KARIBU)* MJI ANAOISHI* NAMBA YA SIMU (1) * NAMBA YA SIMU(2) – Sio lazima BARUA PEPE (Email) – Sio lazima TAASISI AMBAYO IMETOA CHETI * CHETI CHA KARIBUNI CHA MASOMO ALICHOPATA* KAZI ANAYOFANYA SASA HIVI TAREHE YA CHETI* KIPENGELE KILICHOWEKWA ALAMA YA NYOTA LAZIMA KIJAZWE MASHARTI YA MASHINDANO 1. NI SHARTI KWA MSHINDI WA SAFARI YA HIJA ASIWE AMEWAHI KUHIJI 2. MSHINDANI AWE TAYARI KUTAHINIWA ANA-KWA-ANA JUU YA MASWALI YOTE ALIYOYAJIBU KATIKA WARAKA HUU. 3. ATAZINGATIWA KUWA MSHINDI YULE ALIYEJIBU MASWALI YOTE ISIPOKUWA MASWALI MAWILI. 4. NI MARUFUKU KUJAZA ZAIDI YA NAKALA MOJA KWA MSHINDANI MMOJA. IKIBAINIKA, ZOTE ZITATUPWA 5. MWISHO WA KUPOKEA MAJIBU KWA NJIA YA KIUNGANISHI CHA MTANDAONI NI TAREHE 25/8/1440H SAWA NA TAREHE 20/04/2019 6. NI LAZIMA MAJIBU YAFANYWE MTANDAONI KUPITIA TOVUTI YA MASHINDANO. IWAPO MAJIBU HAYO YATAJIBIWA KATIKA KARATASI NI LAZIMA YAINGIZWE KATIKA TOVUTI ZAWADI ZA MASHINDANO ITAPIGWA KURA KATI YA WASHINDI WALIOSHINDA KATIKA OFISI KUU YA KAMATI YA ULINGANIAJI KWA AFRICA, RIYADH, SAUDI ARABIA. KISHA WASHINDI SABA WA MWANZO WATAKAOSHINDA (KWANJIA YA KURA) KUTOKA KATIKA KILA NCHI WATAZAWADIWA MOJA YA ZAWADI ZIFUATAZO: 1. SAFARI YA HIJA. 2. KOMPYUTA. 3. SIMU ZA MKONONI. لغة السواحلية ال
13
Embed
MASHINDANO YA KUMI NA MOJA NAMNA FAMILIA YA MTUME, …contest.cdafricaa.com/sawahili/MASHINDANO YA KUMI NA MOJA NAMNA FA… · mashindano ya kumi na moja namna familia ya mtume, swahaba
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
MASHINDANO YA KUMI NA MOJA
NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA
MISIKITI MIWILI MITUKUFU
Taarifa za mshindani
JINA LA MSHINDANI*
NAMBA YA PASIPOTI NAMBA YA KITAMBULISHO AU KADI YA URAIA*
JINSIA* URAIA*
TAREHE YA KUZALIWA*
MJI (AU MJI WA KARIBU)* MJI ANAOISHI*
NAMBA YA SIMU (1) *
NAMBA YA SIMU(2) – Sio lazima
BARUA PEPE (Email) – Sio lazima
TAASISI AMBAYO IMETOA CHETI *
CHETI CHA KARIBUNI CHA MASOMO ALICHOPATA*
KAZI ANAYOFANYA SASA HIVI TAREHE YA CHETI*
KIPENGELE KILICHOWEKWA ALAMA YA NYOTA LAZIMA KIJAZWE
MASHARTI YA MASHINDANO
1. NI SHARTI KWA MSHINDI WA SAFARI YA HIJA ASIWE AMEWAHI KUHIJI
2. MSHINDANI AWE TAYARI KUTAHINIWA ANA-KWA-ANA JUU YA MASWALI YOTE
ALIYOYAJIBU KATIKA WARAKA HUU.
3. ATAZINGATIWA KUWA MSHINDI YULE ALIYEJIBU MASWALI YOTE ISIPOKUWA
MASWALI MAWILI.
