Peana baada ya kila miezi 4 hadi miezi 6 Faida ya vitamin A pamoja na tembe za kuangamiza minyoo: Uliza kama kuna maswali Elimu ya jumuiya Sehemu ya 1 Kuhara Kukosa hamu ya chakula Madhara yanayoweza kutokea: Maumivu ya tumbo Kuhisi kutapika Kutapika Kuumwa na kichwa Uchovu Kufura kwa utosi Ukiangamiza minyoo kutakuwa na lishe bora Macho yenye afya Nguvu 1 2 3 Miezi 6-11 Miezi 12-23 Miezi 24-59 ? 31 Andike tarehe mtoto atarudishwa 30 Andika dozi zilizopeanwa kwenye kitabu cha usajili na kadi ya afya 32 Ni salama, inaweza peanwa pamoja na chanjo 33 Madhara yanayoweza kutokea: 37 38 Faida ya vitamin A pamoja na tembe za kuangamiza minyoo: Ukiangamiza minyoo kutakuwa na lishe bora Macho yenye afya Nguvu 39 Uliza kama kuna maswali ? Job Aid Mtazamo wa orodha ya kupeana vitamin A na tembe za kuangamiza minyoo 8 Kwa watoto wachanga Kwa watoto wakubwa • Laza kifua cha mtoto kwenye paja lako, halafu inamisha kichwa cha mtoto chini. • Kwa kutumia kiganja cha mkono gonga sehemu ya kati ya mgongo mara 5 Ikiwa shida haitatatulika: • Mlaze mtoto kwenye paja lako akiangalia juu (Akiwa amelala kwa mgongo) • Finyilia kwenye kifua cha mtoto mara 5 kwa kutumia vidole viwili • Rudia inapohitajika. • Laza mtoto kwa tumbo kwenye paja lako, kisha inamisha kichwa cha mtoto • Kwa kutumia kiiganja cha mkono gonga sehemu ya kati ya mgongo wa mtoto mara 5 Ikiwa shida haitatatulika: • Shika mtoto kutoka nyuma akiwa amesimama na mikono yako iwe chini ya sehemu inayoshikilia ubavu wake. • Finyilia mwili wa mtoto kuelekeza juu. • Rudia inapohitajika. Utakalofanya wakati mtoto ananyongwa Muhudumu anayepeana tembe kwa watoto anastahili kufunzwa vile atafanya ikiwa mtoto atanyongwa. Wanapaswa kuwa na mamlaka na heshima ya wahudumu wa afya kutenda wanapohitajika. 10 ili Kuhara Kukosa hamu ya chakula Maumivu ya tumbo Kuhisi kutapika Kutapika Kuumwa na kichwa Uchovu Kufura kwa utosi ili Jina: Karibisha watoto na walezi Vitamin A na tembe za kuangamiza minyoo zitapeanwa leo Eleza uhusiano kati ya miaka na kiwango cha tiba Kuangamiza minyoo Vitamin A (mwaka 1 hadi miaka 2) (miaka 2 hadi miaka 5) (miezi 6 hadi mwaka 1) 4 5 7 6 Madhara haya ni nadra: Watoto 5 kati ya watoto 100 pekee 9 Madhara ikitokea inachukua muda wa siku 2 Madhara yakizidi siku 2 ama ikiwa ishara zingine zikitokea, ni vyema kumwelekeze kwa mhudumu wa afya Madhara mengine ya tembe za kuangamiza minyoo: Minyoo yaweza kuwa kwenye kinyesi au katika hali iliyo nadra zitokee kwenye pua au mdomo- Hizi zinaweza kuvutwa ama kutemwa 11 Ni salama, inaweza peanwa pamoja na chanjo 12 Rudi baada ya miezi 4 hadi 6 Madhara mengine ya tembe za kuangamiza minyoo: Minyoo yaweza kuwa kwenye kinyesi au katika hali iliyo nadra zitokee kwenye pua au mdomo- Hizi zinaweza kuvutwa ama kutemwa Vitamin Angels inatambua matumizi ya maelezo kutoka UNICEF, WHO, the Micronutrient Initiative, and Engender Health kwa matumizi ya orodha hii. Vifaa vinavyo hitajika kupeana VAS+D: Nakala ya picha ya VAS+D 100,000 IU bluu vitamin A 200,000 IU nyekundu vitamin A Tembe za kuangamiza minyoo Hisopo iliyo na mvinyo Makasi safi Karatasi ya kupangusa Karatasi nyeupe ndogo iliyo safi Chupa ya kubonda tembe Mfuko wa takataka Kalamu Nakala ya kuandikia Nakala ya usambazaji 35 1 2 3 34 Madhara haya ni nadra: Watoto 5 kati ya watoto 100 pekee 36 Madhara ikitokea inachukua muda wa siku 2 Madhara yakizidi siku 2 ama ikiwa ishara zingine zikitokea, ni vyema kumwona daktari 1 2 3 Kuweka ratiba na ushauri wa kuondoka © 2017 Vitamin Angels. Masharti na sheria. Matumizi yamehamazishwa bora utaje chanzo cha ujumbe huu kuwa Vitamin Angels kwa kila maandishi Swahili - Dec. 2017 Sehemu ya 3 Maelezo: Mtazamo huu ni wa aina ya picha ya orodha ya utendaji wa vitamini A supplementation na kuangamiza minyoo. Hatua zote 39 katika orodha ya utendaji inaonekana hapa kama picha. Makusudi ya nakala hii ya picha ni kukusaidia wakati unapeana VAS+D na pia wakati unawafundisha wengine kupeana VAS+D kama iliyodhibitishwa na shirika lako Unapofanya mazoezi ya kuwa mjuzi katika kupeana VAS+D unapaswa kutumia kalamu na uandike kwa hii nakala hii ya picha ili ikukumbushe sehemu zilizo muhimu. Hizi ndizo hatua za kawaida za kutumia kwenye nakala hii ya picha wakati unapofudisha wengine kupeana VAS+D. 1. Eleza: Tumia nakala hii ya picha kueleza kila hatua kwenye VAS+D huduma (Kwa kutumia orodha ya utendaji kupeana maelezo zaidi) • Kwanza, onyesha na ueleze sehemu tatu za orodha • Kisha, wakati kila mtu anatazama hatua ya 1, uliza ‘ unaona nini kwenye picha?’. • Hatua nyingine, uliza muhudumu mmoja asome maelezo ya hatua ya 1 kwa sauti. Mbadilishane mkisoma hatua zote 39 2. Onyesha kwa kutenda: Fanya hatua zote 39 za VAS+D ukitumia nakala ya picha 3. Funza: uliza wanaohudumu watumie nakala zao za picha kufanya mazoezi ya kupeana VAS+D (Kwa kawaida katika vikundi vya watu wawili) ukitazama na kupeana maoni 4. Maoni: Mpe kila muhudu maoni kwa hatua wanazotenda vyema na hatua wanazohitaji kufanya mazoezi zaidi. Kuwa na moja au zaidi ya nakala hii ya picha wakati huduma za VAS+D zinapopeanwa. Wewe na wahuduma wengine mnaweza kutazama orodha jinsi inavyohitajika kuhakikisha kuwa huduma iliyo sawa na halali imepeanwa. Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma ya VAS+D pamoja na orodha ya utumizi, tazama video jinsi ya kupeana VAS+D na vifaa vingine, kupitia Vitamin Angels’ tovuti ya www.vitaminangels.org.