Top Banner
Kuwa na ubongo wenye afya nzuri ni muhimu kwa umri wowote, kama una umri mdogo au mkubwa. Utafiti wa sayansi unaonyesha kwamba kuishi maisha ya ubongo wenye afya, hasa kipindi cha maisha-kati (kawaida kuanzia umri wa miaka 40 hadi 65), kunaweza kupunguza hatari ya mtu kupata dementia baadaye katika maisha yake. Kuishi maisha ya ubongo wenye afya, unahitaji kutunza ubongo wako, mwili wako, na moyo yako. KUENDELEA KUSHUGHULIKIA UBONGO WAKO NI MUHIMU Endeleza kutoa changamoto kwa ubongo wako na kushughulikia na watu. Wanasayansi wamegundua kwamba kutoa changamoto kwa ubongo na matendo mapya kunasaidia kujenga seli mypa za ubongo na kuimarisha maaunganisho kati zao. Haya yanasaidia kupa ubongo ‘akiba’ zaidi ili unaweza kuvumilia vizuri zaidi na kuendelea kushughulikisha vizuri kama seli zozote za ubongo zinaharibu au zinakufa. Chagua shughuli zinazotoa changamoto na unazopenda. Ujitoe changamoto mara nyingi na endeleza kujifunza mambo mapya kote maisha yako. Kushiriki katika shughuli za kijamii na kutendana na wengine kunatumia seli za ubongo na kuimarisha maaunganisho kati zao. Shughuli zenye kijamii zinazohusisha shughuli zenye akili na kimwili zinatoa hata faida zaidi kwa afya ya ubongo na kupunguza hatari za kupata dementia. Kwa hiyo jaribu kufanya baadhi ya hizo pia. Kukutana na familia na marafiki ili kuendeleza ubongo kuwa na shughuli – hata nzuri zaidi ni kukutana na kutembea nao Panga kukutana na marafiki kucheza karata au michezo au jiunga na chama cha jumuiya Jifunza kucheza kifaa cha muziki au enda kwa sinema au maonyesho ya muziki Jifunza mambo mapya au shiriki katika shughuli unazopenda kama kuchola, kazi ya mikono au kukimbia Andikisha kwa korsi fupi kujifunza mambo mapya kama yoga, useremala au upigaji picha – utajifunza ustadi mpya na kukutana na watu wapya SWAHILI | ENGLISH BrainyApp TM Kama utataka njia ya raha na kutendana ya kutunza afya ya ubongo, nenda kwa duka lako la app na kupakua BrainyApp kwa simuakili yako au tablet. Tembelea brainyapp.com.au kwa maelezo zaidi.
4

KUENDELEA UBONGO WAKO NI MUHIMU - … · Kuwa na ubongo wenye afya nzuri ni muhimu kwa umri wowote, kama una umri mdogo au mkubwa. Utafiti wa sayansi unaonyesha kwamba kuishi maisha

Oct 10, 2018

Download

Documents

trinhngoc
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
Page 1: KUENDELEA UBONGO WAKO NI MUHIMU - … · Kuwa na ubongo wenye afya nzuri ni muhimu kwa umri wowote, kama una umri mdogo au mkubwa. Utafiti wa sayansi unaonyesha kwamba kuishi maisha

Kuwa na ubongo wenye afya nzuri ni muhimu kwa umri wowote, kama una umri mdogo au mkubwa. Utafiti wa sayansi unaonyesha kwamba kuishi maisha ya ubongo wenye afya, hasa kipindi cha maisha-kati (kawaida kuanzia umri wa miaka 40 hadi 65), kunaweza kupunguza hatari ya mtu kupata dementia baadaye katika maisha yake. Kuishi maisha ya ubongo wenye afya, unahitaji kutunza ubongo wako, mwili wako, na moyo yako.

