TAYARISHA STL • Ambukizo ya juu sana • Inaathiria KILA KIZAZI na JAMII JINSI INAENEA ACHA KUENEZA KUGUSA KUPIGA CHAFYA KUKOHOA KUTUMIA VIYOMBO NA WENGINE SEHEMU CHAFU NAWA MIKONO KWA SEKUNDE 20 KAA NYUMBANI EPUKA VIKUNDI VYA WATU 6' WEKA FUTI 6 MBALI NA WENGINE PANGUZA SEHEMU ZOTE MARA NYINGI CHA KUJUA • Kikohozi kavu • Homa ya 100.4° • Shida ya kupumua DALILI BADO UNAWEZA KUSAMBAZA COVID-19 HATA IKIWA HAUNA DALILI! • Wazee • Wanawake wajawazito • Wale walio na hali sugu ! WALIO HATARINI ZAIDI INAATHIRI KILA MTU NAJISIKIA MGONJWA • PIGIA daktari wako • FUATA amri za daktari kuhusu uchunguzi na kujiweka kwa karantini mwenyewe • IKIWA HAUNA DAKTARI AU UNA SWALI LA JUMLA, PIGA CASA DE SALUD: 314-997-1250 Masaa: Jumatatu-Jumamosi 2:30asubuhi-10:30jioni and Jumapili 4-11jioni MISSOURI STATE SIMU YA DHARURA: 877-435-8411 (Bonyeza 1, uliza upewe Mkalimani) Masaa: 24 kwa siku, siku 7 za wiki Hospitali zinahitajika kuhudumia WATU WAGONJWA ZAIDI wakati huu. Kumbuka kuongea na daktari wako KABLA ya kwenda kwa ER! VIRUSI VYA CORONA (COVID-19)
2
Embed
CHA KUJUA - PrepareSTL€¦ · • schnucks, aldi, walmart, dierbergs na amazon wanaajiri sasa! unajua kwamba? kwa habari zaidi,tembelea preparestl.com mfadhaiko na kukabiliana ikiwa
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
TAYARISHASTL
• Ambukizo ya juu sana
• Inaathiria KILA KIZAZI na JAMII
JINSI INAENEA ACHA KUENEZA
KUGUSA KUPIGA CHAFYA KUKOHOA
KUTUMIA VIYOMBO NA WENGINE
SEHEMU CHAFU NAWA MIKONO
KWA SEKUNDE 20
KAA NYUMBANI
EPUKA VIKUNDI VYA WATU
6'
WEKA FUTI 6 MBALI NA
WENGINE
PANGUZA SEHEMU ZOTE MARA NYINGI
CHA KUJUA• Kikohozi kavu • Homa ya 100.4° • Shida ya kupumua
DALILI
BADO UNAWEZA KUSAMBAZA COVID-19 HATA IKIWA HAUNA DALILI!
• Wazee• Wanawake wajawazito• Wale walio na hali sugu
!WALIO HATARINI ZAIDI
INAATHIRI KILA MTU
NAJISIKIA MGONJWA
• PIGIA daktari wako• FUATA amri za daktari kuhusu uchunguzi na kujiweka
kwa karantini mwenyewe• IKIWA HAUNA DAKTARI AU UNA SWALI
LA JUMLA, PIGACASA DE SALUD: 314-997-1250 Masaa: Jumatatu-Jumamosi 2:30asubuhi-10:30jioni and Jumapili 4-11jioniMISSOURI STATE SIMU YA DHARURA: 877-435-8411 (Bonyeza 1, uliza upewe Mkalimani) Masaa: 24 kwa siku, siku 7 za wiki
Hospitali zinahitajika kuhudumia WATU WAGONJWA ZAIDI wakati huu.
Kumbuka kuongea na daktari wako KABLA ya kwenda kwa ER!
VIRUSI VYA CORONA (COVID-19)
Imedhaminiwa na Missouri Foundation for Health
ONDOA MENGI AKILINI MWAKO
PATA HEWA SAFI
MASAA 7
ZZZ
BILI YA MATUMIZI NA HUDUMA ZINGINE?
CHAKULA, MALEZI YA WATOTO,
PIGIA STL MUTUAL AID 314-380-7774 AU 844-785-7774 BILA MALIPO AU TEMBELEA IISTL.ORG KWA HABARI KATIKA LUGHA YAKO MAALUM.
• Ameren na Spire wameacha kukata na kulipisha ada ya kuchelewa kulipa
• Hakuna kufukuzwa au nyumba yako kuuzwa hadi taarifa zaidi itolewe
• Tarehe ya mwisho ya kutuma ushuru ya mapato imebadilishwa kuwa Julai 15
• Spectrum labda itatoa mtandao ya bure kwa wanafunzi
• Mkopo wa riba sufuri kwa biashara ndogondogo inapatikana
• Schnucks, Aldi, Walmart, Dierbergs na Amazon wanaajiri sasa!
UNAJUAKWAMBA
?KWA HABARI ZAIDI,TEMBELEA PREPARESTL.COM
MFADHAIKO NA KUKABILIANA
IKIWA HAUJISIKII KAMA KAWAIDA YAKO PIGIA STL MUTUAL AID (314)380-7774 / BILA MALIPO KUPITIA 844-785-7774