unaeza earn soo 5 per kila kg ya nyama ya sunguch Skia show kwa radio station 20 kote nchini! kuna winners 10 wa google compe! 10 20 4 0/- Kuna Shujaa of the month kila mwezi! hawa ndiyo ma-fans tuko nao Facebook 10,000 500 c o s t y a k u - b u y s u n g uc h za doo h 5 ni ngovo tu kutumia DJ B ka-text P3 500 4 Idea 4 kali za ku-change life yako Mashujaa 4 ndani ya comic! Shujaaz ni mangapi? 1 of the month a h h h h hu h hu hu uj ja ja jaa month K o Ku Ku una na na n of the S S S S S Sh h h h h h h e m ni form utapewa uki-report case ya violence H a p a k u n a p a g e s 24 Namba ya SMS ya ku-gotea DJ B 3008 web fm sms comix not for sale sms comix chapta 20 empowering kenyan youth empowering kenyan youth a publication
This document is posted to help you gain knowledge. Please leave a comment to let me know what you think about it! Share it to your friends and learn new things together.
Transcript
unaeza earnsoo 5 per
kila kgya nyama
ya sunguch
Skia show kwaradio station
20 kote nchini!
kuna winners 10wa google compe!
1020
40/-
Kuna Shujaaof the monthkila mwezi!
hawa ndiyo ma-fanstuko nao Facebook
10,000
500
cost
ya
ku-
buy sunguch za dooh
5ni ngovo tu
kutumiaDJ B ka-text
P3500
4 Idea 4 kaliza ku-changelife yako
Mashujaa 4ndani ya comic!
Shuj
aaz
ni m
ang
api?
1of the month
ah
hhhhuhhuhuujjajajaamonth
KoKuKuunanananof the
SSSSSShhhhhhhe m
ni form utapewa uki-report case ya violence
Hap
a kuna pages24
Namba ya SMSya ku-gotea DJ B
3008
web fm sms comix
not for sale
sms comixchapta 20
empowering kenyan youthempowering kenyan youth
a
publication
Wasee! Hapa ndani kuna mambo fyaam. Mafans wangu wameni-show ideas kali sana…
“Hapo Twitter kwa @Shujaaz, nacheki Malkia anadai Jipendo anajitibu!”
chekiu!”
“Kwa Facebook fanpage yangu, MariaKim anaboeka na
risto za ubaguzi.”
Soma hizi risto na pia unipe risto yako! Tuko gangare!
3008
sms
re!
“Ala! Tena nina SMS kwa 3008: Charlie Pele anasema Taabu ako kwa noma!”
Er, hata si mimi…em, si tutaonana?
Hakuna ngori msuper. Si
unajua naku-mind!
Niaje Collo? Thanks kwa ile sms jana. Nime-accept kuenda na wewe
bash!
Wacha nigotee Collo!
TIHIHI! AKI GOSH!
3
kujitibukujitibu
Wooooi!
Ai! Bado siskii poa!
Hakuna haja! Cheki, enda u-buy Pentriflex mbili kwa chemist. Ni dawa poa ya tumbo na itakufanya
ukuwe msupuu in 1 day!
Si tuishie kwa school nurse akupe dawa?Manze naskia
vibaya!
Jipesh, naskia una-drive?
Una-feel aje?
Aki naendesha!
4
Alipofika home…
Si twende hospitali
uangaliwe?
Zii! Lazima nijipange
niende bash!
Surely Jipendo! Unajua lazima upone kwanza! Wacha
nikakuangalilie kienyeji,
itakusaidia haraka.
Wacha niambie Collo nita-make sure nipone
ndio niende na yeye bash!
Nitang’ara hii dresstop!
Hapo mtaani…
Dawa ya mende, coakroach murderer!
Dawa ya kisukari, ki-sugar, malaria!
Daktari, uko na dawa ya tumbo?
Hapa niko na madawa ya magonjwa yote duniani!
5
Chukua hii: ni pure! Akunywe baada ya ugali mara mbili kwa siku. Na ikibaki mtatumia kuua
mende hapo nyumbani! Si unaona unatibika na hii chwani! Mimi ni daktari tosha!
KULE HOME…
Labda hii itakusaidia.
Sasa nimehata bash! Na ningeenda
na Collo! Gff!!
6
Jipendo, una
mgeni!