4. NI MARUFUKU KUJAZA ZAIDI YA NAKALA MOJA KWA MSHINDANI MMOJA. IKIBAINIKA,
ZOTE ZITATUPWA
5. MWISHO WA KUPOKEA MAJIBU KWA NJIA YA KIUNGANISHI CHA MTANDAONI NI TAREHE 25/8/1440H
SAWA NA TAREHE 20/04/2019
6. NI LAZIMA MAJIBU YAFANYWE MTANDAONI KUPITIA TOVUTI YA MASHINDANO. IWAPO MAJIBU HAYO
YATAJIBIWA KATIKA KARATASI NI LAZIMA YAINGIZWE KATIKA TOVUTI
ZAWADI ZA MASHINDANO
ITAPIGWA KURA KATI YA WASHINDI WALIOSHINDA KATIKA OFISI
KUU YA KAMATI YA ULINGANIAJI KWA AFRICA, RIYADH, SAUDI
ARABIA. KISHA WASHINDI SABA WA MWANZO WATAKAOSHINDA
(KWANJIA YA KURA) KUTOKA KATIKA KILA NCHI
WATAZAWADIWA MOJA YA ZAWADI ZIFUATAZO:
1. SAFARI YA HIJA.
2. KOMPYUTA. 3. SIMU ZA MKONONI.
السواحلية اللغة
MASHINDANO YA KUMI NA MOJA
NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA
S1 Katika kufasiri kauli ya Allah Mtukufu isemayo kuwa: (Na mwenye kutaka (kufanya) uovu kwa dhuluma (kwa makusudi) ndani ya huo (Msikiti Mtukufu wa Makka) tutamuonjesha adhabu iumizayo) Sura Alhaj (22), aya 25 yamekuja maelezo kwamba: (lau kama mtu atakusudia kufanya dhuluma ndani ya huo Msikiti Mtukufu wa Makka huku akiwa yuko katika mji wa Aden (Yemen) Allah atamuonjesha adhabu iumizayo). Tafsiri hii imenukuliwa kwa Swahaba Mkubwa:
Amesema Allah Mtukufu kuwa: (Elekeza uso wako upande wa Msikiti Mtukufu) Sura Albaqara (2), aya 144. Katika kuamrishwa kuelekea kwenye Nyumba Tukufu (ya Alkaaba) kuna ushahidi wa:
2ج
Hadhi ya Nyumba Tukufu (Alkaaba)تتمكين تالب تالحرا
J2 تتاستقبي تالك ب تنندتالص ةوج بتWajibu wa kuelekea Alkaaba wakati wa kuswali
Yote yaliyotajwaت جميعتميتسبق
MASHINDANO YA KUMI NA MOJA
NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA
S3ت Katika kuielezea Nyumba Tukufu ya Makka Allah Mtukufu amesema kuwa: (Na mwenye kuingia humo atakuwa na amani) Sura Aal-imran (3), aya 97. Allah Mtukufu anatoa habari katika aya hii kwamba ameifanya Nyumba Tukufu kuwa sehemu ya amani kwa mwenye kuingia humo. Hiyo ni:
تالت هللالىتننتالاحيبيتالجليل تو دتهذات) لدينهم،توم يلمتلحجهم
S4تKatika kufasiri kauli ya Allah Mtukufu isemayo kuwa : (Allah ameifanya Alkaaba Nyumba Tukufu ni kisimamizi cha watu) Sura Almaida (5), aya (97), imenukuliwa kwamba (Maana ya kisimamizi cha watu) ni kwamba Alkaaba ni mhimili wa dini yao na ni muongozo wa Hija yao) . Tafsiri hii imenukuliwa kwa Swahaba Mtukufu:
4ج
Ibniabbas, Allah amridhie yeye naتتابنتنبيستbaba yake
J4 ابنتمهللا دتتتIbnimasoud, Allah amridhie yeye na baba yake
Ibniumar, Allah amridhie yeye na babaت ابنتنمرتyake
MASHINDANO YA KUMI NA MOJA
NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA
تفمنته ؟S5ت Ni Swahaba Mtukufu. Alikuwa mhudumu wa Alkaaba Tukufu. Mtume, Allah
amfikishie rehema na amani, alimpa ufunguo wa Alkaaba siku ya ukombozi wa Makka huku akiwa anasoma aya hii: (Hakika, Allah anakuamrisheni mzirejeshe amana kwa wenyewe) Sura Annisaa (4), aya 58, na ufunguo huo umebaki kwa kizazi chake mpaka wakati huu. Je, Swahaba huyu ni nani?
5ج
Othman bin Affan, Allah amridhieتتنثميلتبنتن يل
J5 نثميلتبنتجبيتال يصتتOthman bin Abil-as, Allah amridhie
S6ت Amesema Allah Mtukufu kuwa: “ (Yazingatieni) Hayo. Na yeyote anayeheshimu alama za (dini ya) Allah, hakika hayo ni katika uchamungu wa nyoyo”. Sura Alhaj (22), aya 32. Ibniumar, Allah amridhie yeye na baba yake, amesema kuwa: “Alama kubwa zaidi za dini ni…….”
