Top Banner
Hadithi ya Sungura na Mbwa Hapo kale, sungura na mbwa walikuwa marafiki. Walikuza mazao mengi. Walikuza ndizi, mahindi, maharagwe na mihogo.
4

Hadithi ya Sungura na Mbwa - Uwezo...Maswali 1. Sungura alipewa kazi gani? 2. Sungura na mbwa walikuza aina ngapi za mazao? Managed by WERK: Elgeyo Marakwet Rd off Argwings Kodhek

Jan 27, 2021

Download

Documents

dariahiddleston
Welcome message from author
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
  • Hadithi yaSungura na Mbwa

    Hapo kale, sungura na mbwa walikuwa marafiki. Walikuza mazao mengi. Walikuza ndizi, mahindi, maharagwe na mihogo.

  • Sungura alipewa kazi ya kulima. Mbwa naye alichunga mimea. Wote wawili walifanya kazi kwa bidii.

  • Siku moja ndovu alivamia shamba. Ndovu alianza kuharibu mazao. Sungura alipiga kelele. Mbwa alisikia kelele. Mbwa aliwaita mbwa wenzake.

  • Maswali1. Sungura alipewa kazi gani?2. Sungura na mbwa walikuza aina ngapi za mazao?

    Managed by WERK: Elgeyo Marakwet Rd off Argwings Kodhek Road, P.O. Box 10565-00100 NAIROBI. SMS 3016/Telephone 0722 888 919/0732 888 919 Website: www.uwezo.net

    Walienda pamoja hadi shambani. Walimfukuza ndovu. Waliokoa mazao. Sungura alimshukuru mbwa.