Woishe Jipendo! Unacheki vile kujitibu imeleta shida! Amka uende kwa doki ndio
upate full treatment..
Nimekukosea sana Jipendo. Singekupa hizo madawa za kununuliwa
mtaani na hazijulikani ni za nini. Amka nikupeleke
hospitali. Malkia umetufungua macho!
Nimekuandikia madawa. Next time usirudie kujaribu
kujitibu! You were lucky this time!
Baadaye kidogo…
Mum nimeskia poa! Wacha
nikimbilie bash kabla iishe!
7
Madawa herbal zinasaidia mwili na
immunity, kama matunda na chakula.
Lazima ucheki Daktari
kama wewe ni m-sick.
Qualified chemist huwa ako na Cert
imewekwa kwa wall yake.
KUMBUKA!!
Ni Daktari tu, ama Clinical Oficer ambaye
ana authority ya kukukagua na kukupa
dawa akishaku-cheki. Ukishakaguliwa,
atakupa ‘prescription’, penye
amekuandikia madawa yenye utatumia.
Tumia hizo dawa vile umeandikiwa,
kupunguza au kuongeza dosage ni
HATARI!Ukijitibu, unaweza kosea na
mwishowe itabidi ulipe bills
mob sana za hosi.
KWA HIVYO…Elewa kuwa kuna diseases mob na symptoms
hufanana, lakini madawa ya kutibu ni tofauti.
Kwa hivyo, kama wewe sio daktari, ni hardest
kujua ni ugonjwa gani uko nayo!
Pia wengine wakipewa dawa hawamalizi dose,
akiskia poa kiasi, anaacha dawa! Mwishowe
mwili inakuwa resistant kwa madawa,
na hii ndio expense noma.
Kujitibu ni cheap kwa muda mfupi, lakini
mwishowe, inaweza leta shida mobs sana!
Wacha ningoje Collo hapa, najua bado yuko around.
Collo hatokelezei?!
Manze siezi cheki Jipesh na vile naendesha hivi!
Relax collo! Enda u-buy pentriflex, ni dawa poa ya tumbo!
If luvin shujaaz fm was a crime then ningekuwa shimo
la tewa prison ama kamiti maxmum
prison. Faith Mukami
“Nilizaliwa na spine imejikunja. Nikiwa mtoi watu walikuwa wananiita ng’ombe juu ya
nundu yenye ilikuwa kwa back yangu mgongoni. Chuo, ma-stude na mamode
walikuwa wakinitukana. Hakuna msee alitaka ku-interact na mimi; walidhani nitawaambukiza
hiyo disability!”
“Nilijiunga na Young Voices Club yenye ilini-help ku-dicover talent yangu ya poetry na
arts, na nime-get chance ya ku-perform!”
“Na-advise my fellow disabled friends kuwa disability is not inability, ambayo pia ndio title ya song yangu latest. Nimekuwa featured kwa Pamoja FM na Kibera Community TV station. Fuata dreams zako & kila kitu ita-work out!”
uuuuupssujaaz
JINA: GURSTON OPARBASE: KOCHIA – WEST
KARACHUONYO DISCTRICTWAX: MODE, MUSICIAN
SAVE DOOH
na maji ya mvua
Hi DJ B? Kwetu sasa hakuna mtu anajisumbua kuteka maji kutoka kwa kisima. Tuna tanks tatu ambazo zaweza hold
about 1500ltrs! Hata boy wetu wa job ame-relax. Sasa yeye ni kuangalia
maslahi ya ng'ombe zetu na hiyo ni almost 3
months! Wa2 wahimizwe kuchukulia maji ya mvua
kuwa serious!Pablo De Machinery.
DJ B, mimi nili-show mthama juu ya hii risto yaku-harvest maji ya
mvua. Alikubali ku-buy gutters instead ya
ku-buy maji.Leon - Kokwanyo
DJ B, rain water iko na use mob kaa domestic
use na hata irrigation. Pia inapunguza burden na
time ya kuendakutafuta maji.
Doro - Chavakali.
SMS3008
ni 5/-tu!!
Si uiiteShujaazDuka?
Si uiiteShujaazDuka?
Si nimekufungia ya kutosha? Uko poa
lakini?
Ah! Kuna mtu najua anaweza
kuku-help. Yeye ni pro kwa risto za farming.
Ana ma-ujanjez. Tuta-come na yeye
baadae.