KUENDELEA KUSHUGHULIKIA UBONGO WAKO NI MUHIMU Endeleza kutoa changamoto kwa ubongo wako na kushughulikia na watu. Wanasayansi wamegundua kwamba kutoa changamoto kwa ubongo na matendo mapya kunasaidia kujenga seli mypa za ubongo na kuimarisha maaunganisho kati zao. Haya yanasaidia kupa ubongo ‘akiba’ zaidi ili unaweza kuvumilia vizuri zaidi na kuendelea kushughulikisha vizuri kama seli zozote za ubongo zinaharibu au zinakufa.

Chagua shughuli zinazotoa changamoto na unazopenda. Ujitoe changamoto mara nyingi na endeleza kujifunza mambo mapya kote maisha yako.

Kushiriki katika shughuli za kijamii na kutendana na wengine kunatumia seli za ubongo na kuimarisha maaunganisho kati zao. Shughuli zenye kijamii zinazohusisha shughuli zenye akili na kimwili zinatoa hata faida zaidi kwa afya ya ubongo na kupunguza hatari za kupata dementia. Kwa hiyo jaribu kufanya baadhi ya hizo pia.

Kukutana na familia na marafiki ili kuendeleza ubongo kuwa na shughuli – hata nzuri zaidi ni kukutana na kutembea nao

Panga kukutana na marafiki kucheza karata au michezo au jiunga na chama cha jumuiya

Jifunza kucheza kifaa cha muziki au enda kwa sinema au maonyesho ya muziki

Jifunza mambo mapya au shiriki katika shughuli unazopenda kama kuchola, kazi ya mikono au kukimbia

Andikisha kwa korsi fupi kujifunza mambo mapya kama yoga, useremala au upigaji picha – utajifunza ustadi mpya na kukutana na watu wapya

SWAHILI | ENGLISH

BrainyAppTMKama utataka njia ya raha na kutendana ya kutunza afya ya ubongo, nenda kwa duka lako la app na kupakua BrainyApp kwa simuakili yako au tablet. Tembelea brainyapp.com.au kwa maelezo zaidi.

Page 2: KUENDELEA UBONGO WAKO NI MUHIMU - … · Kuwa na ubongo wenye afya nzuri ni muhimu kwa umri wowote, kama una umri mdogo au mkubwa. Utafiti wa sayansi unaonyesha kwamba kuishi maisha

Chapisho hiki kinatoa muhtasari jumla tu ya mada iliyoangaliwa. Watu wafuatalie ushauri wa utaalum kuhusu kesi yao maalum. Alzheimer’s Australia haitawajibikia kisheria kwa kosa lolote au kitendo cha kuacha katika chapisho hiki.

Mpango wa Ubongo Wako ni Muhimu wa Alzheimer’s Australia umefadhiliwa na hazina kutoka Serikali ya Australia chini ya Mfuko wa Kuboresha Huduma na wa Kuzuia Ugonjwa wa Kudumu.

© 2012 Alzheimer’s Australia

Kula chakula bora na shiriki katika shughuli zenye kimwili za kila mara. Ubongo wako unahitaji anuwai wa virutubishi, majimaji na nyashati kutenda vizuri. Epukana kula sana chakula kinachokuwa na mafuta mengi yenye saturated (siagi, chakula cha kuka’anga sana, nyama za deli zilizotengenezwa, keki, vitobosha na biskuti). Chagua tofauti ya chakula kinachokuwa pamoja na mboga, matunda, nafaka, njugu na bidhaa za maziwa zenye mafuta kidogo. Kula samaki, nyama yenye mafuta kidogo na pika na mafuta ya monounsaturated au polyunsaturated (mafuta ya canola, zeituni, alizeti na soya).

Kama unakunywa alkoholi, ukunywe kiasi wastani tu, yaani usinywe zaidi kuliko vinywaji viwili vya kiwango kila siku.

Shughuli zenye kimwili za kila mara zinafaa kwa afya ya ubongo. Zinasaidia na tiriko ya damu na utoaji wa oksijeni kwenda ubongo.

