-
JUZUU 30
/no A.vll ]} SURATUL BURUJ ( /meteremka Makka)
Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa
na Mwenye kun~mesha neem·a ndogo ndogo.
1. Naapa kwa mbingu zenye Buruji (nyota)
2. Na kwa siku iliyoahidiwa (kuwa itafika, nayo ni Siku ya
Kiama)
3· Na Mwenye kushuhudia na kishuhudiwacho.
4. (Kuwa) wameangamizwa watu waliowaadhibu Waislamu katika
mahandaki.
s. Y enye Moto wenye kuni (nyingi) 6. Walipokuwa wamekaa
hapo
7. (Waliangamizwa makafiri hao pale wakati walipokuwa)
wanatazama yale wanayowafanyia hao Waislamu (walipokuwa
wakiwaadhibu).
t""~r .. · rr~l' ..
AM~1A
Ina Karu I
1 . Buruji ni nyota ambazo zimckaa vikundi vikundi, kila kikundi
huitwa Burji, na Buruji zotc ni Il: Sila ziko Kaskazini ya lkwcta
(Equator), na sita ziko Kusini yakc.
J. Katika "Mwcnyc kushuhudia na kishuhudiliwacho" anaingia kila
atakayc kuwa shahidi na kushudiliwa Siku ya Kiama; kama Mitu:nc,
watashuhudilia umati wao kwa wcma wao na uwovu wao; mwahali mwa
lbada; mtawashuhudilia kwa wcma wcnyc kuabudu; mwahali mwa maasia;
mtawashuhudilia kwa uovu wcnyc kuasi; na hata viungo vya mtu na
ngozi ya mwili wake pia Siku hiyo vitatoa ushahidi juu ya mtu huyo.
Basi yataka mtu akiazimia kufanya maasi akumbukc kuwa ana mashahidi
kadha wa kadha wamuonao, na Siku ya Kiama watasimama mbclc za
Mwcnyczi Mungu watowc ushahidi wao juu ya mtu yule!
4· Wakati Mayahudi wa Najrani walipoingia katika Um~sihia (kabla
ya kuja Uislamu na kabla ya Umasihia kuharibiwa), alipata ha.bari
mfalmc wao, Dhu-Nuwas; akaja Najrani na jcshi kubwa, akawalazimisha
watu wa Nairani warudi katika Uyahudi; nao wasikubali. Dhu-Nuwas
akachimba handaki kubwa akatia kuni, akawasha moto. Akawa humshika
~moja mmoja katika wale Wamasihia wa Najrani akiwatupa katika
handaki lilc, na ycyc na watu wake wamekaa pambizoni mwa handaki
watafaraji.
Katika Sura hii Mwen)·czi Mungu Amctaia kisa hiki, pamoja na
kuashiria kisa cha Firauni na Thamudi (kama utakavyoona katika Aya
zijazo) ili kumliwaza Mtume na Sahaba zakc wajuc kwamba tabu
iwapatayo kwa makafiri, imcanza kuwaftkilia ndugu zao
waliotangulia.
Katika maelelo ya hii Aya waliyoifanya ni ya s wamcscma uwongo
kabisa. Wafasiri wotc na wanavyuoni wa Taretae wotc wamchadithia
kuwa mambo haya yalitokca kabla ya Nabii Muhammad (~.a.w.). Hakuna
mmoia aliycscma kuwa haya yatatokca baadayc; hata leo ndiyo wao
wanasema kuwa haya yamcmhusu mtu wao ill wamdaiac Utumc. Na mara ya
mwisho tulipojibu kwa urcfu ukafiri wa kudai Utume baada ya Nabii
Muhammad (s.a.w.) ni katika marcjezo ya Aya ya 40 ya Suratul
Ahzaab.
-
JUZUU 30 Al-BURUJ (8S)
8. Nao hawajaona bay a lolote · kwao (W aislamu) ila kumuamini M
wenyezi Mungu Mwenye kushinda (na) Mwenye kusifiWa
9. Ambaye ni Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi; na Mwenyezi Mungu
ni Mwenye kuona kila kitu.
1 o. Hakika wale waliowaadhibu Waislamu ~anaume na Waislamu
wanawake, kisha wasitubie basi watapata adhabu ya Jahanamu na ·
watapata adhabu ya kuungua (barabara).
r
11 . Hakika w~le walioamini na kutenda vi tendo vizuri bila
shaka watapata Mabustani yenye mito ipitayo mbele yake. Huku ndiko
kufuzu kukubwa.
12. Hakika kutesa kwa Mola wako ni kukali (sana).
1 3. Yeye ndiye aliyeanzisha ( viumbe) na Ndiye
atakayewarejeza.