Siko poa. Aki sunguch wangu
wanasumbua! Sijui ni-do what!
Umeni-save jo! Thanks.
Baadae!
Poa!
Poa!
Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!
12
Ma-Sunguch!
Dan, nime-come
na ule beste yangu.
Ndio huyu beste yangu. Ako poa sana na farming.
Niaje? Naitwa Sifa!
Ala! Sasa unaniletea kiwete hapa anisaidie na
nini?!
Wee! Unaongeaje
hivyo?!
Hebu kuja!Sifa ni
mlemavu, lakini ni binadamu kama mimi na wewe! Na amenisaidia
sana. Ndio maana nimemwomba akusaidie hata
wewe!
Wazi. Thanks sana.
13
Haiya!
Ni kapoa!
Ah! Hakuna kitu kiwete anani-show mimi! Hata chukua hiyo sungura ni useless!
Sifa tuishie. Achana na huyu fala hasaidiki!
Na msirudi!
14
Sifa, unatakia nini sungura?
Unajua sungura ni rahisi kulea. Kuifuga haihitaji move-ment mob so ni poa kwa mlemavu
kama mimi.
Pia una-get products mob kutoka kwa
sungura kama ngozi yake yenye ni poa ku-make ndula,
na makofia
Nyama yake ni tamu sana na
inauzwa bei poa: kshs 300 kwa kg moja!
Mbolea ya sunguch ni
poa sana kwa mimea
Wacha niishie home sasa. Chunga huyo sungura
vipoa!
bye!
Kuanzisha kuweka rabbits si hard, naweza
zijengea ka-hao ka mbao na mabati zenye nimeokota mtaani. Pia sihitaji cheddars*4
mob kuanza!
15
Sunguch zangu!
Haiya! Dan anafanya nini pale?
Sasa nitaanzia
wapi?
Dan? Ume-lost. Hebu kuja niku-show
mtu amekuwa successful sana na
rabbit farming…
Oh? Sawa, twende.
Maria Kim! Dan! Karibuni. Sikujua
mna-come?
Nimeamua nimtembeze Dan acheki rabbit farm yako.
Ala?! Manze sunguch wako
wamekuwa wasoo! Kwani unazilisha
nini?
Baadae kidogo…
16
Thanks! Farming ni passion
yangu. So nawachunga poa na kucheki afya yao
kila time.
Manze iza vile nilikubongesha siku ile. Sikujua una talent hivi.
Ni ufala yangu. Ni-forgive tu.
Hakuna was! Lakini kuna vile
unaweza ni-save…
Nahitaji msee wa kunisaidia kupeleka
sungura kuuza. Utani-help?
Ushasema! Nianze lini?
“Nilipomada chuo 2008, nilisaka ways za
ku-make dooh lakini wapi! Big up sana kwa
beste yangu, aliniambia nisi-concentrate na
job za office, nikuwe creative. Nikaamua
kufuga sunguch.”
“Nawalisha twice a day na mabaki ya sukuma wiki na
carrots yenye naokota sokoni. Maji nawapa mara
moja kwa siku.
Na kwa risto ya market…
Huwa ninabonga na mayuts wenye wametoka seco
majuzi ili nao waanze pia kufuga sungura.
So nimekuwa nikiwa-supply!
Naingia Kenyatta University soon, so nimeamua
nitauza hao sunguch wangu wote, nijaze na savings
zangu zingine ili nijilipie fees. Sunguch haina job nzito,
haina stress, msee yeyote anawez do!”
Kuweni wajanja, sunguch ina dooh
kuruka!
DJB, sunguch ni biz poa sana. Kuna huyu boy ana doworks
Kutojua sheria sio excuse! Share risto zenu za kuwa kwa police station
na DJ B. Tuma SMS kwa 3008! kumbuka
‘NI 5 BOB TU’
KUMBUKA ukienda kwa police station:
Bonga na officer mwenye ako kwa desk juu ya kitu unataka ku-report.Kuwa na points zinaeleweka na ukumbuke tarehe zote zenye zinahusika ili uandike statement ambayo inaeleweka.Kuwa mpole ndipo utasaidika.Heshimu huyo officer ambaye unampatia report!
nimeandikisha statement
yako lakini...
Shujaaz. FM radio show inapenya kwa hizi station kenya
mzima. pata story zote za comic kwa show yangu. cheki