Jaribu kufanya angalau dakika 30 ya mazoezi ya kiasi kila siku. Chagua shughuli unazopenda kufanya kama kutembelea, kuogolea, kucheza ngoma, tai chi au jiunga kikundi cha mazoezi.

Kinachokuwa nzuri kwa moyo pia ni nzuri kwa ubongo. Utafiti unaonyesha kwamba kuwa na ugonjwa wa sukari, kolestro juu au shinikizo la damu juu, na kuacha kutiba kwa nguvu, kunaweza kuharibu mishipa ya damu katika ubongo na kuathiri kazi ya ubongo na ustadi wa kufikiri.

Ni muhimu kupata kupimwa kwa afya ya kila mara na kufuata ushauri wa daktari wako au mtaalum wa afya. Simamisha shinikizo ya damu yako, kolestro, sukari ya damu na uzito wa mwili kwa kiasi kinachofaa kwako, na fuata ushauri wao wa matibabu.

Uthibiti unaonyesha kwamba kuvuta sigara unazidisha hatari ya kupata dementia. Kutunza afya ya ubongo wako, epuka kuvuta sigara

Jifunza kucheza ngoma – ni mazoezi mazuri sana kwa mwili na ubongo wako

Kula tofauti ya chakula kutoka vikundi mbalimbali vya chakula na kupunguza mafuta ya saturated

Panga kupimwa shinikizo ya damu kila mara

Weka angalau dakika 30 ya mazoezi ya kimwili ndani utaratibu wako wa kila siku

Weka ndani mlo wako asidi ya mafuta ya omega 3 kutoka samaki yenye mafuta na asili nyingine kama jozi

Kula sehemu mbili ya matunda kila siku – tengeneza saladi ya matunda, weka ndani chakula cha asubuhi

Weka chakula tano ya mboga ndani mlo wako kila siku

Kinachokuwa nzuri kwa moyo pia ni nzuri kwa ubongo – zungumza na daktari wako kuhusu kupima shinikizo yako ya damu, kolestro, sukari ya damu na uzito kila mara

Epuka kuvuta sigara − zungumza na mtaalum wako wa afya au pigia simu ya Quitline kwa nambari ya 13 78 48 kupata msaada jinsi ya kuacha

Kama una umri wa 45 au zaidi, upate makadirio kila mara ya hatari ya moyo na ugonjwa wa ubongo

Ongea na mtaalum wako wa afya kupata ushauri jinsi ya kupoteza uzito wa ziada

Au piga simu kwa Lainimsaada ya Dementia ya Taifa 1800 100 500 Kwa msaada wa lugha piga simu Huduma ya Mfasiri wa Simu kwa nambari ya 131 450

Kwa maelezo zaidi kuhusu kuishi maisha yenye ubongo wa afya tembelea yourbrainmatters.org.au ya Alzheimer’s Australia

KUWA MWENYE AFYA NZURI NI MUHIMU

KUTUNZA MOYO WAKO NI MUHIMU

SWAHILI | ENGLISH

Page 3: KUENDELEA UBONGO WAKO NI MUHIMU - … · Kuwa na ubongo wenye afya nzuri ni muhimu kwa umri wowote, kama una umri mdogo au mkubwa. Utafiti wa sayansi unaonyesha kwamba kuishi maisha

Being brain healthy is important at any age, whether you’re young or old. Scientific research suggests that living a brain healthy life, particularly during mid-life (generally from 40 to 65 years of age), may reduce a person’s risk of developing dementia later in life. To live a brain healthy life, you need to look after your brain, your body, and your heart. They are all important.

KEEPING YOUR BRAIN ACTIVE MATTERSKeep your brain challenged and be socially active.

Scientists have found that challenging the brain with new activities helps to build new brain cells and strengthen connections between them. This helps to give the brain more ‘reserve’ so that it can cope better and keep working properly if any of the brain cells are damaged or die.

