Top Banner
20

Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

Jan 10, 2020

Download

Documents

dariahiddleston
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba
Page 2: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

Maana yake,❖ Ni hatua zote zinazopaswa kuchukuliwa kwa

dhumuni la kuzuia ugonjwa kuingia shambani kwa mfugaji au kutoka shambani kwa mfugaji alieathirika na ugonjwa Fulani kwenda kwa shamba la jirani yake.

Dhana hii ilitumika na babu zetu kwa baadhi ya magonjwa

Mfano wa magonjwa hayo ni

Kipindupindu

Ukoma n.k

Page 3: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

Visababishi Magonjwa

vimelea vya magonjwa

Ni viumbe vidogo sana visivyoweza

kuonekana kwa macho kama vile bacteria.

Virusi, fangasi. Protozoa n.k.

Page 4: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba
Page 5: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

wakala wa kusambaza magonjwa

shambani:-

KUNA MAKUNDI MATATU

Kibailojia

Kifizikia – mfano vyombo, magari,

vyakula, nk

Kikemia;- madawa ya kunyunyuzia,

kuhifadhia vyakula vinavyotumika

kutengeneza vyakula vya vya kuku n.k

Page 6: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

cont

Kibailojia

Hili ni kundi la mawakala linaloweza kuleta madhala aidha kwenye banda au shamba la kuku

Hujumuisha wanyama, ndege, mimea na vimelea vya magonjwa visivyoweza kuonekana kwa macho kama vile bacteria. Virusi, fangasi. Protozoa n.k.

Wanyama mfano mbwa, paka, panya

Ndege mfano kunguru, ndege warukao masafa marefu toka bara moja hadi lingine

Page 7: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba
Page 8: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

Cont..

Page 9: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

UTHIBITI WA MAGONJWA

SHAMBANI

Kanuni nne (4) za kuthibiti magonjwa shambani

mpangilio wa shamba (conceptual biosecurity)

miundo mbinu ya shamba Structural biosecurity,

Utendaji shambani (Operational biosecurity,)

Utamaduni/Tabia za wafanyakazi shambani/bandani

(Cultural biosecurity

Page 10: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

I.mpangilio wa shamba (conceptual

biosecurity) Hii ni hatua ya kwanza

ikihusisha eneo (location) na mpangilio wa shamba

“je? Eneo linafaa kwa shuguli ya ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa

Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba lingine la jirani.

Kama ni kuku wa mayai na nyama inashauriwa kuwa mbali na shamba lingine la kuku angalau 1.6 km

Shamba liwe mbali toka barabara kuu angalau 300m

Majengo yafuate uelekeo wa upepo (East-West orienation)

Page 11: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

II.miundo mbinu ya shamba

Structural biosecurity

Inahusisha miundo mbinu

inayopaswa kuwekwa

shambani ili kupunguza

kuenea kwa magonjwa.

Mfano, geti na fensi huzuia

watu wasiohusika kupita

shambani.

Kupima maji ya eneo husika

kujua kiwango cha madini,

bacteria na kemikali

Shamba liwekewe sehemu

ya kuoga na kunawa watu

wanapoingia shambani

Page 12: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

Cont…

Pawekwe vikanyagio

vya magari vyenye

dawa vilivyojengwa kwa

saruji ili kuua vimelea

vya magonjwa vilivyopo

kwenye gari

Page 13: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

Cont…

Kuwe na nguo za

kubadilisha (overall)

Viatu vya kazi (gum

boots)

Page 14: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

Cont..

Pawekwe incenerator

Pawekwe vyombo

mbalimbali kwa

matumizi mbali mbali

ya shambani.

Page 15: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

Cont…

Kuwe na sehemu/stoo ya kutunza vyakula vya kuku.

- kuwe na sehemu ya kuchoma/kuzika kuku

waliokufa (incinerator)

- banda na nyumba zingine shambani ziwe na

miundo mbinu ya kuzuia panya na ndege pori

kuingia (rodents proof)

- mita 3 zinazozunguka banda kusiwe na mimea ili

kuzuia makazi kwa panya na viumbe vingine jirani

na banda/stoo ya vyakula.

Page 16: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

III. Uendeshaji shamba

(Operational biosecurity,)

Inahusika na matumizi

sahihi ya miundo mbinu

yote iliyowekwa shambani

Mfano, vikanyagio, bafu za

kuogea, incinerator, nguo

za kazi (overall), viatu vya

kazi (gum boot), masks n.k

Note: footbath ibadilishwe

kila siku, wheel bath

ibadilishe kila wiki na

endapo imechafuliwa

ibadilshwe mara moja.

Page 17: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

IV. Cultural biosecurity,

Inahusu wafanyakazi na watu wote wanaohusika kwenye shamba la kuku kuwa na uelewa wa kufuata taratibu za biosecurity.

Wafundishwe

Waeleweshwe umuhimu wa biosecurity kwa uhai wa shamba na afya zao

Wasilazimishwe tu kufuata taratibu isipokuwa wapewe uelewa mpana na wa kutosha.

Page 18: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

Je Biosecurity ni garama?

Page 19: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

Vifo vya kuku

Page 20: Maana yake, - TAFMA - Critical to poultry... · ufugaji ili kuepusha maambukizi ya magonjwa Mfano kama ni shamba la kuku wazazi linapaswa kujengwa umbali wa 3km toka lilipo shamba

Asanteni kunisikiliza