6ج
Nyumba Tukufuتتالحرا تالب
J6 تتاملش رتالحراAlmash-ar Alharaam
Arafaت نرفيت
MASHINDANO YA KUMI NA MOJA
NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA
تنل ت( ت واهتمهللالم تهذاتالحديثتيد اتفشربتمنهفنيول هتدل اتت" لنزن تم كم
S7ت
Imenukuliwa kwa Jabir, Allah amuwie radhi, kwamba Mtume alipo ondoka Mina siku ya kuchinja na kuelekea kwenye Nyumba Tukufu ya Makka alikwenda kwa familia ya Abdilmuttwalib na kukuta wanawapa watu maji ya Zamzam. Mtume alisema: “Endeleeni kuchota maji enyi familia ya Abdilmuttwalib. Lau kama si kuchelea kwamba watu watakushindeni katika kugombea kuwapa watu maji ningejiunga nanyi katika kuchota. Walimpa ndoo na akanywa kwa kutumia ndoo hiyo”. Hadithi hii ameipokea Muslim. Hadithi hii inatoa ushahidi wa:
7ج
Hadhi na ubora wa familia yaتتفضلتبن:تنبداملطل Abdlilmuttwalib
تمت قتنليه تهذاتالحديثتيد تنل ت)ومسجدتاأل ص لالرس ت
S8تImenukuliwa kwa Abuhuraira, Allah amridhie, kwamba Mtume, rehema na amani ya Allah iwe juu yake, amesema kuwa: (Haifungwi safari isipokuwa kwenda kwenye misikiti mitatu tu: Msikiti Mtukufu (wa Makka), na Msikiti wa Mtume na Msikiti wa Majid Aqsaa). Hadithi hii imepokewa na Bukhari na Muslim. Hadithi inatoa ushahidi wa
8ج
ند تج التشدتالرحي تل لىتهذهت
تاملهللايجد Kutofaa kusafari kwenda kwenyeت
Misikiti isiyokuwa hii
J8 جلتهنيكتمهللايجدتجخرىتيج لتشدت
تالرحي تحليهي Kwamba kuna misikiti mingineت
inayofaa kuifungia safari
Kufaa kufunga safari kwendaت ج التشدتالرحي تللقب تmakaburini
MASHINDANO YA KUMI NA MOJA
NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA
S9تImenukuliwa kwa Aisha, Allah amridhie, akisema kuwa: (Hakika, Mtume rehema na amani ya Allah iwe juu yake alikuwa anaswali Alfajiri, na waumini wanawake wanahudhuria swala hiyo pamoja na Mtume rehema na amani ya Allah iwe juu yake, wakiwa wamejifunika gubigubi kwa shungi zao. Kisha wanarudi majumbani mwao kukiwa hakuna yeyote anayewajua kutokana na giza). Hadithi hii ameipokea Bukhari na Muslim. Hadithi inatoa ushahidi wa:
9ج
حرصتالاحيبييتتات ض :ت تننهنتاتنل ت
تالص ةتفقتاملسجدتالنب تت
Bidii na ari kubwa ya Swahaba wanawake, Allah awaridhie, katika kuswali katika Msikiti wa Mtume.
J9 ج التخروجتالنهللاي تللص ةتفقتاملسجدتمعت
تااللتزا تبيلحجيبتوال تت
Kufaa wanawake kutoka kwenda kuswali msikitini wakiwa wamejisitiri
na kujihifadhi.
.Yote yaliyotajwaتتجميعتميتسبق
10س
ال شااي تاآلخاارة،تساامتيرجااعتكاايلتيصاالقتمااعت ساا ت تتجلتم اايذتباانتجباالناانتجاايبرتباانتنباادت ت
تنل حرصتالاحيب هذاتالحديثتنل يد تمت قتنليه تتح ت مهتفيصلقتبهمتللكتالص ة
S10تImenukuliwa kwa Jabir bin Abdallah, Allah amridhie, kwamba: (Muadh bin Jabal alikuwa anaswali swala ya Isha pamoja na Mtume, rehema na amani ya Allah iwe juu yake, halafu anarudi kwa watu wake na kuwaswalisha swala ile ile). Hadithi hii ameipokea Bukhari na Muslim. Hadithi inaonesha ari na bidii ya Swahaba katika:
10ج
Kuswali pamoja na Mtume, rehema naتتالص ةتمعت س ت تamani ya Allah iwe juu yake
J10 تتحد اكتفضيل تالص ةتفقتاملسجدتالنب تKuwahi fadhila za kuswali katika
Msikiti wa Mtume, rehema na amani ya Allah iwe juu yake
Yote yaliyotajwaتتجميعتميتسبق
MASHINDANO YA KUMI NA MOJA
NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA
S11ت Alfarouq (Umar bin Alkhatwab), Allah amuwiye radhi, alitaka kupanua msikiti wa Mtume kwenye ardhi ya Abbas bin Abdilmuttwalib iliyokuwa jirani na Msikiti. Umar alimuomba Abbas amuuzie ardhi hiyo au ampe ardhi nyingine badala yake au aitoe sadaka kwa ajili ya msikiti. Abbas alichagua kuitoa sadaka ardhi hiyo kwa ajili ya Msikiti. Tukio hili linaonesha:
11ج
نل تن عتحرصتاآل تواألصحيب
تاملهللالمللتوالت س تنليهمت
Namna watu wa familia ya Mtume na Swahaba walivyokuwa wakiweka mbele masilahi ya Waislamu na
kurahisisha mambo yao. J11
التهللايبقتفقتاملهللايهم تفقتاألو يفتالسيميت
تالحرمللفقتت
Ushindani katika kutoa Wakfu, na hasa kwa ajili ya Misikiti Miwili
S18ت Katika mwaka 29 wa Hijra Msikiti wa Mtume ulikuwa finyu na kutoenea kwa wenye kuswali kwa sababu ya wingi wa watu. Mmoja kati ya viongozi waongofu aliupanua. Aliliimarisha sana jengo lake pale alipojenga kuta zake kwa mawe yaliyotobolewa na ndani yake kuwekwa nondo za chuma zilizoshikizwa kwa risasi, badala ya mawe yaliyotiwa nakshi na kushikizwa kwa chokaa. Pia paa lake alilijenga kwa mbao za Mvule. Je, Swahaba huyo ni nani?