14. Naye m Mwingi wa msamaha Mpenda (waja Wake)
1 5. M wenye kiti cha enzi kitukufu
16. Mwingi wa kutenda Alipendalo.
AMAA
. ... 8. Maana yake: Hapana lililomchukiza Dhu-Nuwas na wafuwasi
wake kwa watu wa Najrani hata
wakawakutisha adhabu hiyo ila ni kuwa wao wamemuamini Mwenyczi
Mungu tu, Hapana jcngine!
1 o. Makusudio ya kuadhibu hapa ni kuwaudhi wenye kuamini na
kuw~tenza ngu\'U ili wawachc dini yao waiudi katika ukafiri. Na
maneno haya kama ambavyo yanawahusu wale wenye handaki
waliotangulia kuaajwa, kadhalika yanawahusu na makafiri wa Makka
waliokuwa wakiwaadhibu lslamu kwa na:nna namna za udhia ill
wawalazimishe kurcjca katika ukafiri. Na kama ambavyo yanahusu hao,
kadhalika yanawakhusu kila warakaofanya kama hayo .
i z-16. Mwcnyezi Mungu baada ya kuwahwaza Islamu kwa kuwaaajia
mambo yatiyowafika ndugu zao waliotangulia, sasa anawaliwaza lena
kwa Aya hi1.i, pamoja na kuwasubinsha, kwa kuwaoncsha Nguvu Zake
Kubwa na Ufalme Wake Mtukufu . Wajue kwamba hao makafiri waji.Jnao
wana nguvu za kuwaadhibu wenziwao, Yeyc hawamshindi. Atakapopcnda
Atawapatiliza kwa adhabu ya Dunia na Akhera, au mojawapo. Na kwa
kuwa Yeyc ni "Mwingi wa Maghufira" na "Mwcnye Mapenzi,"
Atakapopcnda Atawageuza nyoyo hao makafiri, walikubali hilo
walikataalo leo, na kulilctta hilo walipigalo vita. Na kwa Uweza
Wake Mkubwa,Ameyafanya yotc mawili. Baada ya myaka michachc Aliwapa
nguvu !flo waliokuwa wanyonge. Altawapatiliza baadhi ya makafiri
kwa adhabu ya Dunia na Akhera, kama Ab\1 Jahl na wenziwe waliokuwa
wakimuudhi saua Mtumc na Sahaba zake. Na baadhi yao Akawagcuza
r.yoN zao wakaingia katika Dini ya Uishamu, wakasimama kuiletea kwa
roho zao na mali yan pia; hata wakafa vitani na huku wanatamani
warudi wapiganie Dini!
1 3. Maana ya Aya hii, ni kuwa Mwcnyczi Mungu Ndiyc Mwcnyc
kuanza kuumba kila kitu, ~~ Ndiyc Atakayevircicza katika uhai baada
. ya kufa .
-
JUZUU 30 AL·BURUJ (85)
17. J e, zimekuwasilia habari za majeshl ya makafui
18. Firauni na Thamudi?
19. Lakini waliokufuru wamo katika kukadhibisha tu
10. Na Mwenyezi Mungu Amewazunguka kote kote (bawawezi kuikimbia
adhabu Y ake).
11 . Bali hii ni Qurani tukufu
ll . (lliyotolewa) katika buo ubao uliohifadhhva, (wa Mwcnyezi
Mungu).
AMMA
17,18. Muna ya Aya mbili hizi ni haya: Mwcnyezi Mun1u Anamwambia
Mtum~ Wake: )ee, imeku(lkilla khabari ya Askari w~ Firauni na
Thamudi namna walivyokadhibisha Mitume yao, na kuwaudhi walioamini
katika wao na namna Mwenyczi Mua1u Alivyowapatiliza kwa madhambi
yao, Akamtotcaha Firauai na ukari zake katika bahari na
akawUDiamiza Thamudi. Na Thamudi ai kabila ya uma wa Nabii
Salih.
JO. Na muradi wake bapa ai kuwa hao makafiri wamo katika kabdhi
ya Mwenyczi Mun1u na tawuti Yake; bawana pa kukimbilia. ·
JJ. Muna yake: Hii wanayosomcwa makafui ni Quiaai tukufu, iliyo
katika Ubao uliyohifadhiwa buko mbialuni, ai mancno ya watu wa kale
kama wadhanivyo wao. Na huo "Ubao wenye kuhifadhiwa, aaaycjua namna
yake ni Ycye Mwcnycwc tu Mwenyezi Muqu. Na ambalo linatupasa sisi
ai kuamini tu kuwa uko siyo kuijua KA YFIA yake.
Katika maclezo ya hii Aya waliyoifaaya ya J 3 wameacuza muradi
wa neno "Lawhin Mahfuudlr."
••