Choose activities that are challenging and you enjoy doing. Challenge yourself often and keep learning new things throughout your life.

Participating in social activities and interacting with others exercises brain cells and strengthens the connections between them. Social activities that involve mental activity and physical activity provide even greater benefit for brain health and reducing the risk of developing dementia. So try to do some of these as well.

Catch up with family and friends to keep your brain active − even better, catch up over a walk

Organise cards or games nights with friends or join a local community club

Learn to play a musical instrument or go to the theatre or a concert

Learn new things or participate in activities you enjoy such as painting, craft or orienteering

Sign up for a short course in something new like yoga, woodwork or photography − you will learn new skills and meet new people

BrainyAppTMIf you would like a fun and interactive way of looking after your brain health, go to your app store and download BrainyApp on your smartphone or tablet. Visit brainyapp.com.au for more information.

Page 4: KUENDELEA UBONGO WAKO NI MUHIMU - … · Kuwa na ubongo wenye afya nzuri ni muhimu kwa umri wowote, kama una umri mdogo au mkubwa. Utafiti wa sayansi unaonyesha kwamba kuishi maisha

This publication provides a general summary only of the subject matter covered. People should seek professional advice about their specific case. Alzheimer’s Australia is not liable for any error or omission in this publication.

© 2012 Alzheimer’s Australia

Eat healthy and participate in regular physical activity. Your brain needs a range of nutrients, fluids and energy to work properly.

Avoid a high intake of foods that are high in saturated fats (butter, deep fried food, processed deli meats, cakes, pastries and biscuits). Choose a variety of foods that include vegetables, fruit, wholegrains, nuts and reduced fat dairy products. Eat fish, lean meat and cook with monounsaturated or polyunsaturated oils (canola, olive, sunflower and soybean oils).

If you drink alcohol, you should only drink in moderation, which is no more than two standard drinks per day.

Regular physical activity is beneficial for brain health. It helps with blood flow and oxygen supply to the brain.

Try to do at least 30 minutes of moderate exercise each day. Choose activities that you enjoy doing such as walking, swimming, dancing, tai chi or join an exercise group.

What is good for the heart is good for the brain.Research indicates that having diabetes, high cholesterol or high blood pressure, and not treating them effectively, can damage the blood vessels in the brain and affect brain function and thinking skills.

It is important to have regular health checks and follow the advice of your doctor or health professional. Manage your blood pressure, cholesterol, blood sugar and body weight at levels that are healthy for you, and follow their treatment advice.

Evidence shows that smoking increases the risk of dementia. To keep your brain healthy, smoking should be avoided.

Learn to dance − it’s great exercise for your body and brain

Eat a variety of foods from different food groups and cut back on saturated fats

Have your blood pressure checked regularly

Build at least 30 minutes of physical activity into your normal daily routine

Include omega 3 fatty acids from oily fish and other sources such as walnuts in your diet

Enjoy two pieces of fruit a day − make a fruit salad, include at breakfast

Include five serves of vegetables in your diet each day

What’s good for the heart is also good for the brain − speak to your doctor about checking your blood pressure, cholesterol, blood sugar and weight regularly

Avoid smoking − speak to your health professional or call Quitline on 13 78 48 for help on how to quit

If you are 45+, you should get regular heart and stroke risk assessments

Speak to your health professional for advice on how to lose excess weight

Or call the National Dementia Helpline 1800 100 500 For language assistance call the Telephone Interpreter Service on 131 450

For more information on living a brain healthy lifestyle visit Alzheimer’s Australia’s yourbrainmatters.org.au

BEING FIT AND HEALTHY MATTERS

LOOKING AFTER YOUR HEART MATTERS

Alzheimer’s Australia’s Your Brain Matters program is supported by funding from the Australian Government under the Chronic Disease Prevention and Service Improvement Fund