18ج
Abubakar Siddiq, Allah amridhieتتجب بكرتالصديق
J18 نمرتبنتالخطيبتتUmar bin Alkhatwaab, Allah amridhie
S20تNi Swahaba mkubwa ambaye anatoka katika familia ya Mtume. Alikuwa na busati lililokuwa likitandikiwa katika Msikiti wa Mtume na watu wanajumuika hapo wakisoma historia ya Waarabu na fani ya Shajara (Elimu ya kujua mpangilio wa koo na nasaba za watu). Je, ni Swahaba gani huyo?
20ج
Aqiil bin Abiitwaalib, Allah amridhieتتنقيلتبنتجبيتطيل
J20 ج رتبنتجبيتطيلتتJaafar bin Abiitwaalib, Allah amridhie
Ally bin Abiitwaalib, Allah amridhieتتنلقتبنتجبيتطيل
S22ت Wakuraishi walikuwa wakikusanya mali ili waandae chakula kwa ajili ya mahujaji kwa kuzingatia kwamba mahujaji hao ni wageni wa Alkaaba. Wa kwanza kufanya kazi hii ni Kuswai bin Kilab babu wa Mtume. Je, kazi hii inaitwaje?
22ج
Siqaya (utoaji wa huduma ya maji)تتالهللاقيي ت
J22 تتالرفيدةRifada (ukarimu kwa wageni)
Sadana (huduma)ت الهللادان
MASHINDANO YA KUMI NA MOJA
NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA
جمااا ا تالنااايستو مااا اتالقتلااا تفاااقتبباااىتلمااا تو ل ااا اتبااايبتالك بااا توا تل ااا اتالحجااارتاألسااا دتوجخاااذوهتم هااامت
تفبقيتنندهم ت
S24ت Katika mwaka wa 317 wa Hijira kundi la Karmathians (Shia) walivamia Msikiti Mtukufu (wa Makka) na kuuvunjia hadhi, waliua mahujaji, walipora mali za watu, walitupa maiti waliowaua kwenye kisima cha Zamzam, walin’goa mlango wa Alkaaba, walin’goa Jiwe Jeusi na kaondoka nalo ambapo walibaki nalo kwa muda wa:
24ج
يت12 Miaka 12تتنيما
J24 18يت Miaka 18تتنيما
يتت22 Miaka 22تتنيما
25سي تيبلغتنددتجب بتاملسجدتالحرا تحيليا
S25تImefikia idadi ya milango ya Msikiti mtukufu wa Maka kwa sasahivi:
25ج
Milango 200تتبيبتت200
J25 210تتجب ابتMilango 210
يت220 Milango 220تتبيبا
MASHINDANO YA KUMI NA MOJA
NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA
تالك ب تاملشرف تفقتمك تاملكرم تألو تمرةتفقتالتا ختني
S27ت Kwa mara ya kwanza katika historia Mfalme Abdulaziz bin Abdulrahman Alsaudi Muasisi wa Taifa la Saudia, Allah amrehemu, alianzisha kiwanda maalumu cha kutengenezea kitambaa cha kufunikia Alkaaba katika mji Mtukufu wa Maka mwaka :
تS29تفكمتنددهي؟تتت،ال ديدتمنتالل يتTaasisi inayosimamia masuala ya Misikiti Miwili Mitukufu inasimamia kutafsiri hotuba za Ijumaa katika lugha nyingi. Je, lugha hizo ni ngapi?