KUSANYA NA UJIFUNZE $ KADI ZA WAHUSIKA KATIKA BIBLIA Potifa s Pakua nakala hii ya PDF kwenye www.jw.org POTIFA KADI YA BIBLIA 29 POTIFA MAMBO MACHACHE KUMHUSU Potifa, ofisa wa makao ya mfalme wa Misri na mkuu wa wa- linzi wa Farao, alikuwa bwana mkubwa wa Yosefu. Baada ya Potifa kumchagua Yosefu asi- mamie mali yake yote, Yehova aliibariki nyumba ya Potifa. (Mwanzo 39:5) Hata hivyo, mke wa Potifa aliposema uwongo kumhusu Yosefu, Poti- fa aliagiza Yosefu afungwe gerezani.—Mwanzo 39:19, 20. MASWALI A. Potifa alimnunua Yosefu kutoka kwa nani ili awe mtumwa wake?—Mwanzo 37:36; 39:1. B. Kweli au la? Potifa alimchagua Yosefu asi- mamie karibu kila kitu ndani ya nyumba yake. —Mwanzo 39:8, 9. C. Mke wake alipomwambia uwongo kuhusu Yo- sefu “ [ya Potifa] ikawaka.”—Mwanzo 39:19. MAJIBU A. Wamidiani au Waishmaeli. B. Kweli. C. hasira. 4026 K.W.K. Adamu aumbwa Aliishi karibu 1750 K.W.K. 1 W.K. Karibu 98 W.K. Kitabu cha mwisho cha Biblia chaandikwa Safari ya Yosefu kutoka Dothani kwenda kwa nyumba ya Potifa ilichukua siku kadhaa Dothani Yerusalemu (Salemu) K A N A A N I MISRI CHAPISHA KATA KUNJA KATIKATI NA UHIFADHI www.jw.org ˘ 2013 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania